fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
100% hayupo wa kumpa kura mkuu kwanza yeye mwenyewe unahisi Ataenda kweli huko lazima nafsi yake ijutie maneno yake!Yaani MTU yeyote wa Kagera kumpa kura huyu MTU atakuwa bonge LA mjinga. Sio kwa kauli zile!