Watanzania maskini mnapaswa kufunga na kuomba kuiombea nchi yenu

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Watanzania mnapaswa kusali sana na kuomba kuiombea nchi yenu amani lakini amani hiyo iwe ya haki sio amani ya kuwauwa wadai haki na kuwasingizia kesi za uongo na kuwalisha maneno ya uongo midomoni ambayo hakuyafanya.

Watanzania mnapaswa kusali sana ili upendo uongezeke nchini sisi kwa sisi upendo ule wa zamani kutoka ukoloni hadi nchi huru haupo tena watu wenye tamaa za madaraka wameshika nchi hii sasa hiki ndio kiini cha machafuko na mauwaji ya wadai haki.

Mnapaswa kusali sana kwenye nchi yenu, huwenda mungu akawasikilizeni na kurudisha upendo na amani ambayo imepotea hii ndio asili yetu tangu ukoloni.
 
Kweli wametuweza sana kutuacha ujinga na umasikini....watatawala milele kama kizazi cha 1995 kuja mbele hawataamka kudai mabadiliko na hali bora kila mtu.....
 
Watanzania mnapaswa kusali sana na kuomba kuiombea nchi yenu amani lakini amani hiyo iwe ya haki sio amani ya kuwauwa wadai haki na kuwasingizia kesi za uongo na kuwalisha maneno ya uongo midomoni ambayo hakuyafanya.

Watanzania mnapaswa kusali sana ili upendo uongezeke nchini sisi kwa sisi upendo ule wa zamani kutoka ukoloni hadi nchi huru haupo tena watu wenye tamaa za madaraka wameshika nchi hii sasa hiki ndio kiini cha machafuko na mauwaji ya wadai haki.

Mnapaswa kusali sana kwenye nchi yenu, huwenda mungu akawasikilizeni na kurudisha upendo na amani ambayo imepotea hii ndio asili yetu tangu ukoloni.
Maskini ana tabu nyingi sana dah! Kila mzigo mnamtupia yeye. Njaa zote alizo nazo bado mnataka afunge 😭😭😭😭
 
Mungu ametusikia, sasa hivi anataka tuchukuw hatua. Tuumekuwa tunamuomba bila vitendo ni ngumu kupata amani tunayoitaka.
 
Watanzania mnapaswa kusali sana na kuomba kuiombea nchi yenu amani lakini amani hiyo iwe ya haki sio amani ya kuwauwa wadai haki na kuwasingizia kesi za uongo na kuwalisha maneno ya uongo midomoni ambayo hakuyafanya.

Watanzania mnapaswa kusali sana ili upendo uongezeke nchini sisi kwa sisi upendo ule wa zamani kutoka ukoloni hadi nchi huru haupo tena watu wenye tamaa za madaraka wameshika nchi hii sasa hiki ndio kiini cha machafuko na mauwaji ya wadai haki.

Mnapaswa kusali sana kwenye nchi yenu, huwenda mungu akawasikilizeni na kurudisha upendo na amani ambayo imepotea hii ndio asili yetu tangu ukoloni.
Serikali ya ccm ,inachofanya ni kupandikiza chuki , wanaccm wanaonekana ni first class ndani ya nchi hii,

Swala hapa nikuja pia msimamo wa kuwatenga wanaccm katika jamii zetu wafurahi na kulia wenyewe

Police na ndugu zao watengwe katika jamii zetu ,wafurahi na kulia wenyewe.

Twende huko maana serikali ndo imetufikisha hapa hakuna namna,
 
Haitafika October nchi itawaka na uchaguzi mwaka huu hautafanyika.
Manabii wa Mungu wameshaonyeshwa kuwa mwaka huu ni wa hatari. Wengi mnaangalia CHADEMA na Polisi kwa sasa lakini subiri mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM utakapoanza. Moto utawaka!
 
Mwaka huu hakuna uchaguzi , wanaosema watafanya liwezekanalo sijui uchaguzi uwe sijui nini wanajidanganya
 
Namuomba Mungu Samia afe ili tupumue tena kama kwa Magufuli
 
Back
Top Bottom