Watanzania kuweni makini na matapeli hawa wakubwa, waliojificha kwenye kutoa Elimu ya Biashara

Watanzania kuweni makini na matapeli hawa wakubwa, waliojificha kwenye kutoa Elimu ya Biashara

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Kuna watu humu wanaleta matangazo ya Semina za siku moja kupata Masoko kwa gharama za Dola 700, zaidi ya Tshs. 1,260,000/=. Hawa watu hawana tofauti na matapeli wakubwa wanaotaka kupata utajiri wa siku moja kupitia kuwakamua nyie pesa zenu bila huruma kabisa.

Hizi Semina za biashara gharama inabidi ikiwa kubwa iwe 30,000/= - 50,000/= Tshs. mwisho, isizidi hapo. Lakini ukiona mtu anawambia Dola 700, ujue huyo ni 419 anayetaka kupata utajiri mkubwa kupitia pesa zenu na wengi wanakuwa hawana hata biashara zaidi ya kutapeli.

Hata hao wenye biashara pia wanaowakamua hizo Dola, ujue utajiri wao wa mashaka ni 419. Utatozaje mtu pesa yote Hiyo!? Huo ni mtaji kabisa!

Kuweni makini, ni hayo tu..
 
Nafikiri mleta thread anamlenga mtu fulani hapa. Ingekuwa vizuri ukamtaja na ukatueleleza ni kwanini unadhani ni tapeli?
 
Nafikiri mleta thread anamlenga mtu fulani hapa. Ingekuwa vizuri ukamtaja na ukatueleleza ni kwanini unadhani ni tapeli?

Mwenye macho na aone,masikio na asikie,kiwango cha dolla 700 ata kwa nchi zilizoendelea ni kikubwa sana kwa Hiyo semina ya siku moja,kinachofanyika sasa ni kumnyonya mtu aw chini na Kati kwa Lengo la kujitajirisha kwa siku moja.Mimi najua nini nasema Kama usipoelewa basi
 
Mimi semina zote naona za kizushi... hasa hasa hizi za MLM.
 
Mimi semina zote naona za kizushi... hasa hasa hizi za MLM.

Kuna semina nzuri sababu utapata idea mpya na kukutana na wenzako,Lakin hizi za dolla 700 kuweni macho wanataka kutumia pesa zenu watajirike Sijui aya kama TRA watapa chochote,huu ni mtandao mkubwa wa kinyonyaji na kutaka utajiri wa haraka kwa migongo ya wananchi
 
Mwenye macho na aone,masikio na asikie,kiwango cha dolla 700 ata kwa nchi zilizoendelea ni kikubwa sana kwa Hiyo semina ya siku moja,kinachofanyika sasa ni kumnyonya mtu aw chini na Kati kwa Lengo la kujitajirisha kwa siku moja.Mimi najua nini nasema Kama usipoelewa basi
Kwanza kuwa clear. Unaongelea mambo ya forever living au unaongelea semina ambazo kuna mdau kapost humu kuhu AzimPremji. Sidhani kama unajua unachokisema. Wacha watakao kuwa tayari kulipa walipe ila huna haki ya kujifanya mjuaji. Kwanini usiendeshe wewe the same seminar kwa bei ndogo. Biashara ni ushindani. Aliyeweka hiyo bei ni sabbau hana mshindani. Semina za aina hiyo bado ni kitu kigeni kwa kibongo bongo kwa hiyo if someone capitalizes it ni haki yao sana. Wewe ni unajifanya mjuaji sijui kwasbabu umeishi nje ya nchi lakini tatizo lako una export mawazo uliyayaona nje bila kuyafanyia tathmini ya context. Sioni shida kuhusu kiwango. Najua ishu inayofanya kiwango kiwe kikubwa ni sababu huyo jamaa anayeandaa hizo semina yupo mwenyewe. Ila ingekuwa bongo tuna utaratibu wa hizi semina mara kwa mara bei ingeshuka hadi chini ya dola 50. Wewe ndo kilaza namba one. Acha kuwa na wivu wa kike. Hata mimi ningepata hiyo opportunitty ningeicapitalize vizuri. Unaongea kwa jabza zaidi na kwa emotions but you are not a real business man. Businessmen don't talk like ****. Kwanini na wewe usimlete Robert Kiyosaki halafu uchaji watu 50. Acha kukariri maisha:biggrin1:
 
