Watanzania hawawezi kuandika

Watanzania hawawezi kuandika

Siwezi kupoteza muda wangu kumjibu kila mtu.

Cha msingi ni kwamba watanzania awawezi kuandika kwa kusoma topić za stories of change.

Uwezi kuamka tu na kuandika report za upuuzi uliopo kichwani kwako, not bothering theoretical viewpoints. Such writing is just nonsense.

Wenye kununa wanune, wenye kutaka kunielewa wakasome sababu za malalamiko yangu baada ya kupitia nyuzi kadhaa kwenye jukwaa (stories of change) watu wengi mule awawezi kuandika.

To hell with your, As and H’s kama ndio kigezo cha uwezo kuandika mradi duku duku langu nimelitoa; mniseme mnavyotaka I don’t care.

👋

Talk to my hand

Hii ndio aina ya waandishi uchwara tulionao nchini, inasikitisha.
 
Siwezi kupoteza muda wangu kumjibu kila mtu.

Cha msingi ni kwamba watanzania awawezi kuandika kwa kusoma topić za stories of change.

Uwezi kuamka tu na kuandika report za upuuzi uliopo kichwani kwako, not bothering theoretical viewpoints. Such writing is just nonsense.

Wenye kununa wanune, wenye kutaka kunielewa wakasome sababu za malalamiko yangu baada ya kupitia nyuzi kadhaa kwenye jukwaa (stories of change) watu wengi mule awawezi kuandika.

To hell with your, As and H’s kama ndio kigezo cha uwezo kuandika mradi duku duku langu nimelitoa; mniseme mnavyotaka I don’t care.

👋

Talk to my hand
Maneno mengi lakini unamaanisha umeweka mpira kwapani na unataka kukimbia
 
Siwezi kupoteza muda wangu kumjibu kila mtu.

Cha msingi ni kwamba watanzania awawezi kuandika kwa kusoma topić za stories of change.

Uwezi kuamka tu na kuandika report za upuuzi uliopo kichwani kwako, not bothering theoretical viewpoints. Such writing is just nonsense.

Wenye kununa wanune, wenye kutaka kunielewa wakasome sababu za malalamiko yangu baada ya kupitia nyuzi kadhaa kwenye jukwaa (stories of change) watu wengi mule awawezi kuandika.

To hell with your, As and H’s kama ndio kigezo cha uwezo kuandika mradi duku duku langu nimelitoa; mniseme mnavyotaka I don’t care.

👋

Talk to my hand
Kweli awawezi wala awajui.

Unajaribu kuwarekebisha watanzania wenzako, wao wakikurekebisha "you don't care"!
 
Kuna vitu vingi ambavyo binadamu wachache waliotutangulia walifanta kaujanja ka kufunga wenzao..
Vitu vingi na elimu nyingi huwa zinaanzia kwenye theories - maono, hisia basing na variables ambazo ubonngo wako unachaka na kukupa majibu subconciously bila hata wewe kujua...
Hivyo usishambulie watu ambao ni wazee wa theories - kuna kitu ambacho kinamfanya atoe hayo maoni..ni wajibu wako wewe kwenye kutengeneza hypothesis zako ili upime hayo maoni...
Kuhusu facts etc..huwezi ukaandika au ukaongea kwa kukusanya na kutamka taarifa ambazo watu walikusanya...huko unaangalia lkn pia lazima ubongo wako uende nje ya dirisha ndo itakuja elimu mpya.
Hivyo usijali sana jinsi watu wanavyoandika...hicho ni kitu cha chini sana..wewe chukua na elewa wazo la mtu - lichakate halafu toa ufafanuzi au pinga kwa hoja na logic..
Pia watu hawaongei au mazungumzo ya kawaida sio kama huo uandishi wa papers ambao wewe una-advocate...Duniani huku tukiweza kusimplify na kuandika au kupresent katika kiwango ambacho hata kijana wa darasa la saba akasoma na kuelewa..thats much better...Ndo maana kuna research nyingi sana lkn application yake haipo...uwezo wa kuiweka katika hali ya kawaida.....
Yaani hata hao wanaoandika research papers baadae husahau hata waliandika nini...
 
Back
Top Bottom