niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Wewe utahangaika sana lakini jua lissu hauziki na Magufuli ndio rais wetu kwa 2020 to 2025.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha haa...eti Hamgembe bukoba mjini!! Hiyo ni ya kwenu. Bukoba mjini kuna HAMUGEMBE.Jiseemee weweeee, usitujumulishe na sisi wanabukoba tunao kaaaa hapa hamgembe bukoba mjini. Sisi tunasema magufuli anatosha na kura zote ni zakeeee, kwahiyo uchonganishiii, na propaganda ondoa hapaa
Tarehe 28 October,mkoa wa kagera fanyieni yenu. TL anatufaaa1. Rais uhuru kenyata alichangia wahanga million 200.
2. Serikali ya korea iliwachangia wahanga million 108.
3. Serikali ya uingereza iliwachangia wahanga billion 6
4. Askofu mkuu wa EAGT dkt brown mwakipesile alichangia million 10.
5. Mh Freeman Mbowe million 5.
6. Waziri mkuu wa india NARENDRA MODI na serikali yake walichangia million 545.
7. Mchungaji king james wa kanisa la P.AG. kahororo kyamaizi bukoba alichangia million 3.
8. United States of America ilichangia billion 6.
9. Jasem al - najeola barozi wa Kuwait alichangia dora za marekani elfu 33.
10. Rais yoweli Kaguta museveni wa Uganda alichangia million 430 kupitia serikali yake.
11. Said salimu bakhalesa alichangia million 100.
12. Reginald mengi alichangia million 110.
13. Baraza la wawakilishi zanzibar lilichangia milioni 30.
14. Caspian omid kalambech alichangia million 190.
15. Kiongozi wa madhehebu ya bohora alichangia dora za marekani elfu 33.
16. Umoja wa vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema BAVICHA walichangia million 7.
17. Barozi kagasheki milioni 5.
18. Uvccm mwanza milioni 3.
19 .Mch. Dr geturuda rwakatale million 10.
Kwa mujibu wa ripoti ya maafa iliyo tolewa na mkuu wa mkoa wa kagera Mh Kijuu wakati ule nikwamba nyumba zaidi ya 1200 ziliadhilika na tetemeko hilo.
Ukilinganisha na kiasi hicho cha fedha kilicho changwa na wadau mbalibali niwazi kila Mhathirika angeweza kujengewa nyumba nzuri na ya kisasa tena yenye vigae kwa kila muhanga na umeme juu.
Kwa mujibu wa Rais Magufuli aliwajibu wanakagera mwafa serikali haina fedha za kuwajengea nyumba na hakuna serikali yoyote duniani iliyowai kuwajengea wahanga wa matetemeko nyumba!
Magufuli alienda mbali zaidi nakusema fedha zilozo changwa zitajenga miundominu ya serikali iliyo alibiwa na tetemeko hilo.
Sasa watanzania tunahoji mbona miundombinu iliyo karabatiwa mbona haiendani na kiasi cha fedha lizizo changwa Fedha zingine zimepelekwa wapi?
WATANZANIA TUMETUNZA MAFILE KWA KUMBUKUMBU NZURI ZA KUSAIDIA KWA AMBAO HAWAKUREKODI KUMBUKUMBU.
kwa wale tulioweka Kumbukumbu naomba tukumbane kwa kuongeza mengine na kuonyesha jinsi gani hatutaki kudanganywa wala kuunga hoja zisizo na Mantiki.
TUUNGANE NA KUKEMEA UNYANYASAJI UNAOENDELEA KULIGAWA TAIFA LETU BILA KUANGALIA ITIKADI ZETU BALI TUWEKE MBELE MSTAKABARI WA MAENDELEO KWA WANANCHI WA TANZANIA NA UTANZANIA WETU. (Tusibaguane kwa Matatizo tuliyonayo #SisiniWamoja Tanzania Moja kwa Umoja WETU.)
Helicopter mbona mbali...malori tu yale ya kubebea ng'ombe kule Jiji Kuu yanatosha.Chadema mbona uchaguzi huu amna helcopter?.
Jitahidini mpate helcopter huwa inasaidia kujaza watu kwenye uwanja wanapokuja kuishangaa.
1.
Sasa watanzania tunahoji mbona miundombinu iliyo karabatiwa mbona haiendani na kiasi cha fedha lizizo changwa Fedha zingine zimepelekwa wapi?
WATANZANIA TUMETUNZA MAFILE KWA KUMBUKUMBU NZURI ZA KUSAIDIA KWA AMBAO HAWAKUREKODI KUMBUKUMBU.
kwa wale tulioweka Kumbukumbu naomba tukumbane kwa kuongeza mengine na kuonyesha jinsi gani hatutaki kudanganywa wala kuunga hoja zisizo na Mantiki.
Ulikua na kibanda chamakuti ya miti ya mihumula kakapasuka kidogoo halafu ukakikamalizia kukidondoshaa, baada yakusikia misada imetolewa iliwakujengeee nyumba ya kisasa yenyebati za mzauz.Ha ha ha haa...eti Hamgembe bukoba mjini!! Hiyo ni ya kwenu. Bukoba mjini kuna HAMUGEMBE.
Oli kifela kyankaasi iwee??
