Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

Hivi swala la mtu kuwa presdential material linazingatia utendaji kazi wa mtu au muonekano??

Makamba ni presdential material?😂
 
Hivi swala la mtu kuwa presdential material linazingatia utendaji kazi wa mtu au muonekano??

Makamba ni presdential material?😂
Makamba hajaanza kushambuliwa jana.....

Na kiongozi makini haepuki mashambulizi......
 
Naona ccm mnaumana wenyewe kwa wenyewe kwasababu za kimaslahi!!
 
Kipara Mwizi wa Mitihanani ya Kidato Cha nne ndio President Material
Hii Nchi Ina Matatizo Makubwa sana nimegundua
 
Kipara Mwizi wa Mitihanani ya Kidato Cha nne ndio President Material
Hii Nchi Ina Matatizo Makubwa sana nimegundua
Ushahidi wa wizi huo huna....Kama unao basi kamfungulie mashtaka....mahakama huzioni?!!!

"Argumentum ad hominem" nalo ni tatizo kubwa kwetu vijana wa taifa letu pendwa......
 
Ulikutana na watanzania wapi?
 
 
Huwa nawashangaa wanao wananga wateule wa rais na kumuondoa rais kwenye hiyo kadhia
Hii imekaa vipi wakati rais ndiyo boss wao maana yake wanachokifanya kinauungwaji mkono kutoka kwa rais na kama ni kinyume chake wasingekuwepo kwenye hizo nafasi kwanini lawama hizi zisiwe zinaelekezwa kwa rais?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…