Watanzania maskini wametengwa na mfumo wa mabasi ya mwendo kasi (BRT)

Safi umeongea kwa weledi uwe na siku njema bro!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Concern zako zinaeleweka ila taarifa yako in kasoro nyingi.
Kwanza hiyo barabara ya morogoro sio mwendo kasi tu kuna daladala kwahiyo kwama mtu ataona mwendokasi ghali basi atapanda daladala. Pia hapo mwanzoni watu walikua wanaungaunga daladala na kulipa zaidi hata ya hiyo mwendokasi.
Pili kama unashuka vituo vya karibu na unapanda tu daladala za ubungo mia nne.
Tatu Tanzania nauli huwa constant kituo hadi kituo Tsh. 400 isipokua kama vituo vya mbali ndio nauli hupanda.
Kwahiyo hutuwezi kusema maskini wa Dar hapati usafiri daladala zipo kama mwendo kasi ni gharama. Watu wengi Dar huishi nje ya mji na nauli za kwenda huko ni zaidi ya nauli ya mwendo kasi na watu wanalipa pamoja na hao maskini.
Mwendokasi una adha zake nyingi kuliko hilo la nauli.
So hiyo report ipo biased upande mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unasemanga wewe ni Mkenya, leo umejitambilisha kirasmi kama mdanganyika
Wako ivyo wengi hapa wanajifanya ni wakenya but najua si kenyans,lets just say real recognises real,muna shida ati anajiita mkikuyu,you not kenyan i pia mi i can tell huyu msee ni mtz kuwa patriotic to your country ukisema ww ni mkenya haitafanya upate special treatment,ama huko Tz mtu akisema ni mkenya hupewa bread milk n honey

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali tu wah ko sure 70%of Tanzanians are poor,ama hio ni rumours ama ni true news ,sijawai kuwa huko ndo nauliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time usiongee chenye hujui Nairobi population is not more than 3.5M na kusema ati watu 2M wanaishi kibera!!??a you high on something nigga?hio Joint piga puff moja unipitishie,acha kukam up na statistics zako zenye sisi wenye tuko huku hatuzijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You think its easy to manage a kenyan chic,hauezi buda maybe uwe mtanzania una pesa ma hatakuwa hanataka tu hizo pesa zako mwishowe ata end up kuolewa na mkenya,thats how things work buda am sorry,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn nishawagegeda sana
Huwa nkiwa nao naongeza sifuri tu kwenye hela nlizokuwa nazo
Madem wa kikenya hatujengi kibanda ni eat n run tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbn nishawagegeda sana
Huwa nkiwa nao naongeza sifuri tu kwenye hela nlizokuwa nazo
Madem wa kikenya hatujengi kibanda ni eat n run tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamkula na yy anakukula pesa,alafu hizo pesa anapatia chali yake mkenya n then.huyo chali yake anajenga biashara Tz alafu anafuck madem wa huko Ka kumi,juu its that easy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza huo isafiri mbona hauwatoshi hata hao.wanoutumia, wanaswekana tu ni karaha tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtu anaona hamudu hizo nauli arudi kijijini akalime tz bado in maeneo mengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nb:mbona ninyi li sgr lime double cost au ndio nyani haoni mkundu wake?

Hujui kilimo wewe. It is a business that requires a high level of intelligence to ran it successfully.
 
Yaani Dar kama wote matahira. Utaona kwenye vituo wanavyochungulia chungulia na kuruka ruka...yaani kama vyula wanakimbilia mabasi, wanasubiria mabasi huku wanaangalia saa za kwenye simu. Basi ukiwa kwenye basi unatoka mkoani mnapita kwenye vituo vyao mwendo kasi...utaona binadamu kama matahira fulani yanachungulia chungulia km gari linakuja....duuuuuh!. Mnanipaga burdani sana aisee...usafiri wa kikuda sana na umasikini wetu basi shida tupu. Wanapowekeza sidhani kama wanazingatia hali za uchumi wa wananchi wao...sina imani kabisa
 
Langata na south c
Ila formula hyo ni mpaka kwa madem wa kibongo....wale golddiggers [emoji23]

Ova


Sent using Jamii Forums mobile app
Langata ni kwa wadosi south C kumejaa wahindi mbona watake pesa zako n chics from there are rich?its either unadanganya haujai kuwa huku ama uliwachocha we ni millionea haha kitu ka hio,ama uliwaimbia ngoma za diamond,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…