Hata wamarekani wenyewe walimchagua Roosevelt mara 4 mfululizo mpaka akafia madarakani.
Usiniambie katiba yao haikuwa na kikomo maana nitakuuliza kwa nini sasa watangulizi wake wote 31 hawakuwahi kugombea mihula zaidi ya miwili.
Umesikiliza video?
[/QU
Kuna watu wana Giza kwenye Akili, hata waambiwe vipi bado Akili zitabak n ganzi tuuKwahiyo JK hajafanya chochote?? Ile hospital ya moyo pale muhimbili kajenga baba yako?? Shule za kata zilizotapakaa nchi nzima je?? Barabara za lami nchi nzima je ni mipango ya serikali ya baba yako?! Hivi nawewe unajiita great thinker kweli??[emoji15][emoji15]
Ulijuaje Kua alikua mtu wa Mungu sana?Jamaa alikuwa mtu wa Mungu sana, siyo kuikana imani, ila kawa mwanasuasa!
F.Rooselvert hawezi kufananishwa na huyu jiwe. By then US ilikuwa kwenye great economic depression, principle alizo impound na kuanza kutekeleza Hakuna mmalekani, by then, hakuona umuhimu wa yule jamaa kuendelea kutekeleza zile measures kurevamp uchumi wa US, maana zilionyesha nafuu kwakila raia wa Marekani na uchumi ukawa imara.Hata wamarekani wenyewe walimchagua Roosevelt mara 4 mfululizo mpaka akafia madarakani.
Usiniambie katiba yao haikuwa na kikomo maana nitakuuliza kwa nini sasa watangulizi wake wote 31 hawakuwahi kugombea mihula zaidi ya miwili.
F.Rooselvert hawezi kufananishwa na huyu jiwe. By then US ilikuwa kwenye great economic depression, principle alizo impound na kuanza kutekeleza Hakuna mmalekani, by then, hakuona umuhimu wa yule jamaa kuendelea kutekeleza zile measures kurevamp uchumi wa US, maana zilionyesha nafuu kwakila raia wa Marekani na uchumi ukawa imara.
Huyu jiwe kafanya lipi la maana