Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nyongeza siyo watu wa IjumaaHii inahuzunisha sana tunachukulia mambo kiwepesi wepesi au sababu wanaoguswa sio miongoni mwa viongozi hata taarifa zao waziri anatoa kiwepesi wepesi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyongeza siyo watu wa IjumaaHii inahuzunisha sana tunachukulia mambo kiwepesi wepesi au sababu wanaoguswa sio miongoni mwa viongozi hata taarifa zao waziri anatoa kiwepesi wepesi tu
Hawa kweli walikufa siku ya kwanza na hakuwa kweny mateka kabisa.Inavyo onekana hao vijana wote wawili waliuwawa Oktoba 7, siku ya uvamizi wa hao Hamas, huku vyombo vyote vya ulinzi vya Israel vikiwa vimelala usingizi wa pono.
Hakika. Nina ndugu waislamu. Lakini nashukuru si wapumbavu kama waislamu walio wengi hapa Tanzania.Hapa waislamu huwasikii wakilaani hata kidogo sababu siyo mtu wa dini yao
Hawa kweli walikufa siku ya kwanza na hakuwa kweny mateka kabisa.Inavyo onekana hao vijana wote wawili waliuwawa Oktoba 7, siku ya uvamizi wa hao Hamas, huku vyombo vyote vya ulinzi vya Israel vikiwa vimelala usingizi wa pono.
Taarifa ya mwanzo serikali kupitia taarifa ya Israel walisema wametekwa na Hamas hii ni taarifa ya oktoba.Hamas waliongiq kuua. Hawakuingia na list ya majina na uraia wa watakaowaua maana hiyo nafasi hawakuwa nayo.
Hamas waliua wakatekodi na kushare hizo clips wanakopenda.
Kumbuka jeshi la IDF lilishtukizwa, hivyo hadi hiyo jumamosi mida ya saa 7 walikuwa hajaanza kurespond. Na bado hamas walikuwa wako scattered km 4o kutoka mpakani. Hivyo ni vigumu kupata taarifa zote kana kwamba zoezi lilikuwa ni straight. Hapo naamini bado wakireview footage za yale matukio kila soku mwaka mzima watakuwa wanapata mambo mapya. Huwezi kulaumu kwa nini wasingesema siku hiyohiyo.
No hayo tu.
Siku ya tarehe 7 Oktoba ndipo Hamas walivamia Israel. Watu wote ambao hawakuonekana walikuwa designated hawajulikani walipo, huwezi sema wameuwawa wakati hujapata miili yao au huna evidence ya claim ya wao kuuwawa, huwezi sema wametekwa na Hamas haina claim ya kuwa nao.1. Inabidi tuwekwe sawa Watanzania wote vijana wetu walitekwa oktoba 07 au waliuawa oktoba 07
Kilichoonyeshwa kwenye video ya Joshua Mollel ni mauaji. Upatikanaji wa mwili wake na nani kaupata sijui.2. Kama walitekwa oktoba 07 miili yao imepatikana wapi na imepatwa na nani ?
Kwa sababu waliouwawa Oktoba 7 wote hawajatajwa kumalizika. Hata jana Israel ilitoa update ya vifo vya tarehe 7 na idadi kuongezeka. Ikumbukwe lile halikuwa basi la abiria kwamba unafika unahesabu idadi ya vifo na majeruhi. Wale walikuwa watu wako kwenye shughuli zao wengine kwenye festival, wengine mashambani, wengine barabarani wanaendesha, wengine kazini, wengine majumbani wakavamiwa.3. Kama waliuawa oktoba saba kwa nini taarifa za mauaji yao hajikujumuhishwa na taarifa rasmi za wale wote waliouawa oktoba 07 ?
Kwa sababu mazingira ya vifo vyao na kuthibitisha vifo hayakufanana, hata wakati wanakufa hawakuwa wote. Na vilevile hili ni tukio la large scale limekumba tuseme mikoa kadhaa ya Israel.4. Kwa nini taarifa za vifo vya hawa Watanzania wawili zimekuja kimafungu mafungu moja mwezi Novemba nyengine mwezi Desemba ?
