Watanzania ilitokeaje mkaishia kubadilishiwa kibao na Barrick kwenye madini, hadi mkaangukia pua?

CCM ndio waliouza migodi yote mikubwa na mpaka sasa mindege inatua kubeba dhahabu.

CCM hawajawahi kua na nia njema na Taifa hili.
 
191B ni ukijumuisha GDP ya mataifa ya Afrika Mashariki, dah. Halafu hata hiyo 300m naona haiji kama ilivyokubaliwa awali. Very sad.

Lakini unahisi suluhu ni nini, maana sio kwa mikwra yote aliyochimba Magufuli na jamaa hawakutetereka wala kuyumba au hata kubadilika chochote cha maana, je upinzani ndio watafanya nini tofauti.

Wewe tulia ungejua madini yananingiza pesa ngapi kwa sasa
 
kwa upande mwingine yule mchambuzi alikua anachambua kishabiki sana,alionekana kama ameegemea upande flani wazi wazi
 
Licha ya makelele yote yale na mamia ya nyuzi humu JF na nenda rudi nyingi zile baina ya serikali yenu na Barrick, ilifikaje makubaliano ya 2017 kupinduliwa na kufanywa kinyume chake, niwe mkweli hayo makubaliano ya awali yalinifanya nihisi kwa namna fulani Magufuli ndiye kiboko na starring wa movie dhidi ya mabeberu, na ndiye atakua rais wa kwanza Afrika kusimamia kidete kile anakiamini kuwa maslahi ya Watanzania, ila hii video ya BBC inaonyesha mliangukia pua na mkarudi kwenye chini ya miguu ya mabeberu.

Inatia huruma, hili sio la kuchekwa maana huu ukata na umaskini Afrika umetamalaki licha ya utajiri wa raslimali.

Mpaka ikafikia hatua magufuli akawaita hao jamaa WANAUME ujue shughuli yao sio haba.
 
..tulikosea kutengeneza ripoti ambazo sio za kweli.

..ripoti zingekuwa za kweli, na siyo rahisi kuwa disputed, tungeweza kupata haki yetu.
Punguzeni kampeni mlikuwa wapi mda wote huo, ile opposition ya akina Dr Slaa yenye kujaa list za mafisadi na kuibua uozo serikalini baada ya kufanya utafiti W uhakika haipo tena. Siku hizi watu wako na unsubinstated accusations and claims ili mradi tu.

Tumebakiwa na activitis for politicians.
 
Mpaka Magufuli mwenyewe anaogopa kuiongelea hiyo issue kwenye kampeni zake. Yaani ni aibu, hakuna cha kupata Noah wala bibi yake Noah.

Mabeberu wana akili sana, walimuacha Meko abwabwaje weee, alipochoka wakamtandika za uso na kuzisahau hata sheria zake alizozitunga kihuni.
 
Punguzeni kampeni mlikuwa wapi mda wote huo, ile opposition ya akina Dr Slaa yenye kujaa list za mafisadi na kuibua uozo serikalini baada ya kufanya utafiti W uhakika haipo tena. Siku hizi watu wako na unsubinstated accusations and claims ili mradi tu.

Tumebakiwa na activitis for politicians.

..Na ccm mnafanya nini?

..mlikabidhiwa dhamana ya kulinda madini na rasilimali za nchi yetu.

..Je, una unajivunia rekodi ya CCM tangu makampuni makubwa ya uchimbaji madini yaingie nchi hii?

..usd 191 billion mlizosema tunawadai accacia ziko wapi? kwanini kiwango kimepungua mpaka kufikia usd 300 million? Je, CCM mmepewa mlungula na kuwasaliti Watanzania?
 
kwa upande mwingine yule mchambuzi alikua anachambua kishabiki sana,alionekana kama ameegemea upande flani wazi wazi

..subiri Humphrey Polepole, na Dr.Abbas, watapata nafasi ya kumjibu kishabiki.
 
Licha ya makelele yote yale na mamia ya nyuzi humu JF na nenda rudi nyingi zile baina ya serikali yenu na Barrick, ilifikaje makubaliano ya 2017 kupinduliwa na kufanywa kinyume chake, niwe mkweli hayo makubaliano ya awali yalinifanya nihisi kwa namna fulani Magufuli ndiye kiboko na starring wa movie dhidi ya mabeberu, na ndiye atakua rais wa kwanza Afrika kusimamia kidete kile anakiamini kuwa maslahi ya Watanzania, ila hii video ya BBC inaonyesha mliangukia pua na mkarudi kwenye chini ya miguu ya mabeberu.

Inatia huruma, hili sio la kuchekwa maana huu ukata na umaskini Afrika umetamalaki licha ya utajiri wa raslimali.

Wazee wetu kama wenu tu
Waongo sana
 
..Na ccm mnafanya nini?

..mlikabidhiwa dhamana ya kulinda madini na rasilimali za nchi yetu.

..Je, una unajivunia rekodi ya CCM tangu makampuni makubwa ya uchimbaji madini yaingie nchi hii?

..usd 191 billion mlizosema tunawadai accacia ziko wapi? kwanini kiwango kimepungua mpaka kufikia usd 300 million? Je, CCM mmepewa mlungula na kuwasaliti Watanzania?
Punguza jazba mkuu, BBC au mtangazaji Zuhura soon wataomba radhi kwa upotoshaji, nothing new but cheap propaganda 'been there done that' , Dr Dre🙂
 
Back
Top Bottom