Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Wewe wasema.Haya ndio mambo yalimsulubisha Yesu baada ta kujiita mfalme ndani ya ufalme
"Sauti" kwa maana ya yale yanayozungumzwa na mhusika; uzito wa maneno yanayotumika na maana kubwa inayowasilishwa kwa wasikilizaji.Liisu ana sauti yenye mamlaka - Lissu akianza kuongea watu wote ni kimyaaa.
Watu wa namna hii ni wachache sana Duniani.
Yesu Ni Mwanamapinduzi,,Mwanamabadiliko,,Mwanaharakati Wa Kipindi Hiko...Aliuwawa Kisiasa Kama Kina Lumumba Tu Na Wengineo Wengi,,Harakati Za Yesu Alitumia Sana Dini Ya Kiyahudi Kupambania HAKI Za Watu Kipindi Hiko...Wanasiasa Hawataki HAKI Tangu Na Tangu Ukifuatilia Na Ndio Maana Wako Tayari Kumpoteza Yeyote Yule,,,Venye Hakuna HAKI Ndiko Kwenye Maslahi Yao Haswaa..Haya ndio mambo yalimsulubisha Yesu baada ya kujiita mfalme ndani ya ufalme
SahihiYesu Ni Mwanamapinduzi,,Mwanamabadiliko,,Mwanaharakati Wa Kipindi Hiko...Aliuwawa Kisiasa Kama Kina Lumumba Tu Na Wengineo Wengi,,Harakati Za Yesu Alitumia Sana Dini Ya Kiyahudi Kupambania HAKI Za Watu Kipindi Hiko...Wanasiasa Hawataki HAKI Tangu Na Tangu Ukifuatilia Na Ndio Maana Wako Tayari Kumpoteza Yeyote Yule,,,Venye Hakuna HAKI Ndiko Kwenye Maslahi Yao Haswaa..
Na hii ndio sabb inamfanya samuya amuhare lissu, salama yake ni lissu kubaki ndani!Liisu ana sauti yenye mamlaka - Lissu akianza kuongea watu wote ni kimyaaa.
Watu wa namna hii ni wachache sana Duniani.