Ulitaka wizara ifahamu walipo kwani ndio iliwateka?5. Kwa nini wizara ilikili haifahamu mahali walipo hawa Watanzania wawili halafu baadae inakuja kutujulisha mmoja kauawa Oktoba 07 mwengine taarifa yake mpaka leo imekuwa kimya ?
Unajua mazingira ya kusababisha kufanyika kwa uchunguzi wa kitabibu au hata babu yako akifa kwa minyoo utataka serikali ifanye forensic investigation.6. Serikali imefanya uchunguzi wowote wa kitabibu kuhusu vifo vya hawa Watanzania wawili ? Na uthibitisho wake ulikuwa upi ?
Twende kwa ufupi.Siku ya tarehe 7 Oktoba ndipo Hamas walivamia Israel. Watu wote ambao hawakuonekana walikuwa designated hawajulikani walipo, huwezi sema wameuwawa wakati hujapata miili yao au huna evidence ya claim ya wao kuuwawa, huwezi sema wametekwa na Hamas haina claim ya kuwa nao.
Baadae ndio ukatokea ushahidi kuwa waliuwawa siku hiyo tarehe 7. Btw kutekwa na kuuwawa inawezekana kufanyika siku moja, au wapi uliambiwa kutekwa inabidi izidi 24 hrs?
Kilichoonyeshwa kwenye video ya Joshua Mollel ni mauaji. Upatikanaji wa mwili wake na nani kaupata sijui.
Kwa sababu waliouwawa Oktoba 7 wote hawajatajwa kumalizika. Hata jana Israel ilitoa update ya vifo vya tarehe 7 na idadi kuongezeka. Ikumbukwe lile halikuwa basi la abiria kwamba unafika unahesabu idadi ya vifo na majeruhi. Wale walikuwa watu wako kwenye shughuli zao wengine kwenye festival, wengine mashambani, wengine barabarani wanaendesha, wengine kazini, wengine majumbani wakavamiwa.
Kufanya compilation ya list sio kazi ya siku moja. Kuna waliotekwa na waliouwawa, huwezi wajua exactly kwa wakati mmoja. Mfano mtu katoka kwenda kwa girlfriend wake bila kuaga na akauwawa njiani mkoa mwingine, na gari lake limechomwa moto njiani. Huyu naye utataka taarifa yake siku ileile?
Kwa sababu mazingira ya vifo vyao na kuthibitisha vifo hayakufanana, hata wakati wanakufa hawakuwa wote. Na vilevile hili ni tukio la large scale limekumba tuseme mikoa kadhaa ya Israel.
Swali: Kwanini taarifa ya vifo vya mafuriko ya Hanang imekuja kwa mafungu mafungu?
Hata mpaka sasa bado kuna watu hawajulikani walipo, hawa hawaitwi mateka wala waliokufa. Mpaka pale ushahidi wa video ukitokea kwa Hamas kama Joshua Mollel ilivyokuwa (Hamas wanazo video nyingi za mauaji na utekaji na humo utambuzi hufanyika wakizituma), au mabaki ya marehemu yapatikane.
Kingine kinachotofautisha muda ni sera ya Israel. Israel hawatangazi kifo na jina la mtu kama familia yake haijapokea taarifa rasmi, hawana mambo ya kuongea public mwanafamilia akaona taarifa kwenye TV kama mtu baki. Vilevile hawatoi jina endapo familia itakataa jina lako litajwe.
Ulitaka wizara ifahamu walipo kwani ndio iliwateka?
Joshua Mollel aliuwawa tarehe 7 Oktoba, kama hutaki sema aliuwawa lini na utoe ushahidi. Kuna teknolojia ya kutambua video imekuwa recorded lini saa ngapi na location gani hata kama umefanya sharing mara ngapi. Hili ni suala la kijasusi na kiteknolojia zaidi. Ila hata bila ujasusi, wataalamu wanaweza track video iliyokuwa shared na kutuma mara nyingi mpaka kujua nani alirekodi.
