std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,293
- 3,928
Mbona unarudia makosa yaleyale wasomi wamekuambia kiswahili sahihi ni hawawezi siyo awawezi.Huu uzi wangu ni kwa ajili ya ‘stories of change 2024’ asilimia kubwa ya washindani awawezi kuandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unarudia makosa yaleyale wasomi wamekuambia kiswahili sahihi ni hawawezi siyo awawezi.Huu uzi wangu ni kwa ajili ya ‘stories of change 2024’ asilimia kubwa ya washindani awawezi kuandika.
Hilo sio??? Kiswahili cha wapi hiki?Hilo sio la kuuliza mkuu
Sio ❌SIO awawezi ni hawawezi
Sio ❌SIO awatambui ni hawatambui
Sio ❌SIO uwezi ni huwezi
Sio ❌SIO ata ni hata
Sio ❌SIO hovyo ni ovyo
Sio ❌SIO tuzo ni tunzo
Sio ❌Mie sio mzaha mzaha mjue
Sio ❌SIO awawezi ni hawawezi
Hiki ndio ❌Hiki ndio kinachowaaribu
Anapenda kukosoa tu😎Hupendi kukosolewa
Na hapo unajiona umeandika kwa Kiingereza sanifu?😎😎...More than. 90% of the topic presented dont even meet even level 2 (writing skills). You can’t just things from on top of your head.
Anapuyanga tu!Na hapo unajiona umeandika kwa Kiingereza sanifu?😎😎
HeeeMoja kwa moja kwenye hoja yangu
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.
Maana yake nini uwezi jiandikia tu upuuzi ambao uwezi uthibitisha nje ya uelewa wa dunia kuhusu hilo jambo (vinginevyo inabidi uandike paper iwe peer reviewed ili dunia iwe na uelewa mpya).
Shida ya wasomi wetu sio kwamba hawatambui hizo kanuni za uandishi (not just academically, ila hata kwenye magazeti) waandishi wetu hawana uwezo wa kufuata academic structure kwenye kujenga hoja, kuonyesha uelewa wao on the topic (that they have done research) na mwisho ni grammar (kwa Kiswahili hii ni shida ya kuweka H na A ni minor) that’s the job of the chief editor.
Hili lalamiko ni kutokana na kupitia jukwaa la stories of change’ mule ndani kwa sababu kuna academic assessment watu wengi hawawezi kuandika, hawaoni sababu ya ku-research topic wanazoandika. Waandishi wanadhani wapo entitled na opinion without academic justification; kwa kifupi ni kwamba ukisoma topic za mule the whole seems pathetic.
More than. 90% of the topic presented dont even meet even level 2 (writing skills). You can’t just things from on top of your head.
Nimepata kamsemo...." Academic justification "🙂Moja kwa moja kwenye hoja yangu

Mkuu,hoja imeeleweka ila kwanza hatutaki lugha ya kiswahili ipotee,ndio maana tumeanza kwa kurekebisha uandishi wake kwanza.
Mko sawa! Tukubali kukusoana! Ni kweli dhima ya maandiko ya "stories of change" yamekaa kimuundo wa mradi.....tafadhari unaweza kutuwekea japo kimfano cha muundo!Nakubaliana na hitimisho lako. Una shabaha njema.
Nitoe rai! Mnaoshiriki 'stories of change',Machapisho yenu ni 'pendekezo la mradi', jitahidini kuzingatia usahihi wa kimantiki. Hivyo ni vyema mzingatie uandishi wa kitaalamu.
Pyeeeee kamfundishe BEBERU ntakuwekea TUKI hapa macho yakutoke Neno baada ya Neno usifikiri naokoteza km wewe yote ni sasa inategemea limetumika Wapi na VipiSio ❌
Siyo ✔️
Sio ❌
Siyo ✔️
Sio ❌
Siyo ✔️
Sio ❌
Siyo ✔️
Sio ❌
Siyo ✔️
Sio ❌
Siyo ✔️
Sio ❌
Siye ✔️
Sio ❌
Siyo ✔️
Hiki ndio ❌
Hiki ndicho ✔️
Ni tunzo sio tuzotuzo - award, reward (something purposely earned)
tunzo - provision, gift (something voluntary given to express one's gratefulnes)
Ubwege ni talent Mayor Quimby ni bwege kwelikweliHii ndio aina ya waandishi uchwara tulionao nchini, inasikitisha.
TuzoNi tunzo sio tuzo
Serengeti Music Awards
Kili Music Awards
Walikua wanatoa tunzo sio tuzo
Story of change winners wa JF walipewa tunzo sio tuzo
Wanapewa tuzo pamoja na tunzoNi tunzo sio tuzo
Serengeti Music Awards
Kili Music Awards
Walikua wanatoa tunzo sio tuzo
Story of change winners wa JF walipewa tunzo sio tuzo
Tunzo, hidaya, tuzo, zawadi, tunu, dafina, hodha (offer), hadia, nk ni maneno yanayoeleleana kimaana, ila zinatofautiana.Ni tunzo sio tuzo
Serengeti Music Awards
Kili Music Awards
Walikua wanatoa tunzo sio tuzo
Story of change winners wa JF walipewa tunzo sio tuzo
We mwenyewe ndio wale wale. Polisi kumwibia mwiziMoja kwa moja kwenye hoja yangu
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.
Maana yake nini uwezi jiandikia tu upuuzi ambao uwezi uthibitisha nje ya uelewa wa dunia kuhusu hilo jambo (vinginevyo inabidi uandike paper iwe peer reviewed ili dunia iwe na uelewa mpya).
Shida ya wasomi wetu sio kwamba hawatambui hizo kanuni za uandishi (not just academically, ila hata kwenye magazeti) waandishi wetu hawana uwezo wa kufuata academic structure kwenye kujenga hoja, kuonyesha uelewa wao on the topic (that they have done research) na mwisho ni grammar (kwa Kiswahili hii ni shida ya kuweka H na A ni minor) that’s the job of the chief editor.
Hili lalamiko ni kutokana na kupitia jukwaa la stories of change’ mule ndani kwa sababu kuna academic assessment watu wengi hawawezi kuandika, hawaoni sababu ya ku-research topic wanazoandika. Waandishi wanadhani wapo entitled na opinion without academic justification; kwa kifupi ni kwamba ukisoma topic za mule the whole seems pathetic.
More than. 90% of the topic presented dont even meet even level 2 (writing skills). You can’t just things from on top of your head.
Ndio Nini? Wali Fanta ndio umemaanisha HIVYO?walifanta
Hilo Bifu haliishi na HAPO hakieleweki mpaka mmoja afe Ila Polisi hua anamaliza mchezo kabla hakijanuka sema akiotewa na Mwizi ndio vileWe mwenyewe ndio wale wale. Polisi kumwibia mwizi