Watanzania Kuna haja ya kuwa na uzalendo, uadilifu na hofu ya Mungu

Watanzania Kuna haja ya kuwa na uzalendo, uadilifu na hofu ya Mungu

Uzalendo na hofu ya Mungu havikai pamoja.

Uzalendo ni kuwa tayari kufa kwa ajili ya nchi yako. Kuua wengine, kuibia nchi nyigine, kusema uongo kwa ajili ya taifa lako,

Vitu kama hivyo havifanywi na yeyote mwenye hofu ya Mungu.
 
Wewe kama umesomewa walaka na majitu yaliosomea elimu ya kuchezea akili za binadamu.huwezi kuwa na hoja chanya ya kuleta changamoto ya kuleta maendeleo.
Wewe endelea kua kondoo...inatosha.

Pia, jiulize kwanini muumini unaitwa kondoo?
Sawa nashukuru kwa kunishauri niendelee kuwa kundoo, swala la kwanini muumini unaitwa kondoo . Tunaamini ya kwamba pakiwepo kondoo lazima pawepo na mchungaji anaye waongoza kondoo kwenda pale wanapo weza kupata huduma muhimu,kama vile mahala pa kula kulala na sehemu salama pasipo kuliwa na wanyama wakali.
 
Kondoo ni mnyama mjinga..kokote unakompeleka yeye anafuata tu bila ya kupinga.hivyo usitumbue we mkwama.
Mzaramo wa wapi we mshamba.
 
Uzalendo na hofu ya Mungu havikai pamoja.

Uzalendo ni kuwa tayari kufa kwa ajili ya nchi yako. Kuua wengine, kuibia nchi nyigine, kusema uongo kwa ajili ya taifa lako,

Vitu kama hivyo havifanywi na yeyote mwenye hofu ya Mungu.
Naomba nijibu swali hili ili nijue kama unaweza kuelewa maana ya hofu ya Mungu na uzalendo.

Dini na siasa. je, vinapaswa kwenda pamoja ?
 
Pasipokukujibu, nami naomba nikuulize. Je, dini ndiyo hofu ya Mungu?

Jibu baki nalo. Swako lako umejijibu pia.
Msingi wa imani ni dini,pasipo imani hakuna hofu ya Mungu. Je,kwani tunapoteuliwa kwa vyeo vya kisiasa tunashika biblia ama quran takatifu huku tukisema ee Mungu nisaidie
 
Hakuna jazba hapa kusema hupendi siasa kwa mtu aliye balehe ni ujinga na upumbavu uliokomaa siihitaji kujazia zaidi, inatosha.
Mimi siasa yangu nafanya kupitia sanduku la kupiga kura,tofauti na huko ni kusikiliza hoja za wanasiasa na kuja kufanya maamuzi kupitia sanduku la kura.
 
Uzalendo na hofu ya Mungu havikai pamoja.

Uzalendo ni kuwa tayari kufa kwa ajili ya nchi yako. Kuua wengine, kuibia nchi nyigine, kusema uongo kwa ajili ya taifa lako,

Vitu kama hivyo havifanywi na yeyote mwenye hofu ya Mungu.
Vipi kuhusu hizi link.

Mkuu Pascal mayalla heshma yako,maoni yako ni yapi ili kuweza kutibu swala zima la uadilifu na kuwajibika kwa viongozi wa umma?
Mkuu Emmanuel Mkwama , hili la uadilifu na uwajibikaji wa viongozi wa umma, niliisha shauri sana humu tangu kitambo mfano mzuri ni mabandiko haya matatu
  1. Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma
  2. Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere?
  3. TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Ukipata muda tembelea pia ujifunze jinsi awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere ilipokuwa very seriously na issues za uadilifu na uwajibikaji.

P
 
Ni Tanzania tu ndio Kuna wasomi na Viongozi wapumbavu na wajinga waliotufikisha hapa tulipo.
Nchi inakila kitu ila wananchi walio wengi bado ni maskini wenye shida na taabu kila siku .
Lakini Viongozi tuliowapa mamlaka ya kuongoza nchi hawajali hata kidogo.
Shame on those poor leaders [emoji57][emoji57]

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom