Watanzania kwa aliyemuelewa Gwajima kwenye hii video atueleweshe

Watanzania kwa aliyemuelewa Gwajima kwenye hii video atueleweshe

Gwajima yupo sawa!! Mfano Kikwete tumkumbuke kwa kipi. Labda tutamkumbuka kwa lugumi, Dowansi na kila aina ya kupigwa.
 
Huyu aache cherry picking. Huwezi linganisha tofauti za nchi mbili kiuchumi kwa kuangalia factor moja tu ya IDADI YA MARAIS.

Alipaswa ajiulize je rasilimali ya Haiti na US vipi? N.k na sio tu kujenga hoja kuwa Rais Magufuli aendelee kuwa Rais eti kisa nchi zilizobadilisha Rais hazina uchumi imara.

Huyu ni msomi wa PhD mind you!!
 
Umesikiliza video?
Vizuri sn!
Gwajima anamaanisha hakuna sababu ya kuchagua chagua eti demokrasia.
Ndo maana katoa mfano wa mataifa hyo, hivyo lengo lake nikumuacha jpm aenderee kupiga kazi.

Namimi nikasema chaguachagua nikweli haina maana! Ndo nikauliza mfano jk tutamkumbuka kwa kipi??

Naunga mkono hoja.
 
Tueleweshe sasa hayo mambo ya kawaida aliyosema

Huyu mleta hoja hta mm sijui ni nini hajaelewa,
Wa2 wengine wanakosagwa kz zakufanya! Nakweli alichoongea gwajima niv2 vinavyoeleweka2, labda hajaelewa baadhi ya kauli alizotumia kimombo🤣🤣 .

Fafanua mkuu ulichoshindwa kuelewa tukusaidie, km ni rugha basi kuwa wazi upate msaada hum jf kuna hazina kubwa .
 
Hanampinga Dr bashiru aliyesema Mh Rais amebakiza miaka mitano tu. Ili aweze kuingia mwingne lakin Kama anafanya vizuri aendeleee hakuna haja ya kubadilishana kijiti.
 
Huyu aache cherry picking. Huwezi linganisha tofauti za nchi mbili kiuchumi kwa kuangalia factor moja tu ya IDADI YA MARAIS. Alipaswa ajiulize je rasilimali ya Haiti na US vipi? N.k na sio tu kujenga hoja kuwa Rais Magufuli aendelee kuwa Rais eti kisa nchi zilizobadilisha Rais hazina uchumi imara.

Huyu ni msomi wa PhD mind you!!
Amesema kwa kifupi sana. Amemaanisha tunahitaji mtu bora siyo mabadiliko ya watu bila kujali atatupeleka wapi. Unamchagua mtu kwa sababu tu ni wa mrengo wako. Chagua mtu ambaye anatazama mbele bila kuegemea mrengo tu.
 
Vizuri sn!
Gwajima anamaanisha hakuna sababu ya kuchagua chagua eti demokrasia.
Ndo maana katoa mfano wa mataifa hyo, hivyo lengo lake nikumuacha jpm aenderee kupiga kazi.
Namimi nikasema chaguachagua nikweli haina maana! Ndo nikauliza mfano jk tutamkumbuka kwa kipi??

Naunga mkono hoja.
Kama lengo ni kumuacha jpm apige kazi, kuna umuhimu gani wa tume huru ya uchaguzi?
Huku ni kujipendekeza ili apate chcht
 
Amesema kwa kifupi sana. Amemaanisha tunahitaji mtu bora siyo mabadiliko ya watu bila kujali atatupeleka wapi. Unamchagua mtu kwa sababu tu ni wa mrengo wako. Chagua mtu ambaye anatazama mbele bila kuegemea mrengo tu.
Sasa huo mfano wa Haiti VS Marekani/Tanzania una uhusiano gani na hoja yake? Eti uchumi ni mdogo ilihali wamebadili marais?

Yeye angesema tu hoja yake basi ila mie nimepinga huo mfano haupo relevant kabisa kwa muktadha anaouelezea. Maana unapolinganisha uchumi wa nchi mbili tofauti kuna indicators nyingi sana sio kitu kimoja pekee ndio ufikie hitimisho.
 
Amesema kwa kifupi sana. Amemaanisha tunahitaji mtu bora siyo mabadiliko ya watu bila kujali atatupeleka wapi. Unamchagua mtu kwa sababu tu ni wa mrengo wako. Chagua mtu ambaye anatazama mbele bila kuegemea mrengo tu.
Sawa kabisa, aliyasema Mwalimu mwaka ule. Usimchague mtu kwa sababu ni wa mrengo wako. Lakini alisema pia usimchague eti kwa sababu " aah, kwetu kumoja au aah yule kabila langu". Tusiminye maneno, tuyaseme yote ili watu waelewe vizuri.
 
This so called pastor is a PhD holder however he speaks like a nursery kid

Huyu ana njaaa, mwenzie mzee Yusuph alipoona kwenye msikiti atakufa njaa akaamua kurudi mjini na huyu anataka kupenya kwenye siasa ili apate kula yake lakini wahuni wa Kawe wamepiga spana na akaliendeleze huko kanisani kwake kwa waumini wake
 
Ashakumu si matusi; wasomi wengi na pia wengi waliopewa dhamana ya kutuongoza wanaongoza kwa kiwango kikubwa cha ujinga.

Unaposema rais aliyepo anafanya kazi nzuri kuliko mwingine yeyote na hivyo kusiwe na haja ya kuchagua mwingine inabidi ujiulize;

-Waliotangulia wasingekubali kuachia nafafi na wengine waongoze, huyo anayedaiwa kufanya kazi nzuri angepata wapi nafasi na tungeona vipi utendaji wake
na kunufaika na hayo aliyotekeleza????

- Ni kweli kwamba huyo aliyepo ndiye MTU bora kuwahi kutokea na hakuna au kamwe hatokaa atokee mwenye uwezo zaidi yake???

- ingekuwaje endapo angetokea dictator na kung'ang'ania madarakani, je wengine kama huyo aliyepo angepata wapi nafasi???


Watanzania wenzetu wengi wanafanya HITIMISHO jepesi kwa jambo linalohitaji utatuzi wa kudumu.

Wakati ni kipimo sahihi, tutaelewana tu.
 
Back
Top Bottom