Watanzania kwa wivu, sasa Wanzazibar wamefuata walimu kutokea Nigeria ila Watz wamejaza uzi povu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Serikali ya Zanzibar imeamua kufuata walimu kutokea Nigeria watakaofundisha somo la sayansi, naona kuna mdau amefungua uzi kwa ajili ya hii taarifa halafu baadhi ya Watanzania wa bara wametokwa mipovu humo yaani wivu, chuki na majungu kwa mpigo, kama walivyofanya pale bodi ya Vodacom iliagiza binti wa Kikenya akaiongoze kama mkurungezi.

Wanahoji kingereza cha Wanaijeria, mara hiki mara kile, jameni iwaingie kwamba wanaotufuata sisi wageni na kutuajiri kwenye nyanja na taaluma tofauti huwa wanazingatia vigezo vyote na kujua sababu za kuwaleta wageni.
Nimewaambia siku nyingi hata mtokwe mipovu kivipi, siri ni rahisi tu, kujiongeza, piga kazi jitume, pia tafuta courses kadhaa ingia darasa la jioni kujiongeza (evening classes) hatimaye huyo mwajiri Mtanzania hatakua na nia ya kumfuata mgeni.

Tatizo mnapenda mdebwedo, kila siku hamfanyi kazi ni dezo dezo tu, na mkifokewa mnaanza umbea wa kumsema meneja, na ikitokea meneja ni Mkenya aisei anapata wakati mgumu sana, maana mnaanza kuleta kauli za kujiita wazawa, hatimaye anaonekana kana kwamba ameangusha kampuni, kumbe mnamhujumu kwa huo uzembe wenu uliosababishwa na ujamaa.

Wakenya tukijaga huko huwa tunapiga kazi, unakuta hata wikendi tupo busy, labda tunatoka out usiku mara moja moja lakini muda mwingi ni mwendo wa kujituma maana unazo deliverables na milestones ambazo lazima zitimie hata kwa kugaragaza.

Tanzania visiwani waomba msaada wa walimu toka Nigeria, wakati Bara kuna walimu hawana ajira

Zanzibar yaagiza waalimu wa sayansi kutoka Nigeria
 
duh! ikwapi hio uzi nijifurahishe angalau😀😀😀😀
 
kama wanakataa wanaigeria na wakenya hawawezi tukubali wanataka wazungu waingereza?
 
Hiyo ni sawa na kumwamisha mtoto kutoka shule ya Serikali kwenda ya binafsi halafu walimu wanaanza kulalamika
 
Mbona mtoa mada unaanza kwa kutoa povu kabla ya wachangiaji?
Tulia kwanza ndiyo uongee!

Halafu lingine, ktk Tanzania siyo jambo geni KUWA na walimu kutoka nje katika ELIMU ya sekondari. Miaka ya nyuma tulivyokuwa tunasoma tulifundishwa na walimu wengi kutoka Marekani, UINGEREZA, UFARANSA, n.k. hata Mimi mwenyewe kuanzia form one mpaka form six nimefundishwa na walimu wa masomo tofauti tofauti ya sayansi na hesabu toka NCHI mbalimbali. Hivyo hicho si kitu kigeni kutukia nchini.
 
Povu mnazotoaga mkisikia ni Mwafrika anakuja kutoa darasa, yaani mpo xenophobic kama wale Wasouth, hamna tatizo kama ni ngozi nyeupe, lakini mkisikia ni mweusi mwenzenu mnalipuka mipovu balaa.
 
Fanya utafiti...
Wakenya pekee ndiyo hatuwaamini nchini mwetu. Naomba hilo siyo sisi tu. Kuna nchi kadhaa ambao wanakuwa suspicious wakiona Kenyan faces. Mf. Zimbabwe, Botswana, Dubai, US etc. Nadhani mnafuatia baada ya NairaPeople kama si kuongoza. You sound and look ukora ukora tu.
 
Hamna cha utafiti wala nini, nyie mlilemazwa na ujamaa kiasi cha kuogopa kila mtu mwenye kasi na bidii, ujamaa uliwaaminisha kwamba Mwafrika lazima muwe naye kwenye level moja.
 
Hayo ni MAONI YAKO. Halafu pia kwa SASA Tanzania kizazi cha ujamaa ndiyo kinaishia.
Lkn Kenya mna BAD EMAGE ndani na nje ya mipaka yenu.
 
Issue ya bad image ni maoni yako maana diaspora wa Kenya wanatuma hela nyumbani mara kumi ya Watanzania, hivyo huko nje wanafanya kazi za maana sio kubeba mabox kama nyie.
 
Ahaaa haaa haaa
Usiniletee story za kibera hapa. Diaspora wa Kenya wote wanafanya KAZI za MAANA!!?? Na wale watumishi wa ndani WANAOTENDWA VIBAYA UARABUNI WANAFANYA KAZI ZA MAANA?? USHAMBA TU UMEKUJAA KUFIKIRI YA KUWA KILA MTU ALIYE NJE YA NCHI ANAINGIZA PESA ZAIDI.
 
Walimu kutoka Nigeria??? [emoji15] Goodmorning class? Waas wrong now? Nawa oooh you no dey put cassava and pohrij down di belle dis morning? Today we dey learn about daijeshion in animals oooh. We gon dey cover all di kuku and katakata wey for di inside oooh. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ahaaa haaa haaa
Usiniletee story za kibera hapa. Diaspora wa Kenya wote wanafanya KAZI za MAANA!!?? Na wale watumishi wa ndani WANAOTENDWA VIBAYA UARABUNI WANAFANYA KAZI ZA MAANA?? USHAMBA TU UMEKUJAA KUFIKIRI YA KUWA KILA MTU ALIYE NJE YA NCHI ANAINGIZA PESA ZAIDI.

Obviously hawatakosekana Wakenya wachache wanaobeba mabox kama Watanzania, hao hata hela wanazotuma ni kidogo, hivyo sio za kutajika. Mimi nazungumza kuhusu watu wanaoachiwa kuongoza makampuni, kama Sylvia aliyeagizwa aongoze Vodacom mkaishia kupanic nchi yote.
 
Anyways, ngoja tuache huu mjadala. maana umeanza kuandika vitu usivyovijua. Kwa taarifa yako the number of illegal immigrants is larger among of your diaspora. There is a big number of Kenyan wabeba maboksi nje ya nchi.
 
Hamna sehemu nimesema hatuna wabeba mabox huko nje kama wafanyavyo Watanzania.
 
Back
Top Bottom