Watanzania hatuelewi tunachotaka,ni roho mbaya tu

Mkuu subiri matusi sasa , humu ndani ukweli hautakiwi. Unatakiwa uzungumzie kuchoma nchi, Serikali ipinduliwe kama yanayotokea yameanza awamu hii.
Mkuu kwahiyo watu waache mambo yaendelee kama yalivyo kwa sababu yalikuwepo kabla yake?

Tufanye sawa kuwa utekaji ulianza wakati wa Magufuli, watu tukaamini baada ya kufa Magufuli basi hayo mambo hayatokuwepo tena. Ila sasa hivi huo utekaji umezidi kushinda kipindi cha Magufuli na sasa hivi watu wanatekwa hadharani hadi imekuwa kama jambo la kuzoeleka sasa kama tukiliacha sasa hivi akija mwengine tutegemee utekaji kuzidi zaidi. Hiyo wewe unaona sawa?
 
*Habari wana great thinker;

Mimi kwa mtazamo wangu Watanzania kinachotusumbua ni wivu wa kijinga dhidi ya viongozi na familia zao.Mathalani;watu wanamchukia samia na kumtaka atoke kwa sababu zifuatazo;Ufisadi,maisha ya kifahari ya watoto wao,utekaji,katiba mpya,uchaguzi huru na wa haki,kwamba anaongozwa na kikwete sio akili yake,n.k.Tena hili la kuongozwa na kikwete ndo kubwa kiasi ambacho watu humchukia sana kikwete na kumuombea mabaya(MUNGU amlinde).Tuchambue baadhi;

*Utekaji:Huu muasisi ni jpm,hilo halina ubishi,labda kama mtu ana agenda yake binafsi.Sasa kwa nini hawakutaka kumtoa jpm wakati ule?Najua hapa wanazi wa jpm watampaka mafuta mpendwa wao ila ukweli utabaki pale pale.

*Uchaguzi huru-uchaguzi kwa mara ya kwanza kuwa wa hovyo nchini ulifanyika 2020 chini ya jpm.Yeye ndiye muasisi wa uchafuzi ktk uchaguzi.Kwa nini watu hawaongelei hilo?Kwa nini ukigusia hili tu watu wanatamani wakurukie?Hii sio sawa.Kama ni madai ya kisiasa,chambua kwa kuzingatia usawa sio ukanda au u-mfumo dume au uzanzibar na utanganyika.

*Uhuru wa kitoa maoni-Ukiwa mkweli utanikubalia.Kuminywa kwa uhuru wa kujieleza muasisi ni jpm.Ukibisha itabidi uniambie,Lisu alipigwa risasi ktk awamu ili na kwa nini alipigwa risasi,Ben saanane alipotezwa na awamu ya nani na kwa kosa gani,kina Azory Gwanda,miili iliyokuwa ikiokotwa ufukweni Kila asubuhi,n.k.

*Maisha ya kifahari ya watoto wao-Mzee,mimi mwalimu,maisha ya watoto wangu hayawezi kufanana na ya mkulima mdogo.Lazima watoto wangu watakuwa na maisha classic kidogo kuliko watoto wa wale ambao kutoka kwao ndo kula yao.Nani anaujua mshahara wa raisi?Yeye ni mtumishi wa uma kama nilivyo mimi.Nikiamua mshahara wangu nimpe mmoja wa watoto wangu atanue,ni haki yangu.Kwa nini unipangie matumizi ya mshahara wangu!Mwingine anahoji Riz kuwa na sheli!Amekanusha.Kama amekanusha maana yake sio kweli.

Lakini hata kama atataka kuanzisha sheli,hashindwi.Kwa kutumia mishahara na posho zake tu,anaweza.Hapo mbali na za baba yake na mama yake.Au unadhani yeye hana haki ya kuanzisha biashara hapa nchini?Au unadhani wewe ndiye mwenye haki ya kuwa na biashara hapa nchini?Yeye sio mtanzania?Kwa nini ukiona biashara ya kiongozi au mtoto wa kiongozi inakukera?Hana ruhusa ya kutumia mshahara wake kuufanyia biashara?Kama WALIMU,manesi,maaskari,n.k wanakopa bank na kuanzisha biashara,yeye waziri,raisi,n.k wasikope kuanzisha biashara?Kwo tuache wivu wa kijinga.Tupiganie mambo ya msingi.

