Watanzania hatujasahau na hatutasahau yaliyotokea katika tetemeko la Kagera

Wewe utahangaika sana lakini jua lissu hauziki na Magufuli ndio rais wetu kwa 2020 to 2025.
 
Jiseemee weweeee, usitujumulishe na sisi wanabukoba tunao kaaaa hapa hamgembe bukoba mjini. Sisi tunasema magufuli anatosha na kura zote ni zakeeee, kwahiyo uchonganishiii, na propaganda ondoa hapaa
Ha ha ha haa...eti Hamgembe bukoba mjini!! Hiyo ni ya kwenu. Bukoba mjini kuna HAMUGEMBE.


Oli kifela kyankaasi iwee??

Unashabikia ujinga?? Umeelewa kilichoongelewa au unashabikia kisa kofia tu? Hivi unadhani tuliobomolewa nyumba zetu tukalala kwenye turubai wiki tunakuonaje wewe?? Na msaada tukapewa bado ukazimwa??

Hivi unajua kwamba kuna raia tangu kwenye tetemeko mpaka leo bado uchumi wao haujakaa sawa? Bk hatusahau hili..!!!
 
Tarehe 28 October,mkoa wa kagera fanyieni yenu. TL anatufaaa
 
Chadema mbona uchaguzi huu amna helcopter?.
Jitahidini mpate helcopter huwa inasaidia kujaza watu kwenye uwanja wanapokuja kuishangaa.
Helicopter mbona mbali...malori tu yale ya kubebea ng'ombe kule Jiji Kuu yanatosha.
 
Usiseme watanzania ,sema chadema hatusahau ,sasa mimi mtu wa kinampanda halikunihusu
 

Uliyoandika ni UPUUZI mtupu.

Tumechoka na lawama, shutuma, dhihaki, kejeli, nk kutoka kwa viongozi, wanachama, na wafuasi wa Chama kinachoomba ridhaa ya WaTz kuongoza nchi hii.

Hatutaki kusikia majidai, majigambo na mbwembwe za majukwaani ya viongozi wanaoomba ridhaa ya WaTz kuongoza nchi hii.

Tunaomba kusikia Sera/Mikakati mbadala ya maendeleo na jinsi ya kufanikisha.

Tunataka kusikia, kutoka kwa hao wagombea, nini wameifanyia Tz hadi leo ili tuamini kuwa wanao uwezo na nia thabiti za kutimiza ahadi zao hizo.
 
Najaribu tu kuwaza kwa sauti "mtu aliyepiga pesa za rambirambi hafai kupewa 2nd chance hata kama akitubu maana ni muuaji na asiye na chembe ya utu ndani yake"
Pole sana kwa vijana wa UDOM
 
Ulikua na kibanda chamakuti ya miti ya mihumula kakapasuka kidogoo halafu ukakikamalizia kukidondoshaa, baada yakusikia misada imetolewa iliwakujengeee nyumba ya kisasa yenyebati za mzauz.
Mhaya gani we we unayelilia lilia musada ya rambirambiiii? Kalime mibuni huko mtukura na kashozi utapata helaaaa.
Haaaaa haaaaaa. Ngoja nikuache.
 
Hakika Magufuli hafai kupewa kipindi kingine.
Mueleze mleta mada kuwa kuna baadhi ya ndugu zetu watanzania wa huko Kagera, kwa makusi, waliamua kupamua nyufa za majengo yao ama kubomoa kuta kabisa wakitarajia wakati wakufanyiwa tathimini nao watalipwa ela za kujikimu na kukarabati nyumba zao. Taarifa zipo. Hivyo, wakati mleta mada anajivinjari na uzi wake huu, asisahau kukema uchoyo, ubinafsi, na mengine yaliyopitiliza kama hayo kwa baadhi ya ndugu zetu popote walipo!
 
........"kwani ni mimi niliyeleta tetemeko?"....alisikika akisema rais Magufuli. Huu ndio wakati wa kumwadhibu wana Bukoba tusifanye makosa.
 
Tatizo la watanzania wengi lipo kwenye memory center (sehemu ya ubongo inayohusika kutunza kumbukumbu) na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…