DCI Comrade One
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 557
- 718
Punguza chuki..Me nilianza kufuatilia tangia 2020 ila nikaja kujua ni mtz 2023 na sababu kuna page ya mpira ya uholanzi walimpost.Ukweli ni kwamba jamaa alianza kuitumia fursa ya tiktok tangia imeanza Tu na followers wake wengi sio Watanzania..Na usilolijua katika mtandao Una masharti magumu ni tiktok kama angekuwa anafake followers account Yake ingekuwa imeshakuwa BannedKiufupi hao uliiwataja ni standup comedians, huyu hana hili wala lile yeye ni videos.
Ila kwa followers ana fake hadi likes. Sema mzuri sana mwamba kuangalia tu videos zake. Anasame content always. Hajulikani sana maana alifake followers from the very start. Yaani hayupo kama anavyojionyesha. Maana kwa ukubwa anaojionyesha mtandaoni. Ilipaswa awe ufaransa huko, italy au ana mabodyguard maana hela zake zisingekua kawaida.