BOWTHRUSTER
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 389
- 156
Kasema kweli mleta mada, sasa kama inalenga wenye pesa ikawafate huko mafanikio mafisadi, kipi kipya katika izo seminar hakijawai kuandikwa? Kila siri ipo katika vitabu, leo eti watanzania maskini wanaoishi chini ya dollar 1 umwambie dollar 700? Seminar
Ni wezi, ni. Majambazi labda kama iyo seminar wanafundisha jinsi yakuuza unga bila kukamatwa, ila hata aje billgate naimani semina zke zitakuwa na yaleyale wanayosema na kuandika katika vitabu kila siku.
Then seminar ni maandiko tu sio reality unaweza pigwa brash na ukatoka ukawa maskini kama wewe ivo ivo milele.
Mkuu,
Siku zote elimu inapotolewa, suala la matokeo ya ulichojifunza, hilo utaamua wewe uliyejifunza.
Ndio maana leo hii kuna shule kama IST ada yao ni TZS 11 Milioni kwa mwaka na wapo wanafunzi wana feli. Vilevile kuna Fedha boys, ada TZS 5 milioni kwa mwaka na wapo wanao faulu pia wanaofeli wapo.
Pia kuna shule kama Green acres ada ni Milion 1.2 tu utakuta wanao faulu na wanao feli.
Hiyo mifano yote ni kukuonyesha kuwa, it's a free world, full of choices and options. Wala halazimishwi mtu kufanya maamuzi. Na kama huwezi wewe, wapo wanao weza. In fact, Mtanzania mwenye uwezo wa kutoa Laki 7 sio sawa na wewe kiakili kabisa.
Wewe hapo laki saba unaona pesa, ila kuna watu hiyo ni bajeti ya vocha kwa mwezi. So, tuna vipato tofauti, matumizi tofauti, mipango tofauti. Sio kisa wewe una njaa na uwezo mdogo wa kufikiri, basi ukadhani JF members wote wapo sawa na wewe. No, we differ!
Mfano mwingine, hata humu JF kukudhihirishia kuwa kuna classes au matabaka, kuna watu ni Gold member, kuna Tanzanite na hadi Platnum members! Unadhani hizo status unapewa bure!? Ni pesa tu ndio itakuweka kwenye kundi lako.
Yani Watanzania ujamaa umetuathiri sana, yani kwenye seminar laki 7 inaonekana nyingi hadi kuitana matapeli!!! Na utakuta katika hiyo laki 7 kuna huduma ya chakula pia. Bado ni nyingi tu?
JF matajiri wapo; maskini mpo na pia wenye vipato vya kati tupo. Hivyo mtu yeyote hakatazwi kuweka chochote humu as long as hakivunji taratibu na miongozo yetu tuliyojiwekea.
Kama wewe ni maskini na unaogopa kulipia elimu, basi baki na umaskini wako + Ujinga. Waacheni wengine wanaoona umuhimu wa elimu itolewayo kwenye seminar regardless of the entry fee, waende.
mmekutana mburulaz. Nyie ndo mburula mnakuja hapa mnalalmika kwanini juisi samaki samaki elfu tano wakati sokoni embe miatano. Je ni kwanini? Kati ya mnaoshadidia hiyo hoja hapo juu mnaweza mkanipa jibu la swali langu? Mkijibu kwa ufasaha nitanyamaza kimya
Hata ingekuwa elfu hamsini wewe ungeenfda au unapiga tu domo hapa vitendo zeroDola 700/= kwa siku moja kwa kipato gani kwa wengi wetu sisi watz wewe mbona unatetea Kitu cha ajabu Duuh au umezaliwa Na yule alikuwa waziri ambae kasema 10m ni Ya kuendea sokoni. Acha hizo babu usichukulia poa... Unajua wastani Wa pato la mtz kwa siku... Inawezekana jamaa hajatumia Lugha nzuri kwa upande wako ila wengi wetu tumeelewa nini anasema/anatahadharisha.
Hata ingekuwa elfu hamsini wewe ungeenfda au unapiga tu domo hapa vitendo zero
Haya Team ulalamishi. I wish some body could see a bigger picture and not that $700. Nachoencurage ni kwamba sisi tunaosuggest elfu hamsini tuwe wa kwanza organize na sio kulalamika tu kwa excuse za eti Watanzania maskini. Aliyewaambia mwenye semina anataka watu wa dola moja kwa siku nani? Mimi siipigii debe but I am trying to be objective:biggrin1:Duh unalazimisha watu waende au? Umelipwa kiasi gani? Mbona unatoka povu sana? Hutaki demokrasia? Wacha watu waseme "akili za kuambiwa..." Sioni hata mantiki Ya swali lako? Maana hata hatujuani? Sasa kwenda kwangu mimi au kutokwenda wewe utafaidika na nini? Duh
Haya Team ulalamishi. I wish some body could see a bigger picture and not that $700. Nachoencurage ni kwamba sisi tunaosuggest elfu hamsini tuwe wa kwanza organize na sio kulalamika tu kwa excuse za eti Watanzania maskini. Aliyewaambia mwenye semina anataka watu wa dola moja kwa siku nani? Mimi siipigii debe but I am trying to be objective:biggrin1:
kaa kimya basi. Maana umewaita watu matapeli hayo ni matusi ni si mawazo tena. Una ruin credibility za watu halafu unataka unangaliwe tu. Kama huwezi kaa kimya nba wewe organize lakini maneno matupu hayana tija
kwa hiyo mtu akianzisha thread anatakiwa aungwe mkono tu? tukitaka kupingana na mawazo yake tuanzishe thread nyingine??? mm napingana na ww na mleta thread pia kwa kulalamikia gharama ilihali kuna wenye uwezo wa kulipia. mbona samakisamaki wanauza mishikaki sh 5000 wakat sisi huwa tunakula mishkaki sh 500 sehemu nyingine? uswaz watu wanakula mishkaki ya chelewa kwa sh 200?
Sijajiona tajiri. Kufwa gademuuu:biggrin1:We jamaa unajiona tajiri sana!!!