The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu,hoja imeeleweka ila kwanza hatutaki lugha ya kiswahili ipotee,ndio maana tumeanza kwa kurekebisha uandishi wake kwanza.Una hoja ya msingi ijapokuwa wadau wameamua kutoiongelea. Wengi wamejikita kukosoa usahihi wa 'kisarufi' hali yakuwa uliweka wazi kwamba ni suala la 'kihariri'.
Msingi wa hoja upo katika muundo, na ushahidi wa kitafiti ili kupata mtiririko wenye mantiki katika jumuiya ya wanataaluma.