Watanzania huyu mchekeshaji Zero Brainer anayeoongoza kwa followers wengi Tiktok amewakosea nini? Kwanini hamumzingatii?

Punguza chuki..Me nilianza kufuatilia tangia 2020 ila nikaja kujua ni mtz 2023 na sababu kuna page ya mpira ya uholanzi walimpost.Ukweli ni kwamba jamaa alianza kuitumia fursa ya tiktok tangia imeanza Tu na followers wake wengi sio Watanzania..Na usilolijua katika mtandao Una masharti magumu ni tiktok kama angekuwa anafake followers account Yake ingekuwa imeshakuwa Banned
 
Sio kweli, unanihadithia wewe
 
Akitaka apate umaarufu! Aanze uchawa wa kumsifia Mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…