screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Watanzania wanavyomchukulia mtz mwenzao si sawa na wanavyomchukulia msanii wa nje, Rihanna akiimba kizungu sawa kwavile ndio asili yake, na msanii wa bongo wanategemea awe na swaga za kibongo, hakuna msanii wa bongo aliyefanikiwa kwa kuimba kizungu, ni lazima utaishia njiani tuWamesahau kuwa wamecheza sana miziki ya kikongo, reggae na wanaendelea kusikiliza miziki ya àkina Rihanna na wanaija ingawa lugha sio kiswahili na wanaipenda.