Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma (Watanzania,hasa wa chama tawala, hawana huo uzalendo hata kidogo).
Ipo siku Watanzania mtaujua ukweli pale itapokuja kuundwa tume huru kuchunguza yaliyofanyika au vinginevyo hata kama itakuwa ni katika awamu zijazo.
Mfano mzuri miongoni mwa mingi iliyopo ni ile ya gesi huko Mtwara na nguvu kubwa iliyotumika wakati ule na leo tunaambiwa gesi si yetu bali ni ya mabeberu (as Magufuli once said).
Niambieni ni lini CCM wamewahi kuwa na uchungu na maliasili za nchi yetu kwa kiwango hiki tena katika zama hizi?Nitakuwa wa mwisho kuwaamini.
Time will tell.