Unashabikia ujinga?? Umeelewa kilichoongelewa au unashabikia kisa kofia tu? Hivi unadhani tuliobomolewa nyumba zetu tukalala kwenye turubai wiki tunakuonaje wewe?? Na msaada tukapewa bado ukazimwa??
Hivi unajua kwamba kuna raia tangu kwenye tetemeko mpaka leo bado uchumi wao haujakaa sawa? Bk hatusahau hili..!!!
Unanikumbusha chatoKwani wahaya ni watanzania kwani?
Kuna nini chato?Unanikumbusha chato
Waliowahi kuongozwa na mbunge ambaye sio mtanzania. Uhamiaji wakapiga kimyaKuna nini chato?
Yaani MTU yeyote wa Kagera kumpa kura huyu MTU atakuwa bonge LA mjinga. Sio kwa kauli zile!Ila Mh alikosea sana eti tetemeko nyie Ukimwi nyie...........
Mueleze mleta mada kuwa kuna baadhi ya ndugu zetu watanzania wa huko Kagera, kwa makusi, waliamua kupamua nyufa za majengo yao ama kubomoa kuta kabisa wakitarajia wakati wakufanyiwa tathimini nao watalipwa ela za kujikimu na kukarabati nyumba zao. Taarifa zipo. Hivyo, wakati mleta mada anajivinjari na uzi wake huu, asisahau kukema uchoyo, ubinafsi, na mengine yaliyopitiliza kama hayo kwa baadhi ya ndugu zetu popote walipo!Hakika Magufuli hafai kupewa kipindi kingine.
........"kwani ni mimi niliyeleta tetemeko?"....alisikika akisema rais Magufuli. Huu ndio wakati wa kumwadhibu wana Bukoba tusifanye makosa.1. Rais uhuru kenyata alichangia wahanga million 200.
2. Serikali ya korea iliwachangia wahanga million 108.
3. Serikali ya uingereza iliwachangia wahanga billion 6
4. Askofu mkuu wa EAGT dkt brown mwakipesile alichangia million 10.
5. Mh Freeman Mbowe million 5.
6. Waziri mkuu wa india NARENDRA MODI na serikali yake walichangia million 545.
7. Mchungaji king james wa kanisa la P.AG. kahororo kyamaizi bukoba alichangia million 3.
8. United States of America ilichangia billion 6.
9. Jasem al - najeola barozi wa Kuwait alichangia dora za marekani elfu 33.
10. Rais yoweli Kaguta museveni wa Uganda alichangia million 430 kupitia serikali yake.
11. Said salimu bakhalesa alichangia million 100.
12. Reginald mengi alichangia million 110.
13. Baraza la wawakilishi zanzibar lilichangia milioni 30.
14. Caspian omid kalambech alichangia million 190.
15. Kiongozi wa madhehebu ya bohora alichangia dora za marekani elfu 33.
16. Umoja wa vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema BAVICHA walichangia million 7.
17. Barozi kagasheki milioni 5.
18. Uvccm mwanza milioni 3.
19 .Mch. Dr geturuda rwakatale million 10.
Kwa mujibu wa ripoti ya maafa iliyo tolewa na mkuu wa mkoa wa kagera Mh Kijuu wakati ule nikwamba nyumba zaidi ya 1200 ziliadhilika na tetemeko hilo.
Ukilinganisha na kiasi hicho cha fedha kilicho changwa na wadau mbalibali niwazi kila Mhathirika angeweza kujengewa nyumba nzuri na ya kisasa tena yenye vigae kwa kila muhanga na umeme juu.
Kwa mujibu wa Rais Magufuli aliwajibu wanakagera mwafa serikali haina fedha za kuwajengea nyumba na hakuna serikali yoyote duniani iliyowai kuwajengea wahanga wa matetemeko nyumba!
Magufuli alienda mbali zaidi nakusema fedha zilozo changwa zitajenga miundominu ya serikali iliyo alibiwa na tetemeko hilo.
Sasa watanzania tunahoji mbona miundombinu iliyo karabatiwa mbona haiendani na kiasi cha fedha lizizo changwa Fedha zingine zimepelekwa wapi?
WATANZANIA TUMETUNZA MAFILE KWA KUMBUKUMBU NZURI ZA KUSAIDIA KWA AMBAO HAWAKUREKODI KUMBUKUMBU.
kwa wale tulioweka Kumbukumbu naomba tukumbane kwa kuongeza mengine na kuonyesha jinsi gani hatutaki kudanganywa wala kuunga hoja zisizo na Mantiki.
TUUNGANE NA KUKEMEA UNYANYASAJI UNAOENDELEA KULIGAWA TAIFA LETU BILA KUANGALIA ITIKADI ZETU BALI TUWEKE MBELE MSTAKABARI WA MAENDELEO KWA WANANCHI WA TANZANIA NA UTANZANIA WETU. (Tusibaguane kwa Matatizo tuliyonayo #SisiniWamoja Tanzania Moja kwa Umoja WETU.)
Kula sana nyama ya punda kumekuathiri ubongoUsiseme watanzania ,sema chadema hatusahau ,sasa mimi mtu wa kinampanda halikunihusu

Sawa mnyampaaKula sana nyama ya punda kumekuathiri ubongo