alma gemela
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 842
- 280
Umesema kweli tupu neno moja uzungu mwingi mno kwa dada etu, binafsi simpendi wala sipendi mziki wake kisa uzungu wakeMimi si mpenzi wa mziki wa kizazi kipya lakini kwa wakati mchache ninaoangaliaga hii miziki nimegundua kuwa aina ya mziki anaoufanya huyo binti kwa kiasi kikubwa unamtenga na hadhira ya hapa nyumbani kwa kuwa katika mziki anaweka uzungu mwingi mpaka anakuwa kinyaa kama sio kutia kichefu chefu....ni binti mrembo mwenye sauti nzuri sana isipokuwa tu matendo yake afanyapo huo mziki ndio vinavyotia kinyaa kama sio kutapisha kabisa.....
Kwa kila anayemfahamu huyo ni lazima atakubaliana na mimi kuwa vidio ya mziki wa huyo binti huwezi kutazama ukiwa na watu ambao unawaheshimu labda wote muwe wendawazimu au muwe mmelewa.....
Yaani amekuwa hayathamini kabisa maungo yake nyeti....bila ya kusahau na kutuimbia kwa kiingereza ambapo anajua wazi kuwa sisi tulio wengi lugha hiyo ni kitendawili ambapo inakulazima uwe na kamusi ili kuuelewa mziki wake.......
Kwa kifupi huyo binti anatakiwa abadilike na apige mziki wa kinyumbani zaidi ambao unawagusa wananchi moja kwa moja......
Nawasilisha.....
Umesema kweli tupu neno moja uzungu mwingi mno kwa dada etu, binafsi simpendi wala sipendi mziki wake kisa uzungu wake
Hiyo list ni ya kweliList wa wasanii wanaofanya vizuri kimataifa
1.Diamond platnumz.
2.Vannesa mdee
3.Navy kenzo
4.Joh makini
5.Ali kiba
Najua Kuna watu watanipinga lkn kama mfuatiliaji mzuri wa station kama mtv, trace na stv rotation ya nyimbo zao ni kubwa. Nirudi kwenye mada husika Vannesa ni msanii mkubwa sana na hata nyimbo yake ya niroge bonge la hiti, ila wanaotuaharibia mziki wetu ni kiba na mondi ambao wameziteka kuanzia media mpaka watangazaji plus mashabiki oya oya hawaoni wala hawambiwi. Ukiangalia nyimbo zilizotoka kipindi hiki Kuna nyimbo kali kuliko Aje lkn hazipati rotation ya kutosha kama NIROGE ya Vannesa, SAMAKI ya Galatone, MOYO MACHINE wa Ben Pol, KUBALI jina la msanii limenitoka ila video wamefanya kwetu studio, ukizitizama hizi nyimbo ni kali sana. Tukitaka mziki wa bongo uwe fair kwanza lazima hii beef na hizi tim zife ndio media na watangazaji watawaona hawa wasanii la sivyo kiba na Dimond hata watoee nyimbo mbaya vipi zinaonekana nzuri tu.
...acha unafki!...username yako tu ya kizungu!...JF na devices unazotumia za kizungu!..sijui kama bado wavaa magome ya miti siku hizi!Umesema kweli tupu neno moja uzungu mwingi mno kwa dada etu, binafsi simpendi wala sipendi mziki wake kisa uzungu wake
Kichwa kinaumaaaa[emoji37] [emoji37] [emoji37]
mziki hauna lugha jamaaMimi si mpenzi wa mziki wa kizazi kipya lakini kwa wakati mchache ninaoangaliaga hii miziki nimegundua kuwa aina ya mziki anaoufanya huyo binti kwa kiasi kikubwa unamtenga na hadhira ya hapa nyumbani kwa kuwa katika mziki anaweka uzungu mwingi mpaka anakuwa kinyaa kama sio kutia kichefu chefu....ni binti mrembo mwenye sauti nzuri sana isipokuwa tu matendo yake afanyapo huo mziki ndio vinavyotia kinyaa kama sio kutapisha kabisa.....
Kwa kila anayemfahamu huyo ni lazima atakubaliana na mimi kuwa vidio ya mziki wa huyo binti huwezi kutazama ukiwa na watu ambao unawaheshimu labda wote muwe wendawazimu au muwe mmelewa.....
Yaani amekuwa hayathamini kabisa maungo yake nyeti....bila ya kusahau na kutuimbia kwa kiingereza ambapo anajua wazi kuwa sisi tulio wengi lugha hiyo ni kitendawili ambapo inakulazima uwe na kamusi ili kuuelewa mziki wake.......
Kwa kifupi huyo binti anatakiwa abadilike na apige mziki wa kinyumbani zaidi ambao unawagusa wananchi moja kwa moja......
Nawasilisha.....
Wewe mzungu kamsapoti vanessa mimi simsapoti maishaa yangu hadi abadilikee huo uzungu wake hutaki acha...acha unafki!...username yako tu ya kizungu!...JF na devices unazotumia za kizungu!..sijui kama bado wavaa magome ya miti siku hizi!
mziki hauna lugha jamaa
...kituko!...unamtaka abadilike aache 'uzungu' wake ndio uumsapoti wakati wewe bado waitwa john agrey!?Wewe mzungu kamsapoti vanessa mimi simsapoti maishaa yangu hadi abadilikee huo uzungu wake hutaki acha