*Anaongozwa na Kikwete -Hili mi nalikataa kwa ushahudi kabisa.Labda kama mmesahau utawala wa awamu ya nne ulikuwaje.Tanzania tuna tatizo kidogo la democrasia.Lakini katika awamu zote,awamu ambayo ilijitahidi kuliko zote katika kudumisha misingi ya utawala bora basi ni ya nne chini ya Kikwete.Ukiondoa wivu na chuki za kijinga utaliona hili.Kikwete ameondoka ameacha bunge lina wapinzani ambao hawajawahi kuwa wengi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini.

Sasa kama Samia anaongozwa na Kikwete si ungeona wapinzani wa kutosha bungeni?Hii awamu katika uchaguzi haina utofauti na awamu ya tano.Chunguza utaona.Kwa kikwete matukio ya utekaji yalikuwa adim sana.Na ikionekana imefanyika uuaji basi aliunda tume kuchunguza,na wahusika wali hukuliwa hatua.Mfano mwandishi Daudi Mwangosi aliawa na polisi.Uchunguzj ulifanyika,muhusika akakili mbele ya mahakama,akahukumiwa.Ule utawala ulitawaliwa na tume za maridhiano katika Kila jambo kubwa la kutikisa nchi lililotokea.Sasa kama Samia anaongozwa na Kikwete lazima tungeona tume zikiundwa.Kwo hilo sio kweli.Yako mengi ila hayo ni kwa uchache tu.

*Mwisho-Raisi Samia kwa ninavyomdhani ni mtu mwenye huruma sana zaidi ya JK wa pili,labda Kwa kuwa ni mwanamke.Mfano;Jk aliwaweka ndani wale mashehe wa uamsho,jpm hakuwazingatia kabisa,lkn Samia amewaachia.Wengine watasema Kwa kuwa waislam wenzake,kwani aliyewaweka ndani si alikuwa muislam mwenzao?Hiyo ni huruma tu aliyo nayo.

Najua mtaniita chawa,hilo halina shida,ila Imani hainiruhusu kuwa chawa wa kisiasa,Mimi ni chawa wa Yesu tu.Huyu raisi ni mzuri sana huyu.Ukikosea,ukakubali kuwa umekosea,ukamuomba radhi kwa dhati,hata kama ulifanya kosa kubwa kiasi gani,ana moyo mwepesi saanaaa wa kusamehe.Ukimwendea inbox ukamweleza shida yako,ni mwenye huruma saaanaaa.Halafu,hapendi kufanya jambo la kutoa msaada kwa kujionesha..Hii ni Siri nawaibia.Tukimtumia vzr,ni fursa ya kupata katiba mpya,tume huru,maendeleo,na mambo mengine mengi yenye tija kwa taifa.
NA
Wewe ni mjinga period
Eti kwasababu utekaji ulianza na jpm basi tumuache Samia aendelee kuteka na kuuwa. Mleta mada wewe ni wa HOVYO
 
Mkuu kwahiyo watu waache mambo yaendelee kama yalivyo kwa sababu yalikuwepo kabla yake?

Tufanye sawa kuwa utekaji ulianza wakati wa Magufuli, watu tukaamini baada ya kufa Magufuli basi hayo mambo hayatokuwepo tena. Ila sasa hivi huo utekaji umezidi kushinda kipindi cha Magufuli na sasa hivi watu wanatekwa hadharani hadi imekuwa kama jambo la kuzoeleka sasa kama tukiliacha sasa hivi akija mwengine tutegemee utekaji kuzidi zaidi. Hiyo wewe unaona sawa?
Si sawa.
 
