Watanzania kwa aliyemuelewa Gwajima kwenye hii video atueleweshe

Mkumbke kwa kujenga flyover tzara kusimamia mwendo kas na uwanja wa taifa na nk

Tulifumua mikataba yte yaujenzi iliyokuwa imesainiwa na jk.
1. Terminal3 project
2.Tazara flyover
3.U-dart project nk.

Kikwete alikuwa ameandaa mikataba mingi ya kifisadi ili amuachie jpm. Mzee wa hapa kazi tu, alikuwa anajua kila kitu.
 
Tulifumua mikataba yte yaujenzi iliyokuwa imesainiwa na jk.
1. Terminal3 project
2.Tazara flyover
3.U-dart project nk.

Kikwete alikuwa ameandaa mikataba mingi ya kifisadi ili amuachie jpm. Mzee wa hapa kazi tu, alikuwa anajua kila kitu.
Kwa Akili hizi, hatutatoka mahali tulipo
 
Amesema kwa kifupi sana. Amemaanisha tunahitaji mtu bora siyo mabadiliko ya watu bila kujali atatupeleka wapi. Unamchagua mtu kwa sababu tu ni wa mrengo wako. Chagua mtu ambaye anatazama mbele bila kuegemea mrengo tu.
Maendeleo hayaletwi na Rais.
 
Kwajima yupo sawa!! Mfano kikwete tumkumbuke kwa kipi. Labda tutamkumbuka kwa lugumi, Dowansi na kila aina ya kupigwa.
Udom kajenga nani, daraja la kigambon kajenga nani, upanuzi wa barabara ya tegeta pia,fly over tazara, mwendo kasi, kujenga terminal 3, hosptal moyo, kila mwaka walimu walikuwa wanapata ajira
 
Gwajima no PhD holder??[emoji15][emoji15]ndy nasikia leo
 
Kwajima yupo sawa!! Mfano kikwete tumkumbuke kwa kipi. Labda tutamkumbuka kwa lugumi, Dowansi na kila aina ya kupigwa.
Hivi wewe Una akili?
JK Hana mema ya kukumbukwa?

Uhuru wa habari?
Bunge live?
Barabara alizojenga?
Daraja la Kigambon?
Flyover ya ubungo?

Idadi ya wanafunzi waliolipiwa mikopo?
Mishahara ya wafanyakazi kila mwaka?

Uchumi imara?
Idadi ya watalii hadi kuizidi Kenya?

Hayo machache tu
 
Kwahiyo JK hajafanya chochote?? Ile hospital ya moyo pale muhimbili kajenga baba yako?? Shule za kata zilizotapakaa nchi nzima je?? Barabara za lami nchi nzima je ni mipango ya serikali ya baba yako?! Hivi nawewe unajiita great thinker kweli??[emoji15][emoji15]
 
Rugha ndy nini??
 
Amesema kwa kifupi sana. Amemaanisha tunahitaji mtu bora siyo mabadiliko ya watu bila kujali atatupeleka wapi. Unamchagua mtu kwa sababu tu ni wa mrengo wako. Chagua mtu ambaye anatazama mbele bila kuegemea mrengo tu.
Kwahiyo tanzania yenye raia karibia 60 million wote ni mabogasi ila jpm pekee ndy genius sio?? Ikitokea Mungu kamchukua ndy tutabaki bila kiongozi thabiti sio mijitu mingine sijui mna laana
 
Udom kajenga nani, daraja la kigambon kajenga nani, upanuzi wa barabara ya tegeta pia,fly over tazara, mwendo kasi, kujenga terminal 3, hosptal moyo, kila mwaka walimu walikuwa wanapata ajira
Wafanyakazi walikuwa wanapata nyongeza kila mwaka
 

Gwajima angesoma historia ya kweli kwanini Haiti ni masikini sana wakati ki geopolitics ilitakiwa uchumi wao uwe juu na sababu zake ni nyingi na siyo kuilaumu kwa kuwa na marais 58 huku USA ndo kwanza inahesabu marais 47

In 1825, Haiti Paid France $21 Billion To Preserve Its Independence -- Time For France To Pay It Back

In 1825, barely two decades after winning its independence against all odds, Haiti was forced to begin paying enormous “reparations” to the French slaveholders it had overthrown.

Those payments would have been a staggering burden for any fledgling nation, but Haiti wasn’t just any fledgling nation; it was a republic formed and led by blacks who’d risen up against the institution of slavery. As such, Haiti’s independence was viewed as a threat by all slave-owning countries – the United States included – and its very existence rankled racist sensibilities globally. Thus Haiti – tiny, impoverished and all alone in a hostile world – had little choice but to accede to France’s reparation demands, which were delivered to Port-au-Prince by a fleet of heavily armed warships in 1825.

By complying with an ultimatum that amounted to extortion, Haiti gained immunity from French military invasion, relief from political and economic isolation – and a crippling debt that took 122 years to pay off.

My father-in-law still recalls the patriotic song he was taught as a Haitian schoolboy, its poignant lyrics urging all Haitians to reach into their own pockets to help their government raise the amount that was still “owed” to France.

Thanks to voluntary contributions from Haiti’s citizens, most of whom were desperately poor, that debt was finally settled in 1947. But decades of making regular payments had rendered the Haitian government chronically insolvent, helping to create a pervasive climate of instability from which the country still hasn’t recovered.

France’s demand for reparations from Haiti seems comically outrageous today – equivalent to a kidnapper suing his escaped hostage for the cost of fixing a window that had been broken during the escape.

And though the present French government can’t be blamed for the gall of King Charles X (France’s ruler in 1825), a modicum of historical accountability sure would be nice. While France still ranks among the world’s wealthiest nations, Haiti – with a per-capita annual income of $350, a power grid that fails on a regular basis and a network of roads that’s more than 50-percent unpaved – is plagued by drought, food shortages and a struggling economy.

For the “crime” of shaking off the yoke of involuntary servitude, Haiti dutifully paid France reparations over the course of nearly six generations – with interest. France should now do the right thing and return those payments, estimated to total $21 billion in today’s dollars. What would be a relative pittance in the French national budget is desperately needed by Haiti and could help it begin a broad-based recovery that would seem like manna from heaven to its long-suffering people.

Source : In 1825, Haiti Paid France $21 Billion To Preserve Its Independence -- Time For France To Pay It Back
 

 
Hata wamarekani wenyewe walimchagua Roosevelt mara 4 mfululizo mpaka akafia madarakani.

Usiniambie katiba yao haikuwa na kikomo maana nitakuuliza kwa nini sasa watangulizi wake wote 31 hawakuwahi kugombea mihula zaidi ya miwili.
 
Jamaa alikuwa mtu wa Mungu sana, siyo kuikana imani, ila kawa mwanasuasa!
 

He is a scumbag....he decided to be a sellout ...bitch ass nigger...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…