Watanzania kila mtu anamlaumu mwenzake

Watanzania kila mtu anamlaumu mwenzake

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Huwa nikikaa mtandaoni naona kila mtu analeta nyuzi eti watanzania wamelala wakati na lenyewe ni litanzania, mara gen z ya bongo hamna kitu kazi simba na yanga wakati na lenyewe lilikua kijana halikufanya kitu sasa hivi linasema vijana.

Yaani huwa nashangaa pale jitu limepigwa na maisha linakuja mtandaoni kulaumu watanzania wenzake hawachukui hatua wakati na lenyewe bado linapumua hivi hii ni akili kweli.

Mimi ndio maana nasema hapa kama unaakili timamu tanzania jitafutie noti kula maisha, nchi inaraha hii usipoleta ujinga ujinga.
 
Na wewe ukaamua kutoa LAWAMA!
hivyo ni mwendo wa kulaumiana tu.
 
ananiuzia taulo elfu nane si bora nijitikise kam kuku nikitoka kuoga.
 
Back
Top Bottom