Hoja ni mbona kwa magufuli hamkufanya jaribio la kumpindua, ila kwa samia ndo mfanye?
Magufuli aliweza kuwin mioyo ya watu wa hali ya chini kwanza kwa kuwathamini na kuwatambua na ndio maana kwenye mashirika na taasisi za umma mwananchi wa kawaida akienda kwaajili ya kupata huduma anapata huduma kiwepesi. Alifanya vitu vingi vya kimaendeleo vya kumjali mtu wa chini.

Wananchi wa hali ya chini ndio kundi kubwa la watu hivyo ukiweza kuishi nao vyema hupati nao shida ila Samia kashindwa kuishi na wananchi wa hali ya chini na ndio hao wanaoandamana.
 
Baadhi uliyoyaandika ni kweli, lakini umeuacha mkweli mmoja ambao ni muhimu kuliko yote:

Hayati Magufuli alikuwa na tatizo kwenye kuheshimu demokrasia na haki za watu. Lakini kwa upande mwingine, Magufuli alikuwa na mapenzi makubwa kwa Tanzania, ndiyo maana hakuwahi kupora rasilimali za nchi akawagawia wageni kwa malipo ya rushwa binafsi au ya wanafamilia, kama huyu mama.

Pamoja na ukweli kwamba viongozi waliomtangulia walikuwa na makosa yao, lakini hakuna aliyefikia uovu wa hata 25% ya uovu wa utawala wa huyu mama.

Watu waliotekwa na kupotezwa na utawala wa Hayati Magufuli, sidhani kama walifika hata 50, huyu mama ni zaidi ya 180. Hakuna mtawala aliyeua watu kwa maelfu isipokuwa huyu mama. Yaani ni kwamba hakuna utawala katika bara zima la Afrika aliyewahi kuua waandamanaji na wasio waandamanaji kwa maelfu ili tu yeye awe Rais, ni huyu mama pekee yake. Huyu lazima atabakia kwenye historia ya Dunia kama mwanamke pekee aliyewahi kuwa katili kuliko yeyote. Ni katii kiasi cha kutojutia uovu wake uliosababisha maelfu ya roho za watu kupotea. Inaonekana anafurahia sana kuua watu, ndiyo maana watu wakiuawa, majibu yake huwa ni ya kejeli kubwa.
Ulimsikia alipoulizwa kuhusu watu kutekwa? Alijibu kuwa hakuna anayetekwa, huzo ni drama tu.

Alipozungumzia mauaji ya kikatili dhidi ta Ali Kibao, alisema kuwa kifo ni kifo tu. Huyi inaonekana ana roho ya uuaji, haumizwi wala haguswi wala kuimizwa na uhai wa binadamu wenzake kupotea. Bila shaka shetani amefanya makao ndani ya moyo wake. Tulimpenda sana mwanzoni, tukamsifia, kumbe tulikuwa tunamsifia muuaji, tunaomba Mungu atusamehe kwa kosa hilo.
 
Magufuli aliweza kuwin mioyo ya watu wa hali ya chini kwanza kwa kuwathamini na kuwatambua na ndio maana kwenye mashirika na taasisi za umma mwananchi wa kawaida akienda kwaajili ya kupata huduma anapata huduma kiwepesi. Alifanya vitu vingi vya kimaendeleo vya kumjali mtu wa chini.

Wananchi wa hali ya chini ndio kundi kubwa la watu hivyo ukiweza kuishi nao vyema hupati nao shida ila Samia kashindwa kuishi na wananchi wa hali ya chini na ndio hao wanaoandamana.
Samia ameshindwa kwa mujibu wa tafsiri yako tu, samia kafanya makubwa kumzidi magufuli kwa muda mfupi sana, magufuli anafariki miradi yote mikubwa ilikuwa hata haijaanza, samia kajenga daraja la busisi mwanza, sgr dar to dom kakamilisha, stigler gorge kakamilisha na miradi kibao ya kijamii iliyopunguza adha kwa wananchi, kafungua uchumi wa nchi uliokuwa banned sera mbovu za magufuli, lkn watu msio na shukrani leo samia anaonekana mbaya halafu muovu magufuli ndo anasifiwa, haya tukisema hapo kuna ajenda ya kidini mnalala mbele!
 
