MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ni Darasa zuri sana ambalo Kitaaluma litawafanya Watoto ( Wanafunzi ) Wetu wawe na Akili Kubwa za kuweza kuwafanya Wajenge nchi ili huko mbeleni tusiwe Wakopaji tena.
Hongera mno kwa Mpiga Picha hiyo Shaaban Njia ( wa Gazeti la Nipashe ) kwa Picha hiyo nzuri wa Darasa la Wanafunzi kwani Value for Money imezingatiwa katika Ujenzi wake huo hivyo IMF na WB wataendelea tu Kutukopesha na Sisi Watanzania na Tanzania kama nchi itaendelea tu Kukopa licha ya Kelele za Wachache wenye Kijicho.
Ukitaka kuliona hilo Darasa tafadhali tafuta Gazeti lako la Nipashe ( Toleo la Leo ) tarehe 30 Desemba 2021 ambalo kwa Uzuri wake na Ubora wake nami naunga mkono Tanzania na Serikali kuendelea Kukopa kwani Mataifa yote duniani yameendelea kwa Kukopa hivyo tukope tu na tukikosa vya Kukopa sasa Watanzania tunaweza Kujikopesha wenyewe huko WB na IMF.