Watanzania kwa aliyemuelewa Gwajima kwenye hii video atueleweshe

Watanzania kwa aliyemuelewa Gwajima kwenye hii video atueleweshe

Hata wamarekani wenyewe walimchagua Roosevelt mara 4 mfululizo mpaka akafia madarakani.

Usiniambie katiba yao haikuwa na kikomo maana nitakuuliza kwa nini sasa watangulizi wake wote 31 hawakuwahi kugombea mihula zaidi ya miwili.

Marekani ilikuwa ktk kipindi cha Hali ya kutisha ya kiuchumi na Vita Kuu ya Pili ya Dunia na , je Tanzania tuna hali ya hatari hadi tumuongezea muhula rais ?

https://www.history.com › news
How FDR Served Four Terms as U.S. President - HISTORY

22 Oct 2019 · How FDR Became the First—And Only—President to Serve Four Terms · Other U.S. Presidents Who Tried and

In 1951, the 22nd Amendment to the Constitution was passed, officially limiting a president’s tenure in office to two terms of four years each.
 
Kwahiyo JK hajafanya chochote?? Ile hospital ya moyo pale muhimbili kajenga baba yako?? Shule za kata zilizotapakaa nchi nzima je?? Barabara za lami nchi nzima je ni mipango ya serikali ya baba yako?! Hivi nawewe unajiita great thinker kweli??[emoji15][emoji15]
Kuna watu wana Giza kwenye Akili, hata waambiwe vipi bado Akili zitabak n ganzi tuu
 
Hata wamarekani wenyewe walimchagua Roosevelt mara 4 mfululizo mpaka akafia madarakani.

Usiniambie katiba yao haikuwa na kikomo maana nitakuuliza kwa nini sasa watangulizi wake wote 31 hawakuwahi kugombea mihula zaidi ya miwili.
F.Rooselvert hawezi kufananishwa na huyu jiwe. By then US ilikuwa kwenye great economic depression, principle alizo impound na kuanza kutekeleza Hakuna mmalekani, by then, hakuona umuhimu wa yule jamaa kuendelea kutekeleza zile measures kurevamp uchumi wa US, maana zilionyesha nafuu kwakila raia wa Marekani na uchumi ukawa imara.

Huyu jiwe kafanya lipi la maana tuone kwamba anasifa za kuendelea kuwa in power. Let him go.

Tusisikilize sauti za waliokengeuka Hawa akina gwajima.
 
F.Rooselvert hawezi kufananishwa na huyu jiwe. By then US ilikuwa kwenye great economic depression, principle alizo impound na kuanza kutekeleza Hakuna mmalekani, by then, hakuona umuhimu wa yule jamaa kuendelea kutekeleza zile measures kurevamp uchumi wa US, maana zilionyesha nafuu kwakila raia wa Marekani na uchumi ukawa imara.

Huyu jiwe kafanya lipi la maana

Una uhakika kila Mmarekani aliona umuhumu wa FDR?

Kwa nini sasa hakuwahi kushinda kwa 100% ya kura zote kwenye uchaguzi wowote?

Kwa taarifa tu ni kwamba, katika chaguzi zote 4 alizoshinda Roosevelt ni mmoja tu alipata 60% zingine zote alishinda kwa wastani wa 55% tofauti ndogo tu na wapinzani wake.

Kwa hiyo kama wewe huoni lolote la maana lililofanyika basi ujue kuna wengine wanayaona mengi tu.

Kukata mzizi wa fitna ni sanduku la kura tu ili kujua akina nani ni wengi na ndiyo demokrasia yenyewe.
 
Back
Top Bottom