*Habari wana great thinker;

Mimi kwa mtazamo wangu Watanzania kinachotusumbua ni wivu wa kijinga dhidi ya viongozi na familia zao.Mathalani;watu wanamchukia samia na kumtaka atoke kwa sababu zifuatazo;Ufisadi,maisha ya kifahari ya watoto wao,utekaji,katiba mpya,uchaguzi huru na wa haki,kwamba anaongozwa na kikwete sio akili yake,n.k.Tena hili la kuongozwa na kikwete ndo kubwa kiasi ambacho watu humchukia sana kikwete na kumuombea mabaya(MUNGU amlinde).Tuchambue baadhi;

*Utekaji:Huu muasisi ni jpm,hilo halina ubishi,labda kama mtu ana agenda yake binafsi.Sasa kwa nini hawakutaka kumtoa jpm wakati ule?Najua hapa wanazi wa jpm watampaka mafuta mpendwa wao ila ukweli utabaki pale pale.

*Uchaguzi huru-uchaguzi kwa mara ya kwanza kuwa wa hovyo nchini ulifanyika 2020 chini ya jpm.Yeye ndiye muasisi wa uchafuzi ktk uchaguzi.Kwa nini watu hawaongelei hilo?Kwa nini ukigusia hili tu watu wanatamani wakurukie?Hii sio sawa.Kama ni madai ya kisiasa,chambua kwa kuzingatia usawa sio ukanda au u-mfumo dume au uzanzibar na utanganyika.

*Uhuru wa kitoa maoni-Ukiwa mkweli utanikubalia.Kuminywa kwa uhuru wa kujieleza muasisi ni jpm.Ukibisha itabidi uniambie,Lisu alipigwa risasi ktk awamu ili na kwa nini alipigwa risasi,Ben saanane alipotezwa na awamu ya nani na kwa kosa gani,kina Azory Gwanda,miili iliyokuwa ikiokotwa ufukweni Kila asubuhi,n.k.

*Maisha ya kifahari ya watoto wao-Mzee,mimi mwalimu,maisha ya watoto wangu hayawezi kufanana na ya mkulima mdogo.Lazima watoto wangu watakuwa na maisha classic kidogo kuliko watoto wa wale ambao kutoka kwao ndo kula yao.Nani anaujua mshahara wa raisi?Yeye ni mtumishi wa uma kama nilivyo mimi.Nikiamua mshahara wangu nimpe mmoja wa watoto wangu atanue,ni haki yangu.Kwa nini unipangie matumizi ya mshahara wangu!Mwingine anahoji Riz kuwa na sheli!Amekanusha.Kama amekanusha maana yake sio kweli.

Lakini hata kama atataka kuanzisha sheli,hashindwi.Kwa kutumia mishahara na posho zake tu,anaweza.Hapo mbali na za baba yake na mama yake.Au unadhani yeye hana haki ya kuanzisha biashara hapa nchini?Au unadhani wewe ndiye mwenye haki ya kuwa na biashara hapa nchini?Yeye sio mtanzania?Kwa nini ukiona biashara ya kiongozi au mtoto wa kiongozi inakukera?Hana ruhusa ya kutumia mshahara wake kuufanyia biashara?Kama WALIMU,manesi,maaskari,n.k wanakopa bank na kuanzisha biashara,yeye waziri,raisi,n.k wasikope kuanzisha biashara?Kwo tuache wivu wa kijinga.Tupiganie mambo ya msingi.

*Anaongozwa na Kikwete -Hili mi nalikataa kwa ushahudi kabisa.Labda kama mmesahau utawala wa awamu ya nne ulikuwaje.Tanzania tuna tatizo kidogo la democrasia.Lakini katika awamu zote,awamu ambayo ilijitahidi kuliko zote katika kudumisha misingi ya utawala bora basi ni ya nne chini ya Kikwete.Ukiondoa wivu na chuki za kijinga utaliona hili.Kikwete ameondoka ameacha bunge lina wapinzani ambao hawajawahi kuwa wengi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini.

