Watanzania hatujasahau na hatutasahau yaliyotokea katika tetemeko la Kagera

Yaani MTU yeyote wa Kagera kumpa kura huyu MTU atakuwa bonge LA mjinga. Sio kwa kauli zile!
100% hayupo wa kumpa kura mkuu kwanza yeye mwenyewe unahisi Ataenda kweli huko lazima nafsi yake ijutie maneno yake!
 
Tatizo la watanzania wengi lipo kwenye memory center (sehemu ya ubongo inayohusika kutunza kumbukumbu) na si vinginevyo.
Technology imekuja kuwasaidia mkuu ndio maaana anayetaka uwongozi wa malaika anatamani azime mitandao ya kijamii!
Fikiria leo tungekuwa tuna tunategemea TBC CCM ingekuwaje!! Tusingekuwa kumbushana haya
 
Huu Ni urojo wa Cha Domo na Wala hazita wasaidia kuwapa kura hamna sera zaidi ya kuwa vibaraka wa mabeberu, Viva magufuli Viva CCM
poor you...umeshindwa kujibu hoja apo unakimbilia kusifia tu...kama alieandika hayo ni uongo mbona ujapinga...

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…