Hapa bongo mara kadhaa jumbe za WhatsApp zenye mlengo wa kuchukiza kisiasa wanazitrack mpaka kumpata aliyerekodi na kumfungulia kesi inayotaja alirekodi tarehe gani sembuse uko ambapo teknolojia ni kubwa zaidi yetu?
Video ya Joshua Mollel ni ya tarehe 7 Oktoba. Kuhusu Mtega, haijaonekana clip ya Hamas kumhusu. Wapo wengi waliouwawa na kutekwa bila kurekodiwa.
Unajua mazingira ya kusababisha kufanyika kwa uchunguzi wa kitabibu au hata babu yako akifa kwa minyoo utataka serikali ifanye forensic investigation.
Ukienda bar ukachoma mtu kisu akafariki huku mwenzako anakurekodi. Ikionyeshwa video utataka uchunguzi kama huyo uliyemuua amegongwa na gari?
Hivyo serikali haina jukumu lolote lile la kujiridhisha kwa yale waliotendewa watu wake ili ipate uhakika wa taarifa ?Siku ya tarehe 7 Oktoba ndipo Hamas walivamia Israel. Watu wote ambao hawakuonekana walikuwa designated hawajulikani walipo, huwezi sema wameuwawa wakati hujapata miili yao au huna evidence ya claim ya wao kuuwawa, huwezi sema wametekwa na Hamas haina claim ya kuwa nao.
Baadae ndio ukatokea ushahidi kuwa waliuwawa siku hiyo tarehe 7. Btw kutekwa na kuuwawa inawezekana kufanyika siku moja, au wapi uliambiwa kutekwa inabidi izidi 24 hrs?
Kilichoonyeshwa kwenye video ya Joshua Mollel ni mauaji. Upatikanaji wa mwili wake na nani kaupata sijui.
Kwa sababu waliouwawa Oktoba 7 wote hawajatajwa kumalizika. Hata jana Israel ilitoa update ya vifo vya tarehe 7 na idadi kuongezeka. Ikumbukwe lile halikuwa basi la abiria kwamba unafika unahesabu idadi ya vifo na majeruhi. Wale walikuwa watu wako kwenye shughuli zao wengine kwenye festival, wengine mashambani, wengine barabarani wanaendesha, wengine kazini, wengine majumbani wakavamiwa.
Kufanya compilation ya list sio kazi ya siku moja. Kuna waliotekwa na waliouwawa, huwezi wajua exactly kwa wakati mmoja. Mfano mtu katoka kwenda kwa girlfriend wake bila kuaga na akauwawa njiani mkoa mwingine, na gari lake limechomwa moto njiani. Huyu naye utataka taarifa yake siku ileile?
Kwa sababu mazingira ya vifo vyao na kuthibitisha vifo hayakufanana, hata wakati wanakufa hawakuwa wote. Na vilevile hili ni tukio la large scale limekumba tuseme mikoa kadhaa ya Israel.
Swali: Kwanini taarifa ya vifo vya mafuriko ya Hanang imekuja kwa mafungu mafungu?
Hata mpaka sasa bado kuna watu hawajulikani walipo, hawa hawaitwi mateka wala waliokufa. Mpaka pale ushahidi wa video ukitokea kwa Hamas kama Joshua Mollel ilivyokuwa (Hamas wanazo video nyingi za mauaji na utekaji na humo utambuzi hufanyika wakizituma), au mabaki ya marehemu yapatikane.
Kingine kinachotofautisha muda ni sera ya Israel. Israel hawatangazi kifo na jina la mtu kama familia yake haijapokea taarifa rasmi, hawana mambo ya kuongea public mwanafamilia akaona taarifa kwenye TV kama mtu baki. Vilevile hawatoi jina endapo familia itakataa jina lako litajwe.
Ulitaka wizara ifahamu walipo kwani ndio iliwateka?
Joshua Mollel aliuwawa tarehe 7 Oktoba, kama hutaki sema aliuwawa lini na utoe ushahidi. Kuna teknolojia ya kutambua video imekuwa recorded lini saa ngapi na location gani hata kama umefanya sharing mara ngapi. Hili ni suala la kijasusi na kiteknolojia zaidi. Ila hata bila ujasusi, wataalamu wanaweza track video iliyokuwa shared na kutuma mara nyingi mpaka kujua nani alirekodi.
