Watanzania hawana adabu kumsema Rais!


Ha ha ha ha ha Mpumbavu mwingine kapandikizwa hapa na watetezi wa mafisadi na si ajabu mwenyewe pia ni fisadi. Adabu wewe umeifahamu tangu lini? Unaweza kutupa definition ya adabu kama unavyoifahamu wewe?

Au adabu kwako wewe ni kukaa kimya wakati mafisadi akina Mkapa, Manji, Rostam, Chenge, Subhash Patel, Jeetu, Karamagi, Idrissa, Yona na wengineo chungu nzima wakiendelea kupira urajiri wa Watanzania kwa mabilino wakati asilimia kubwa ya Watanzania wakiishi kwa maisha ya ufukara wa kutisha? Au unataka tukae kimya kuhusu utendaji dhaifu wa Kikwete ambaye aliingia madarakani kwa kutumia mabilioni ya mafisadi ndiyo utaona tuna adabu?

Kwa hiyo kwa akili yako finyu hata Viongozi wa dini zetu mbili kubwa wanaosema kwamba nchi inaenda mrama, na viongozi wa zamani kama Warioba, SAS, Butiku na wengineo wengi wanaosema mwelekeo wa nchi hauridhishi nao hawana adabu! ila mwenye adabu ni wewe tu mtetezi wa mafisadi mwenye adabu ya woga unaogopa hata kuhoji chochote kile kinachohusiana na uongozi mbovu wa Kikwete!

Waungwana, hivi ndiyo viroja tutakavyoviona kuelekea 2010. Wewe mwenye adabu kaa na adabu yako na siye tusiokuwa na adabu tuache tufanye vitu vyetu.
 

Mmmmmh! Heri mimi sijasema!
 

Matamshi yako yana dhibitisha kuwa kweli una ubongo tena mkubwa lakini akili huna" Ubongo ni ubongo tu hata vichaa wana ubongo,siyo vichaa tu hata wanyama wana ubongo pia" hivyo basi Falesy wewe unaubongo mkubwa lakini natilia mashaka kama una akili timamu maana pumba kama hizi zinaandikwa na mtu mwenye ubongo tu lakini akili hana.samahani JF nimeona kichefuchefu ndo maana nimetumia lugha hii kali kwa huyu mheshimiwa asiye na akili bali ana ubongo kubwa.
 

Hata kama siye Mkamap basi ni birds of a feather...akili zao sawasawa. Rais tutaendelea kumsema akiboronga ili ifike wakati akubali huo mfupa hauwezi. Raisi ameajiriwa na wananchi na sisi kama mabosi wake tutamwajibisha na kumwadabisha kwa kila kosa analolifanya. Sasa kwa kuwa makosa ni mengi na hajirekebishi yeye ndio anatukosea adabu - kwa mtovu wa adabu ni mawe tu. Raisi wetu yuko uchi na hapa JF tunamwambia hajavaa nguo huku Mkamap alias Falsey wakimsifia kwa utanashati - kweli dunia mdundo, wehu wengi !
 
Na wewe Mwanakijiji acha kuwapa THANKS wendawazimu hawa. Watajiona wameandika la maana.
 


Mh!
 

Ni kweli bado tuna watanzania kama huyu mtu?. Tunakazi kubwa ya kuwaelisha mambumbumbu kama hawa.
 
Mkuu Falesy, vipi na hawa chini nao wana matatizo ya binafsi na chuki na Rais wetu, au ni sisi tu JF?


http://www.nation.co.ke/
 
FMES,
Thanks. Hiyo quote nitaiweka kwenye maktaba yangu.
 

Wewe ni mpumbavu mara 10000000000000000 na ulicho andika hapa ni ujinga mtupu.
 
ukipenda sana kukosoa angalia siku ukikosolewa, siyo kufikiria tu kuwa na timu upande mmoja. kama mambo ndo haya JF kimeo
 
ukipenda sana kukosoa angalia siku ukikosolewa, siyo kufikiria tu kuwa na timu upande mmoja. kama mambo ndo haya JF kimeo


JF sio kimeo ila wenye mawazo ambayo ni upupu na hoja dhaifu ambazo hazina mashiko ndiyo VIMEO.
 
Nashangaa mnavyojibizana na MWEHU.
anyway ndo mambo ya JF haya. tunasonga mbele kumkoma nyani giladi
 
Falesy Hukutumwa kukusanya taarifa kwani nani asiyekujua wewe ni Usalama? tena unajifanya eti Mjita kumbe Mjaluo wa Kenya ndo maana wewe huoni Uozo wa Viongozi wa JK na yeye kuwa barafu lazima watu watasema mfuate mmoja mmoja umfunge mdomo
 
WEWE Falesy Hukutumwa kukusanya taarifa kwani nani asiyekujua wewe ni Usalama? tena unajifanya eti Mjita kumbe Mjaluo wa Kenya ndo maana wewe huoni Uozo wa Viongozi wa JK na yeye kuwa barafu lazima watu watasema mfuate mmoja mmoja umfunge mdomo
 
Enzi za kufa na tai shingoni wakati mambo yanaenda mrama zimekwisha long ago! Hatuchagui Raisi ili tumuogope ati tutamvunjia heshima wakati tunahisi mambo hayako sawasawa.Hiyo sio heshima ni unafiki. Na kwa hilo hata kama utaamua kutusilence tunaochangia JF kwa mbinu yoyote ile, haitakuwa ndiyo dawa ya ku silence Tanzania nzima kwasababu ya kulalamika mambo yasiyo na tija kwao.
Walishindwa USSR and other corrupt regimes, nina uhakika hata hapa hatutaweza.Dawa ni kubadilika na kuanza kuitumikia nchi yetu kama nchi yetu. I hate egotists kwasababu huwa wanatabia ya kutaka wapate wao tu wengine tuwe watazamaji.
Na kwa kukusaidia, just note that sio wote ni wanachama wa vyama vya siasa hapa bongo.Ila katika kazi ninazofanya siasa mbovu zimekuwa mzigo usiobebeka kwangu na hivyo ni lazima niseme yale ninayoona hayaendi sawa. Leo JF tumekosa heshima kwa Raisi, jana walikuwa mwalimu nyerere foundation na kesho atakuwa nani?
 
ukipenda sana kukosoa angalia siku ukikosolewa, siyo kufikiria tu kuwa na timu upande mmoja. kama mambo ndo haya JF kimeo
Kama JF ni kimeo, na wewe mwenye kuleta hii hoja je?
 
Raisi sio mali ya raisi, ni mali ya wenye raisi. Ukitaka kuwa kiongozi wa umma unapaswa kujua kwamba wewe sio mali yako tena, unageuka mali ya umma, watakuchambua kama karanga na ni lazima uwe mpole, uwe transparent. mambo ya pembenipembeni ndio basi tena, huna uhuru ila mambo machache tu, chumbani kwako (sio nyumba ndogo) na self contained yake ndio hatukuwekei darubini. Kwingineko kote wewe ulie tu. Kama hutaki kubanwa kaa pembeni.

Leka
 
na yeye hana adabu anaposema 70% ya watanzania tunafuata upepo..hana adabu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…