Watanzania kama hatuwezi kuendesha Bandari ni kipi tunaweza? Huko CCM kuna shida gani?

ina maana Serikali ya CCM inataka shortcut, tuliwashauri kama wanataka complete shortcut basi tuwaite Waingeleza watutawale tena. Ni nini maana na Uhuru kama bandari tu inatushinda ndugu zangu?
 
Hii bandari hata kagame aliwahi kuomba kuiendesha, ndo ujue bongolala hawa wanaojiita watawala wana tatizo la msingi kwenye fikra.
 
Kudos Kagame... sio ntu wanchezonchezo na Ili kukazia akaja mwenyewe kusisitiza uharaka!! Sisi hamna kitu tunaeza fanikisha wenyewe kwa kiwango kutokana na ELIMU yetu ya hovyoooo!!
Sasahv mavi-ongozi wa elimu wanatisha walimu watoto wafaulu bila kutizama mchakato wa elimu yenyewe!!! Tutaenda kuwa na taifa la vijana wenyevyeti LAKINI wavivu,goigoi hata kufikiria tuu acha kazi na ubunifu...
Tz ni yakuhurumia sana tunadhani tutaendelea kwa kuchagua-chagua watu huku tukiifumbia ELIMU MACHO. Nonsense kabisa
 
Mbona unasema watanzania! Sema wanaCCM ili dawa iingie vizuri.
 
Hii bandari hata kagame aliwahi kuomba kuiendesha, ndo ujue bongolala hawa wanaojiita watawala wana tatizo la msingi kwenye fikra.
watanzania hatuko serious.
 
Hakika, huu ndio ukweli wenyewe
 
CCM imejaa mazwazwa, machumia tumbo, malafi na manuka rushwa. Sidhani kama huko ccm kuna mtu msafi.
 
Kudos Kagame... sio ntu wanchezonchezo na Ili kukazia akaja mwenyewe kusisitiza uharaka!! Sisi hamna kitu tunaeza fanikisha wenyewe kwa kiwango kutokana na ELIMU yetu ya hovyoooo!!
mwanaume yule, si unaona anavyowanyorosa kule misitu ya goma, afu kila uchao yupo US kupoza soo.
 
CCM imejaa mazwazwa, machumia tumbo, malafi na manuka rushwa. Sidhani kama huko ccm kuna mtu msafi.
leo hadi mzee wa darasa la saba na yeye eti anatetea bandari iuzwe - mipovu kibao aiseee.
 
Walokole wanataka Bandari auziwe Mwizrael ili kelele zao ziishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…