Mi nashangaa unashindwaje kumtoa kafara mzee wakati mlevi mpaka anajikojolea. Huyu hat ukimtangulize si unpata thawabu kabisa(Kama kuna mtu kakaa vibaya humuelewi toka hata kafara umpunguzie dhambi mwa mungu mradi ya kwako yaende.) hii sentesi hii duh? 🤔Nikae makini 🤣wasije wakawa hawanielewi vile
Kama ndivyo mkuu basi ishi maisha yako achana naya watu!Kivipi mkuu? Kusaka hela ya kodi na kula ni kusubiria kufa. Tumekuja duniani kuishi sio kusubri kufa
Nae ana hako ya kuishiMi nashangaa unashindwaje kumtoa kafara mzee wakati mlevi mpaka anajikojolea. Huyu hat ukimtangulize si unpata thawabu kabisa
Niachane vipi na ya watu wakati naishi kama mtu? Tunafanya marekebisho ya mipango na maisha yetu kwa kuangazia wengine.Kama ndivyo mkuu basi ishi maisha yako achana naya watu!
Muafrika na uchawi ni makalio na kigoda.
Wewe ushatoa wangapi mpaka sasa maana unasema mwenzio kashamtoa baba yake anaesema ni tajiri top 2, wewe ushatoa wangapi na kuwapunguzia dhambi?Kivipi mkuu? Kusaka hela ya kodi na kula ni kusubiria kufa. Tumekuja duniani kuishi sio kusubri kufa
Wewe ushatoa wangapi mpaka sasa maana unasema mwenzio kashamtoa baba yake anaesema ni tajiri top 2, wewe ushatoa wangapi na kuwapunguzia dhambi?
Ah wapi mkuu? Umqskini na utajri ni mpango wa mtu mwenyewe, kwanza pesa sio mpango wa mungu. Ni mpqngo wa Kaisari!