Watanzania hatuhitaji mabadiliko tunahitaji Regime Change kwa sasa

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Nadhani mtakubaliana nami, sidhani kama Watanzania wanahitaji wanahitaji mabadiliko kwa sasa.

Maana tukianza na mabadiliko kwanza majangili watatuchezea nakuleta lichama B maana wana watu wao kila mahali

Suluhisho ni regime change kwa sasa baada ya regime change ndo mengine yafuate ikiwemo mabadiliko ya kila kitu.

Regime change itainclude inapaswa kujumuisha kuwaeliminate mmoja baada ya mwingine mpaka waishe...

Yaani unafyeka cycle nzima then unamalizia na kichwa kikuu cha Pweza ukimaliza unafagia na mayai yote na mabaki

Regime change ndo njia ya kwanza ya kuwafuta watz machozi
 
Gentlemani,
wananchi wa Tanzania wanahitaji amani, utulivu na maendeleo pekee na si porojo zingine.
Na,
serikali sikivu ya CCM ndio pekee tumaini la daima la waTanzania wote.
 
Amani, utulivu na maendeleo ya kususua kwa WaTanganyika huku wajanja wachache wanajilimbikizia mali!
 
huenda anae suasaua umebaki wewe tu gentleman na hiyo nonensense sijui inaitwa tanganyka ama nini,

waTanzania hawawezi kubabaika na wasilolijua,
wanahitaji amani, utulivu na maendeleo.
 
Ccm ndio kansa ya taifa letu!.
maoni yako hayana athari zozote juu ya ukweli kwamba,
wananchi wa Tanzania wanahitaji tu amani, utulivu na maendeleo na wote wanapendelea kutimiza ndoto zao za maisha wakiwa chini ya serikali sikivu ya CCM.

hakuna mTanzania aneweza kuungana na mawazo ya mtoa hoja labada awe mamluki tu.
 
Gentlemani,
wananchi wa Tanzania wanahitaji amani, utulivu na maendeleo pekee na si porojo zingine.
Na,
serikali sikivu ya CCM ndio pekee tumaini la daima la waTanzania wote.
Akili huna
 
Nadhani mtakubaliana nami, sidhani kama Watanzania wanahitaji wanahitaji mabadiliko kwa sasa.

Maana tukianza na mabadiliko kwanza majangili watatuchezea nakuleta lichama B maana wana watu wao kila mahali

Suluhisho ni regime change kwa sasa baada ya regime change ndo mengine yafuate ikiwemo mabadiliko ya kila kitu.

Regime change itainclude inapaswa kujumuisha kuwaeliminate mmoja baada ya mwingine mpaka waishe...

Yaani unafyeka cycle nzima then unamalizia na kichwa kikuu cha Pweza ukimaliza unafagia na mayai yote na mabaki

Regime change ndo njia ya kwanza ya kuwafuta watz machozi
Screenshot_20260105-085755~2.png
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Nadhani mtakubaliana nami, sidhani kama Watanzania wanahitaji wanahitaji mabadiliko kwa sasa.

Maana tukianza na mabadiliko kwanza majangili watatuchezea nakuleta lichama B maana wana watu wao kila mahali

Suluhisho ni regime change kwa sasa baada ya regime change ndo mengine yafuate ikiwemo mabadiliko ya kila kitu.

Regime change itainclude inapaswa kujumuisha kuwaeliminate mmoja baada ya mwingine mpaka waishe...

Yaani unafyeka cycle nzima then unamalizia na kichwa kikuu cha Pweza ukimaliza unafagia na mayai yote na mabaki

Regime change ndo njia ya kwanza ya kuwafuta watz machozi

View: https://www.facebook.com/share/v/1NgNMgZzvL/
 
Gentlemani,
wananchi wa Tanzania wanahitaji amani, utulivu na maendeleo pekee na si porojo zingine.
Na,
serikali sikivu ya CCM ndio pekee tumaini la daima la waTanzania wote.
Tumekosa Aman na utulivu na maendeleo kwa pamoja
HUNA akili
 
Nadhani mtakubaliana nami, sidhani kama Watanzania wanahitaji wanahitaji mabadiliko kwa sasa.

Maana tukianza na mabadiliko kwanza majangili watatuchezea nakuleta lichama B maana wana watu wao kila mahali

Suluhisho ni regime change kwa sasa baada ya regime change ndo mengine yafuate ikiwemo mabadiliko ya kila kitu.

Regime change itainclude inapaswa kujumuisha kuwaeliminate mmoja baada ya mwingine mpaka waishe...

Yaani unafyeka cycle nzima then unamalizia na kichwa kikuu cha Pweza ukimaliza unafagia na mayai yote na mabaki

Regime change ndo njia ya kwanza ya kuwafuta watz machozi

Unaposema mabadiliko halafu unataka kuleta mabadiliko yasiyo mabadiliko, yatamnufaisha nani? Wakati ukuta. Kila dalili inaonyesha kwamba mambo ya uongo uongo au ujanja ujanja yamefikia ukingoni.
Mabadiliko yana namna mbili za kuja na kutokea...kuyapanga kwa hiari na kwa utaratibu unaokubali na wengi, au kuyakataa halafu yenyewe yakaja na kimbunga cha kisulisuli na maji ya gharika.
Mwenye hekima anayaangalia yote na kuamua kwa kujari mema na sio mabaya. Anayeendelea kuwa na kiburi naye atapata anachokitafuta
 
huenda anae suasaua umebaki wewe tu gentleman na hiyo nonensense sijui inaitwa tanganyka ama nini,

waTanzania hawawezi kubabaika na wasilolijua,
wanahitaji amani, utulivu na maendeleo.
Mtumika kotekote hupaswi kusikilizwa na kila mwenye akili timamu
 
Gentlemani,
wananchi wa Tanzania wanahitaji amani, utulivu na maendeleo pekee na si porojo zingine.
Na,
serikali sikivu ya CCM ndio pekee tumaini la daima la waTanzania wote.
Jifanye huelewi, mkia umeanza kuungua, moto ukifika kwenye makalio ndo utaelewa.
 
Back
Top Bottom