Uko sahihi 95%
[/QUOTE. Wtz hatuna maadili hata kidogo tuendelee hivi hivi maendeleo hatutayapata kamwe!! Kazi kunyoosheana vidole kumbe wote tunatamani tupate tule!!
Naaam umenena!! Hayo ndo maneno yetu wtz yaani tupo hovyo hakuna mwenye afadhali!!! Ni wezi mpaka mungu anachukiaUpo sahihi kabisa ndio maana mtu akiteuliwa nafasi ya kutumika taifa tunasema 'ameula', 'ametusua' au 'amepata shavu'.
Wanasema wao na udokozi ni pete na kidole!!! Kawaulize wazungu hawana hamu na wtzKwanza watanzania wenyewe wanasemaje?
Sawa chenge, wamekusikia kamanda.Watz hawachukii ufisadi na ukiona wanapiga kelele ujue ni wivu tu kwa mtu fulani,,,ukitaka kujua hilo mtafute mpiga kelele mmoja mpe nafasi uone maajabu...
Naam ni wivu tu!!! We kaangalie kajitu kama ka polepole kanapiga kelele kama hakajapata kakipata kinageuka nyoka!! Na wote ndivyo tulivyo!! Ona takataka kama kabudi na wengine!!Ni wivu tu...!!
Kwenye mojawapo ya kesi fulani ya miaka ya nyuma ya maswala ya fedha za Serikali kuchotwa kinyemela, nilijaribu kufanya utafiti wa juu juu kuhusinana na watu waliokuwa wanalalamika kuhusiana na fedha hizo kupotea.Likely true
We ndo taahira kabisa ukiona mtu kakaa kimya ujue kalambishwa kitu tyr!!! Kama mzalendo kwanini asipaze sauti kwa kutoa ushahidi usiobakiza shaka!!!?umewaza kama taahira, si kila mtu ana hulka ya tamaa, kuna watu huko ndani ya system hua hawachukui hiyo migao ya pesa haram japo hukosa tu uwezo wa kuzuia.