Watanzania hatumtendei haki Vanessa Mdee

Wamesahau kuwa wamecheza sana miziki ya kikongo, reggae na wanaendelea kusikiliza miziki ya àkina Rihanna na wanaija ingawa lugha sio kiswahili na wanaipenda.
Watanzania wanavyomchukulia mtz mwenzao si sawa na wanavyomchukulia msanii wa nje, Rihanna akiimba kizungu sawa kwavile ndio asili yake, na msanii wa bongo wanategemea awe na swaga za kibongo, hakuna msanii wa bongo aliyefanikiwa kwa kuimba kizungu, ni lazima utaishia njiani tu
 
Man Fongo akipiga shoo,shangwe litaamka sana kuliko akipiga Vanessa.
Inashangaza kuona wasanii wa singeli wana shoo nyingi kuliko kwa vanessa,kuna sehemu atakuwa anakosea tu.
YNWA
 
Vanesa aka V money mim ni shabik yake namba moja na natambua kuwa ni msanii mkubwa coz nyimbo zina hit nje na ndani ila ninachokiona hapa ni management au nin sielewi kwann bado anaonekana kama msanii mdogo. Wake up V money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…