MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Serikali ya Zanzibar imeamua kufuata walimu kutokea Nigeria watakaofundisha somo la sayansi, naona kuna mdau amefungua uzi kwa ajili ya hii taarifa halafu baadhi ya Watanzania wa bara wametokwa mipovu humo yaani wivu, chuki na majungu kwa mpigo, kama walivyofanya pale bodi ya Vodacom iliagiza binti wa Kikenya akaiongoze kama mkurungezi.
Wanahoji kingereza cha Wanaijeria, mara hiki mara kile, jameni iwaingie kwamba wanaotufuata sisi wageni na kutuajiri kwenye nyanja na taaluma tofauti huwa wanazingatia vigezo vyote na kujua sababu za kuwaleta wageni.
Nimewaambia siku nyingi hata mtokwe mipovu kivipi, siri ni rahisi tu, kujiongeza, piga kazi jitume, pia tafuta courses kadhaa ingia darasa la jioni kujiongeza (evening classes) hatimaye huyo mwajiri Mtanzania hatakua na nia ya kumfuata mgeni.
Tatizo mnapenda mdebwedo, kila siku hamfanyi kazi ni dezo dezo tu, na mkifokewa mnaanza umbea wa kumsema meneja, na ikitokea meneja ni Mkenya aisei anapata wakati mgumu sana, maana mnaanza kuleta kauli za kujiita wazawa, hatimaye anaonekana kana kwamba ameangusha kampuni, kumbe mnamhujumu kwa huo uzembe wenu uliosababishwa na ujamaa.
Wakenya tukijaga huko huwa tunapiga kazi, unakuta hata wikendi tupo busy, labda tunatoka out usiku mara moja moja lakini muda mwingi ni mwendo wa kujituma maana unazo deliverables na milestones ambazo lazima zitimie hata kwa kugaragaza.
Tanzania visiwani waomba msaada wa walimu toka Nigeria, wakati Bara kuna walimu hawana ajira
Zanzibar yaagiza waalimu wa sayansi kutoka Nigeria