Freelancer

Sijamshikia mtu bunduki hasiende,ni mawazo utaki unaacha sijalazimisha mtu
 
Last edited by a moderator:
Sijamshikia mtu bunduki hasiende,ni mawazo utaki unaacha sijalazimisha mtu

kaa kimya basi. Maana umewaita watu matapeli hayo ni matusi ni si mawazo tena. Una ruin credibility za watu halafu unataka unangaliwe tu. Kama huwezi kaa kimya nba wewe organize lakini maneno matupu hayana tija
 
Hauna huwezo wa kuninyamazisha nasema kile ninachokiamini kwa manufaa ya wengi
 
Hauna huwezo wa kuninyamazisha nasema kile ninachokiamini kwa manufaa ya wengi
Kwa hiyo unadhani mawazo yako binafsi yana manufaa kwa wengi? Nini kimekuaminisha kwamba mawazo yako yanaweza yakawa na manufaa kwa wengi? You being prejudice.
 
Freelancer

Wewe unaleta ubishi tu na ligi ,na huelewi kabisa nimesema sijamshikia bunduki hasiende,natoa mawazo yangu kwa kile ninachoona sahihi kulingana na kipato cha wananchi walio wengi,hivi unajua Tanzania ni nchi masikini zaidi duniani?
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaleta ubishi tu na ligi ,na huelewi kabisa nimesema sijamshikia bunduki hasiende,natoa mawazo yangu kwa kile ninachoona sahihi kulingana na kipato cha wananchi walio wengi,hivi unajua Tanzania ni nchi masikini zaidi duniani?
Next time unapowasilisha mawazo yako epuka ktumia lugha ya ya kuwadhalilisha wengine kwa kuwahukumu kwamba ni wezi au matapeli. Jifunze kujenga hoja kuepuka kuwa trashed
 
Next time unapowasilisha mawazo yako epuka ktumia lugha ya ya kuwadhalilisha wengine kwa kuwahukumu kwamba ni wezi au matapeli. Jifunze kujenga hoja kuepuka kuwa trashed

Sitoacha kusema kitu ninachoona sawa
 
Sitoacha kusema kitu ninachoona sawa
Sema kilicho sawa but who the hell are you kuwaita wengine matapeli kisa tu price za event zipo juu. You are entitled to an opinion. Ubaya opinion yako inakufaa wewe mwenyewe na mburula wenzio. The good thing ni kwamba unafukuza tu upepo. Aliyeandaa hiyo event atapata hela na wewe opinion yako haitabadilisha chochcote. Opinion kama hizi watakaokusiliza ni wale mburula tu kama wewe. Ila wale wanaojua gharama ya kuwa ignorant ni zaidi ya dola 700 watakuwa tayari kulipia kiasi chochote. KWa hiyo mawazo yako yanawafaa watu wenye akili ndogo kama wewe. Hakuna mwenye akili kubwa atakuelewa. Usiku mwema
 
Dola 700 kwa Siku? Kama sio utapeli lazima mtakuwa mnafundishana biashara haramu
 
kaa kimya basi. Maana umewaita watu matapeli hayo ni matusi ni si mawazo tena. Una ruin credibility za watu halafu unataka unangaliwe tu. Kama huwezi kaa kimya nba wewe organize lakini maneno matupu hayana tija

Kaka kama wewe wasapoti hiyo seminar si anzisha thread. Sasa mwenzako kajianzishia thread yake na kutoa mawazo yake waanza kulalama.
 
mmekutana mburulaz. Nyie ndo mburula mnakuja hapa mnalalmika kwanini juisi samaki samaki elfu tano wakati sokoni embe miatano. Je ni kwanini? Kati ya mnaoshadidia hiyo hoja hapo juu mnaweza mkanipa jibu la swali langu? Mkijibu kwa ufasaha nitanyamaza kimya
 
Back
Top Bottom