Watanzania hawawezi kuandika

Watanzania hawawezi kuandika

Hiki ndio kinachowaaribu; grammar is 5% on academic.

Issues za msingi ni structure na research evidence; ambazo hakuna.

Watanzania tunadhani unaweza jiandikia mambo tu kutoka kichwani kwako.
Mkuu acha kujifichia kwenye vingereza. Wewe hujui kuandika. Asubuhi hii tukiwaita watu wasiojua kuandika Wewe pia usiache kuja
 
Academic writing, logical writing, argumentation writing; is not about misspelling (grammar matters) but logic of the argument is foremost.

Shida ni kwamba wengi wetu hatuna uelewa wa kujenga hoja kuonyesha position yetu given the global understanding.

Uwezi kujisbdikia upuuzi tu kutoka kichwani kwako without academic justification or understood practices.
Uwezi❌️
Huwezi✅️
 
Moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.

Maana yake nini uwezi jiandikia tu upuuzi ambao uwezi uthibitisha nje ya uelewa wa dunia kuhusu hilo jambo (vinginevyo inabidi uandike paper iwe peer reviewed ili dunia iwe na uelewa mpya).

Shida ya wasomi wetu sio kwamba awatambui hizo kanuni za uandishi (not just academically, ila ata.kwenye magazeti) waandishi wetu hawana uwezo wa kufuata academic structure kwenye kujenga hoja, kuonyesha uelewa wao on the topic (that they have done research) na mwisho ni grammar (kwa Kiswahili hii ni shida ya kuweka H na A ni minor) that’s the job of the chief editor.

Ili lalamiko ni kutokana na kupitia jukwaa la stories of change’ mule ndani kwa sababu kuna academic assessment watu wengi awawezi kuandika, hawaoni sababu ya ku-research topic topic wanazoabdika. Waandishi wanadhani wapo entitled na opinion without academic justification; kwa kifupi ni kwamba ukisoma topic za mule the whole seems pathetic.

More than. 90% of the topic presented dont even meet even level 2 (writing skills). You can’t just things from on top of your head.

"Awawezi" ndiyo lugha gani? We mwenyewe angalia kama unajua kuandika😂
 
Believe kama nataka kujifanya mjuaji ningekuja kukurekebisha makosa yako ya uhasibu kwenye mada yako Aziz Ki

Zile sio hesabu za kihasibu kwenye football contracts; Iła saa zingine mtu unaona bora uache mambo ye jukwaa ambalo sio mchangiaji.
Tumia huu muda kujifunza kuandika, acha ligi ya kuandika wakati hujui kuandika. Wakati mwingine kabla ya kupost nipe kwanza kazi yako niipitie
 
Kanuni za uandishi bora,kwa kuzingatia Sarufi sanifu ya lugha ya Kiswahili ni changamoto.Wengine wanafanya makosa ya kisarufi,kwa sababu mbalimbali mosi ni kuathilika na lugha mama nk.

Hivyo basi pale unapo taka kuwa mhariri ni bora nawe pia uwe mjuzi au mahiri wa lugha,ili usifanye makosa yaleyale ambayo umeyabaini katika Kazi za wengine.
 
Siwezi kupoteza muda wangu kumjibu kila mtu.

Cha msingi ni kwamba watanzania awawezi kuandika kwa kusoma topić za stories of change.

Uwezi kuamka tu na kuandika report za upuuzi uliopo kichwani kwako, not bothering theoretical viewpoints. Such writing is just nonsense.

Wenye kununa wanune, wenye kutaka kunielewa wakasome sababu za malalamiko yangu baada ya kupitia nyuzi kadhaa kwenye jukwaa (stories of change) watu wengi mule awawezi kuandika.

To hell with your, As and H’s kama ndio kigezo cha uwezo kuandika mradi duku duku langu nimelitoa; mniseme mnavyotaka I don’t care.

👋

Talk to my hand
 
Academic writing, logical writing, argumentation writing; is not about misspelling (grammar matters) but logic of the argument is foremost.

Shida ni kwamba wengi wetu hatuna uelewa wa kujenga hoja kuonyesha position yetu given the global understanding.

Uwezi kujisbdikia upuuzi tu kutoka kichwani kwako without academic justification or understood practices.
Uwezi ndio vitu gani
 
Siwezi kupoteza muda wangu kumjibu kila mtu.

Cha msingi ni kwamba watanzania awawezi kuandika kwa kusoma topić za stories of change.

Uwezi kuamka tu na kuandika report za upuuzi uliopo kichwani kwako, not bothering theoretical viewpoints. Such writing is just nonsense.

Wenye kununa wanune, wenye kutaka kunielewa wakasome sababu za malalamiko yangu baada ya kupitia nyuzi kadhaa kwenye jukwaa (stories of change) watu wengi mule awawezi kuandika.

To hell with your, As and H’s kama ndio kigezo cha uwezo kuandika mradi duku duku langu nimelitoa; mniseme mnavyotaka I don’t care.

👋

Talk to my hand
Weka mpira kwenye kwapa utoke uwanjani,hili game limeshakushinda tayari.
 
Awawezi, ata, awatambui, wanazoabdika.

Hayo nimakosa baadhi Kwenye uandishi wako wa maada uliyoleta hapo juu.

Ukiwa unafanya ukosoaji jitahidi angalau ukidhi usahihi angalau wa 95% yakile unachokosoa.

Wewe pamoja na sisi watanzania unaotuzungumza wote hatujui kuandika vizuri.

Punguza kukurupuka.
Kumbe na yeye ni walewale
 
Siwezi kupoteza muda wangu kumjibu kila mtu.

Cha msingi ni kwamba watanzania awawezi kuandika kwa kusoma topić za stories of change.

Uwezi kuamka tu na kuandika report za upuuzi uliopo kichwani kwako, not bothering theoretical viewpoints. Such writing is just nonsense.

Wenye kununa wanune, wenye kutaka kunielewa wakasome sababu za malalamiko yangu baada ya kupitia nyuzi kadhaa kwenye jukwaa (stories of change) watu wengi mule awawezi kuandika.

To hell with your, As and H’s kama ndio kigezo cha uwezo kuandika mradi duku duku langu nimelitoa; mniseme mnavyotaka I don’t care.

👋

Talk to my hand
Kwisha habari yako

Siku nyingine anzisha topic unazozimudu
 
Back
Top Bottom