OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu acha kujifichia kwenye vingereza. Wewe hujui kuandika. Asubuhi hii tukiwaita watu wasiojua kuandika Wewe pia usiache kujaHiki ndio kinachowaaribu; grammar is 5% on academic.
Issues za msingi ni structure na research evidence; ambazo hakuna.
Watanzania tunadhani unaweza jiandikia mambo tu kutoka kichwani kwako.
Uwezi❌️Academic writing, logical writing, argumentation writing; is not about misspelling (grammar matters) but logic of the argument is foremost.
Shida ni kwamba wengi wetu hatuna uelewa wa kujenga hoja kuonyesha position yetu given the global understanding.
Uwezi kujisbdikia upuuzi tu kutoka kichwani kwako without academic justification or understood practices.
Moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.
Maana yake nini uwezi jiandikia tu upuuzi ambao uwezi uthibitisha nje ya uelewa wa dunia kuhusu hilo jambo (vinginevyo inabidi uandike paper iwe peer reviewed ili dunia iwe na uelewa mpya).
Shida ya wasomi wetu sio kwamba awatambui hizo kanuni za uandishi (not just academically, ila ata.kwenye magazeti) waandishi wetu hawana uwezo wa kufuata academic structure kwenye kujenga hoja, kuonyesha uelewa wao on the topic (that they have done research) na mwisho ni grammar (kwa Kiswahili hii ni shida ya kuweka H na A ni minor) that’s the job of the chief editor.
Ili lalamiko ni kutokana na kupitia jukwaa la stories of change’ mule ndani kwa sababu kuna academic assessment watu wengi awawezi kuandika, hawaoni sababu ya ku-research topic topic wanazoabdika. Waandishi wanadhani wapo entitled na opinion without academic justification; kwa kifupi ni kwamba ukisoma topic za mule the whole seems pathetic.
More than. 90% of the topic presented dont even meet even level 2 (writing skills). You can’t just things from on top of your head.
Kumbe na wewe umeona Mzee mwenzangu, hawa Vijana wa 2000 ni majanga haswa!Mkuu acha kujifichia kwenye vingereza. Wewe hujui kuandika. Asubuhi hii tukiwaita watu wasiojua kuandika Wewe pia usiacha kuja
Angekuwa kaandika vizuri asingeandika kinachowaaribu(kinachowaharibu). Kiswahili cha kubumba hichoHapa mboni umeandika vizuri kule juu imekuaje au jazba?
Asije akalia IMETOSHA kwa leoUnazidi kuandika utumbo tu
Throwing a few words here and there mara global, mara research, mara structures
Tafuta mada nyingine…. Hii umejinyea
Believe kama nataka kujifanya mjuaji ningekuja kukurekebisha makosa yako ya uhasibu kwenye mada yako Aziz KiWewe MEMKWA acha kujifanya msomi. Rudi shule kwanza
Anajitahidi kufanya marekebishoAngekuwa kaandika vizuri asingeandika kinachowaaribu(kinachowaharibu). Kiswahili cha kubumba hicho
Kama umeleta "story of change" lakini wewe mwenyewe umejaa makosa kibao kwenye mwandiko wako. Huna unachoweza kubadilisha jamii kwenye uandishi wako.Huu uzi wangu ni kwa ajili ya ‘stories of change 2024’ asilimia kubwa ya washindani awawezi kuandika.
Tumia huu muda kujifunza kuandika, acha ligi ya kuandika wakati hujui kuandika. Wakati mwingine kabla ya kupost nipe kwanza kazi yako niipitieBelieve kama nataka kujifanya mjuaji ningekuja kukurekebisha makosa yako ya uhasibu kwenye mada yako Aziz Ki
Zile sio hesabu za kihasibu kwenye football contracts; Iła saa zingine mtu unaona bora uache mambo ye jukwaa ambalo sio mchangiaji.
Uwezi ndio vitu ganiAcademic writing, logical writing, argumentation writing; is not about misspelling (grammar matters) but logic of the argument is foremost.
Shida ni kwamba wengi wetu hatuna uelewa wa kujenga hoja kuonyesha position yetu given the global understanding.
Uwezi kujisbdikia upuuzi tu kutoka kichwani kwako without academic justification or understood practices.
Weka mpira kwenye kwapa utoke uwanjani,hili game limeshakushinda tayari.Siwezi kupoteza muda wangu kumjibu kila mtu.
Cha msingi ni kwamba watanzania awawezi kuandika kwa kusoma topić za stories of change.
Uwezi kuamka tu na kuandika report za upuuzi uliopo kichwani kwako, not bothering theoretical viewpoints. Such writing is just nonsense.
Wenye kununa wanune, wenye kutaka kunielewa wakasome sababu za malalamiko yangu baada ya kupitia nyuzi kadhaa kwenye jukwaa (stories of change) watu wengi mule awawezi kuandika.
To hell with your, As and H’s kama ndio kigezo cha uwezo kuandika mradi duku duku langu nimelitoa; mniseme mnavyotaka I don’t care.
👋
Talk to my hand
Kumbe na yeye ni walewaleAwawezi, ata, awatambui, wanazoabdika.
Hayo nimakosa baadhi Kwenye uandishi wako wa maada uliyoleta hapo juu.
Ukiwa unafanya ukosoaji jitahidi angalau ukidhi usahihi angalau wa 95% yakile unachokosoa.
Wewe pamoja na sisi watanzania unaotuzungumza wote hatujui kuandika vizuri.
Punguza kukurupuka.
Unakosolewa lakini haukubali makosa, nadhani sasa wewe sio tu mjinga bali ni mpumbavu.That minor in academic writing it’s just grammar.
Awawezi ndio nini?Huu uzi wangu ni kwa ajili ya ‘stories of change 2024’ asilimia kubwa ya washindani awawezi kuandika.
Kwisha habari yakoSiwezi kupoteza muda wangu kumjibu kila mtu.
Cha msingi ni kwamba watanzania awawezi kuandika kwa kusoma topić za stories of change.
Uwezi kuamka tu na kuandika report za upuuzi uliopo kichwani kwako, not bothering theoretical viewpoints. Such writing is just nonsense.
Wenye kununa wanune, wenye kutaka kunielewa wakasome sababu za malalamiko yangu baada ya kupitia nyuzi kadhaa kwenye jukwaa (stories of change) watu wengi mule awawezi kuandika.
To hell with your, As and H’s kama ndio kigezo cha uwezo kuandika mradi duku duku langu nimelitoa; mniseme mnavyotaka I don’t care.
👋
Talk to my hand