Watanzania Joshua na Clemence walitekwa na Hamas au waliuawa na Hamas Oktoba 7?

Na humu yapo mengi.
Kuweni makini haya magaidi siku yakipata access ya silaha yatawageukia na kuwaua bila kujali nyinyi ni watanzania wenzao na zaidi ni fellow black sisters and brothers. Wao mauaji in the name of religion comes first.
Mambo ya kipumbavu sana kulazimishana mitazamo na kuua unayepishana naye imani.
 
Mimi ninachoamini hadi sasa ni kuwa Hawa WaTanzania wenzetu wauawa sababu ya ubaguzi, yaani rangi. Aliyewaua kwa taarifa ni Hamas, bila shaka watatoa taarifa ya kilichotokea.
 
Unajua maana ya haya maneno "wanaoaminika kushikiliwa" yaliyotumika na BBC.

Unajua tofauti ya kushikiliwa na kuaminika kushikiliwa?
Mkuu unapata wapi nguvu kuwajibu hawa watu? Unapoteza energy. Mimi binafsuli sijisumbui. Ni comment fupifupi.
Wanatafuta any means kuhalalisha mauaji ya mtanzania mwenzao 'kafiri'.
Dini ni opium. Na mbaya zaidi walio wengi shule kwao ni bidaa. Upofu wa mahaba ya dini umewapofua. Kila baya kwao ni jema mradi aliyefanyiwa ni wa dini tofauti na yao. Kuua kwao sio ishu in the name of religion.
 
Mimi ninachoamini hadi sasa ni kuwa Hawa WaTanzania wenzetu wauawa sababu ya ubaguzi, yaani rangi. Aliyewaua kwa taarifa ni Hamas, bila shaka watatoa taarifa ya kilichotokea.
Tusubiri taarifa
 
Hamas wanapata wapi Silaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…