Watanzania huyu mchekeshaji Zero Brainer anayeoongoza kwa followers wengi Tiktok amewakosea nini? Kwanini hamumzingatii?

Ubunifu wa kipekee👏👏👏👏
 
Kiufupi hao uliiwataja ni standup comedians, huyu hana hili wala lile yeye ni videos.
Ila kwa followers ana fake hadi likes. Sema mzuri sana mwamba kuangalia tu videos zake. Anasame content always. Hajulikani sana maana alifake followers from the very start. Yaani hayupo kama anavyojionyesha. Maana kwa ukubwa anaojionyesha mtandaoni. Ilipaswa awe ufaransa huko, italy au ana mabodyguard maana hela zake zisingekua kawaida.
 
Huyu content zake hazilipwi!!
 
Followers wake sio wale wakupata kule kwenye live wakisema taptaptap mara follow follow +
 

Poa tumekusikia. Tutakuzingatia mtu wetu.
 
Ni suala la muda, atatoka tu
Mwambie asiende kuomba msaada kwa yule tapeli mkuu wa Arusha
 
Wabongo uchawi sana jamaa kafocus na followers wa mambele
 
Content zake ni za kibubu bubu.

Hatumii mdomo watu wamsikilize
 
Tusaidie; unafanyaje hadi ku fake followers? Yaani uwe na followers 12M halafu fake, how do u do?
 
TIktok sijawah kuutumia huo mtandao...lkn anaonekana kabase kuchekesha watoto wadogo wa primary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…