Watanzania hawajahuzunika na Kipigo cha DRC, Kwanini?

Waliokuwa wanafurahi Club zao kutoa wachezaji wengi wanaocheza timu ya Taifa nadhani hao ndio wanaopaswa kuhuzunika.
 
Una siasa za kipumbavu sana. Kama watu hawajafurahishwa si ina maana wamehuzunishwa? Taifa Stars sio timu ya CHADEMA wala CCM. Hata nyie mkiingia madarakani mwaka 2315 mtaendelea na Taifa Stars. DRC kisoka wako mbali. Hiyo nchi ina vipaji vingi mno vya michezo kwa hiyo kuifunga stars sio maajabu. Unafahamu kwa Claude Makelele alienda Ufaransa akiwa mkubwa kabisa kutokea DRC?
 
Nmefurahia sana matokeo, mana tungeanza kupigiwa kelele za mama anaupiga mwingi
 
Vyama vya upinzani Tanzania ni vya kipumbavu sana hasa Chadema.
 
Sijaelewa kama unalia, unaweweseka au unahuzunika.

Hivi ni sahihi kumhoji Katibu Mkuu wa Wizara ya michezo badala ya kocha?
 
Tumefungwa sababu ya uwezo wa DR Congo, mengine ni taarabu tu.

Hakuna huzuni yoyote maana tulitarajia kipigo na tumekipata, hapa sasa fainali yetu ni Guinea na Ethiopia ndondo wenzetu.
 
Tumefungwa sababu ya uwezo wa DR Congo, mengine ni taarabu tu.

Hakuna huzuni yoyote maana tulitarajia kipigo na tumekipata, hapa sasa fainali yetu ni Guinea na Ethiopia ndondo wenzetu.
Tuna Sudan Playoffs tarehe 11/11/2024 wakatusagie kunguni.. Leo Ghana kala 2 mtungi swaaaafy. .
 
Watz wameshajikatia tamaa kwa mambo mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…