Hapa bongo mara kadhaa jumbe za WhatsApp zenye mlengo wa kuchukiza kisiasa wanazitrack mpaka kumpata aliyerekodi na kumfungulia kesi inayotaja alirekodi tarehe gani sembuse uko ambapo teknolojia ni kubwa zaidi yetu?
Video ya Joshua Mollel ni ya tarehe 7 Oktoba. Kuhusu Mtega, haijaonekana clip ya Hamas kumhusu. Wapo wengi waliouwawa na kutekwa bila kurekodiwa.
Unajua mazingira ya kusababisha kufanyika kwa uchunguzi wa kitabibu au hata babu yako akifa kwa minyoo utataka serikali ifanye forensic investigation.
Ukienda bar ukachoma mtu kisu akafariki huku mwenzako anakurekodi. Ikionyeshwa video utataka uchunguzi kama huyo uliyemuua amegongwa na gari?
Unajua maana ya haya maneno "wanaoaminika kushikiliwa" yaliyotumika na BBC.Twende kwa ufupi.
Taarifa ya mwanzo ya BBC Swahili niliyo ambatanisha umeisoma ?
Unajirisha na nini wakati unawaona Waarabu wamekwishataja Allahu akbar na kumuaa kafiri? Tena kwenye video?Hivyo serikali haina jukumu lolote lile la kujiridhisha kwa yale waliotendewa watu wake ili ipate uhakika wa taarifa ?
Unaweza kunijulisha vizuri wewe unae fahamu. Nipo tayariUnajua maana ya haya maneno "wanaoaminika kushikiliwa" yaliyotumika na BBC.
Unajua tofauti ya kushikiliwa na kuaminika kushikiliwa?
Kwamba Waarabu, Allahu Akbar, Kafiri haya maneno yana kamilisha kila kitu ?Unajirisha na nini wakati unawaona Waarabu wamekwishataja Allahu akbar na kumuaa kafiri? Tena kwenye video?
Huo ni mwendelezo wa pale wamesema "wanaoaminika kushikiliwa". Hujui maana ya haya maneno?Unaweza kunijulisha vizuri wewe unae fahamu. Nipo tayari
Kumbuka taarifa ya Israel kutoka BBC Swahili ilizidi kusema "Walitekwa nyara na magaidi wa Hamas na wanazuiliwa mateka huko Gaza," ujumbe huo ulisema. "Tafadhali ungana nasi kuwaombea warudi salama na mara moja."
Au sio ?! mmmhhhHuo ni mwendelezo wa pale wamesema "wanaoaminika kushikiliwa". Hujui maana ya haya maneno?
Kama waliaminika kushikiliwa na sio walithibitika kushikiliwa, kuwaombea anyhow sio jambo la ajabu.
Shehe Ponda huwa anatetea watu wake pekee yaani yule ni mdini snHakika. Nina ndugu waislamu. Lakini nashukuru si wapumbavu kama waislamu walio wengi hapa Tanzania.
sio tu mdini, ni gaidi, magaidi yooote yaliyopo Tanzania kwasasa hata hayo yaliyomo humu kwenye jf yanayofurahi kifo cha mtanzania, yametengenezwa na shehe ponda, huwa wanamwita yeye ni amir wao. yale ya kibiti, yale ya Tanga, mtwara na kila mahali yote yametengenezwa na Ponda.Shehe Ponda huwa anatetea watu wake pekee yaani yule ni mdini sn
Ngoja wenzao wanyooshwe kwanzasio tu mdini, ni gaidi, magaidi yooote yaliyopo Tanzania kwasasa hata hayo yaliyomo humu kwenye jf yanayofurahi kifo cha mtanzania, yametengenezwa na shehe ponda, huwa wanamwita yeye ni amir wao. yale ya kibiti, yale ya Tanga, mtwara na kila mahali yote yametengenezwa na Ponda.