Sasa kama Samia anaongozwa na Kikwete si ungeona wapinzani wa kutosha bungeni?Hii awamu katika uchaguzi haina utofauti na awamu ya tano.Chunguza utaona.Kwa kikwete matukio ya utekaji yalikuwa adim sana.Na ikionekana imefanyika uuaji basi aliunda tume kuchunguza,na wahusika wali hukuliwa hatua.Mfano mwandishi Daudi Mwangosi aliawa na polisi.Uchunguzj ulifanyika,muhusika akakili mbele ya mahakama,akahukumiwa.Ule utawala ulitawaliwa na tume za maridhiano katika Kila jambo kubwa la kutikisa nchi lililotokea.Sasa kama Samia anaongozwa na Kikwete lazima tungeona tume zikiundwa.Kwo hilo sio kweli.Yako mengi ila hayo ni kwa uchache tu.

*Mwisho-Raisi Samia kwa ninavyomdhani ni mtu mwenye huruma sana zaidi ya JK wa pili,labda Kwa kuwa ni mwanamke.Mfano;Jk aliwaweka ndani wale mashehe wa uamsho,jpm hakuwazingatia kabisa,lkn Samia amewaachia.Wengine watasema Kwa kuwa waislam wenzake,kwani aliyewaweka ndani si alikuwa muislam mwenzao?Hiyo ni huruma tu aliyo nayo.

Najua mtaniita chawa,hilo halina shida,ila Imani hainiruhusu kuwa chawa wa kisiasa,Mimi ni chawa wa Yesu tu.Huyu raisi ni mzuri sana huyu.Ukikosea,ukakubali kuwa umekosea,ukamuomba radhi kwa dhati,hata kama ulifanya kosa kubwa kiasi gani,ana moyo mwepesi saanaaa wa kusamehe.Ukimwendea inbox ukamweleza shida yako,ni mwenye huruma saaanaaa.Halafu,hapendi kufanya jambo la kutoa msaada kwa kujionesha..Hii ni Siri nawaibia.Tukimtumia vzr,ni fursa ya kupata katiba mpya,tume huru,maendeleo,na mambo mengine mengi yenye tija kwa taifa.
NA
Ulichokisema kina ukweli 75% lkn kwa Hali ya sasa hakuna atakaekuelewa.( Hasa hapo kwenye vikundi vya utekaji, kuvuruga uchaguzi,kuminya uhuru wa habari na kujieleza n.k

Kosa lake: alitakiwa kurekebisha haraka sana mambo hayo, vikundi hivyo vilimzidi nguvu samia
 
Sababu ya kwanza umetaja 'UFISADI,' apendwe tu kwa sababu hiyo? Halafu upunguze haraka uweke space kati ya maneno
 
Baada ya kuiba uchaguzi ndo anataka aongee,watu walimwambia arekebishe kabla,arekebishe sheria za uchaguzi kabla,yeye akajua akirekebisha hatoboi
Kurekebishwa kabla mlipaswa muanze kumuhimiza magufuli!!
 
Samia ameshindwa kwa mujibu wa tafsiri yako tu, samia kafanya makubwa kumzidi magufuli kwa muda mfupi sana, magufuli anafariki miradi yote mikubwa ilikuwa hata haijaanza, samia kajenga daraja la busisi mwanza, sgr dar to dom kakamilisha, stigler gorge kakamilisha na miradi kibao ya kijamii iliyopunguza adha kwa wananchi, kafungua uchumi wa nchi uliokuwa banned sera mbovu za magufuli, lkn watu msio na shukrani leo samia anaonekana mbaya halafu muovu magufuli ndo anasifiwa, haya tukisema hapo kuna ajenda ya kidini mnalala mbele!
Na hapa ndo mnazidi kukosea,huwezi kulazimisha kupendwa,Magufuli alipendwa sana na wananchi haswa wa hali ya chini,na ni kitu alichojijengea tangia akiwa waziri kwa awamu ya Mkapa,huyu mama yako huwezi mlinganisha hata kidogo na Magufuli,nadhani kwa rate ya kuchukiwa ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom