Watanzania huyu mchekeshaji Zero Brainer anayeoongoza kwa followers wengi Tiktok amewakosea nini? Kwanini hamumzingatii?

Watanzania huyu mchekeshaji Zero Brainer anayeoongoza kwa followers wengi Tiktok amewakosea nini? Kwanini hamumzingatii?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kuna huyu Tiktoker anaitwa Zero Brainer ambaye ni Mtanzania anayeongoza kuwa na followers zaidi Tanzania Tiktok.

Video zake huko Tiktok zina Millions of likes of followers lakini hazingatiwi kabisa. Ana followers Milioni 12 amemzidi amemzidi hadi Diamond

photo_2025-02-06_18-05-33.jpg

Kila siku mnawazungumzia kina Leonardo, Ndaro na hao wakina Nanga.

Huyu baba amewakosea nini?

Kwakua anafanya content za sports kwenye nchi ambayo watu wake wanapenda content za mizagamuo usishangae hata hao followers wake wengi sio wa hapa
 
Tatizo uenda hajulikani kama mtanzania,ndo najua toka kwako leo,na hii yatokana na vile vicheko katika video zake,huwa ni sauti kama za ki naijeria vile!!!why this!!,unajua watu wanapenda kupata test ya kikwao,,yuko vizuri lkn dosari ni hiyo.
 
Sijawahi kufikiria kumfollow mtu
Naona dunia ya sasa kumfollow mtu ni sawa kuongeza uhai mwilini mwako

Ova
 
Jamaa followers wake wengi ni watu wa mbele , jamaa yupo vyema Sana Hadi Ronaldo ma Messi wanamjua dogo katoboa , hao akina Leonardo ni waganga njaa tuu
Weka ushahidi wa kujulikana na Ronaldo na Messi
 
Back
Top Bottom