DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mkiambiwa ukweli mnakimbilia matusi hamna hoja zaidi ya matusiAcha kuaibisha walimu wenzako we kilaza
Kwanza mada ya uzi huu ni kuondoa mijadala isiyosaidia nchiHakuna wizi serikalini ni Kwamba wanao lalamika ni watu wachache mliokuwa mnafaidika na mfumo wa kuishi kwa kuua watu na kutukana opponents wenu wa kisiasa na mkawa mnalipwa pesa za bure
Mtu makini anayetegemea jasho lake hawezi kumsifu Magufuli maana Kama nimesoma kwa shida then unanifanya kuwa Mama ntile maana lengo lako unataka kuniua kikakili na kimwil
Hakuna kilaza anayejitambua Mimi ni msomi ambaye sishabikii siasa za mauajiVilaza kama nyie zamani walikuwa wanatupa kwenye mto muwe chakla cha mamba
Ndio mmepambanaje? Tueleze.Mkuu huwezi kuwa na akili ya ubunifu ukakubali kuwatesa wananchi watoto wa masikini waliosoma kwa shida eti wawe bodaboda na Mama ntilie kwa makusudi mbona kikwete aliweza kuhakikisha vijana wanapata Ajira sectors binafsi na Serikalini Sasa hii Mika miwili Mama anapambana japo Hali mbaya maana Magufuli kaharibu kila kitu . Tunabidi kufunga mkanda Ni Kama tumetoka katika vita
Mama anapambana ili turudi tulipokuwa kabla ya miaka sita ya MagufuliNdio mmepambanaje? Tueleze.
Kwa matatizo lukuki yaliyopo?Mama anapambana ili turudi tulipokuwa kabla ya miaka sita ya Magufuli
Aisee, we jamaa unasikitisha. 😂Hakuna wizi serikalini ni Kwamba wanao lalamika ni watu wachache mliokuwa mnafaidika na mfumo wa kuishi kwa kuua watu na kutukana opponents wenu wa kisiasa na mkawa mnalipwa pesa za bure
Mtu makini anayetegemea jasho lake hawezi kumsifu Magufuli maana Kama nimesoma kwa shida then unanifanya kuwa Mama ntile maana lengo lako unataka kuniua kikakili na kimwil
Alieshauri walimu mpewe vishkwambi alaaniwe!Mkiambiwa ukweli mnakimbilia matusi hamna hoja zaidi ya matusi
Tutazidi kufunua ukweli ili nyie wapumbavu ambao ndo mpo wengi muweze Kupata mwanga na msiishi kwa mazoea mnalalamika Maisha Magumu wakati nchi kaharibu Magufuli
Ona huyu mpumbavu mwngn analeta mambo ya udiniMagufuli ameharibu nchi hii tutanahitaji Ten yrs of maintenance chini ya Rais muislamu Kama Mama samiah
Ni kawaida kwa kiongozi aliyefia madarakani kuzungumziwa sana.Daah!
Sasa nashindwa namna ya kuelezea jinsi isivyo kawaida kwa aliyekuwa Raisi wa nchi yetu Tanzania hayati John Pombe Magufuli!
Huyu alikuwa ni kiongozi wa aina gani?
Ni miaka miwili sasa hatuna naye, lakini bado hajatoka mioyoni na midomoni mwetu, tena kila uchwao jina lake linakuwa linavutia zaidi kuwa maarufu zaidi mitandaoni na hata kwenye vijiwe vyetu kwa mijadala iwe kwa mabaya ama kwa mazuri, utadhani yupo hai bado!
Naona ni kama tumekwama na hatufanyi tena mijadala kuhusu ustawi wa nchi yetu, badala yake ni jina tunabishana kama wendawazimu kuhusu jina lake! Je, zile chanjo hazijaleta shida?
Tuna matatizo mengi kiasi cha kuzidi hata wakati wa yeye akiwa Raisi, lakini ni kama hatuoni shida hizo!
Tuna matatizo ya chakula, mvua kutokunyesha kwa wakati, umeme kukatikatika na kama si kukosekana kabisa, tuna wafanya biashara wengi wameanguka kibiashara shida ikiwa ni TRA
Tunamadeni kama nchi na mengine yameiva na hatuna uwezo wa kuyalipa mpaka tukakope tena ndo tuyalipe!
Huduma mbovu kwenye sector za kiserikali, tunawatoto wako shule miaka saba lakini hawajui hata kuandika majina yao na wengine wako secondary lakini hawajui chochote
Tunaupungufu wa walimu, madaktari, manesi n.k
Kama nchi tutakabiliana vipi na njaa inayotokana na ukosefu wa mvua kwa mwaka huu, mifugo yetu itaishije kwenye ukame ujao, watu wetu vipi,
Badala ya kuongelea mambo ya mhimu, wasomi wetu ndio wanaongoza mijadala isiyo na tija
Sifahamu, labda ndio sehemu ya wao kufichia udhaifu wao?
Ni lini tutaacha mijadara ya kipuuzi na kuanza kudili na mambo mhimu ya maendeleo kwa nchi yetu?
Si wapinzani wala chama tawala! Wote tunakutanishwa hapa kumwongelea mtu asiyekuwa nasi!
Nchi za watu weusi iko siri iliyojificha ndani yetu ambapo kuijua kwake, ni hadi wazungu wahame kwenye hii sayari!
Kuna watu wengi walikuwa wanalipwa pesa nyingi Sana kwa lengo la kuua na kuteka nadhani ndo hao wanomlalamikia Mama kwa kuwanyima tenda ya kuua watuAisee, we jamaa unasikitisha. 😂
Kwa kuwa ameongoza nchi vibaya, mnaonaje mkaacha kuzungumzia mana hakuleta faida.?Ni kawaida kwa kiongozi aliyefia madarakani kuzungumziwa sana.
Hususan kama kiongozi mwenyewe alikuwa controversial.
Huyu ni rais aliyeongoza zaidi ya watu milioni sitini, kwa umwamba sana, akaleta mpasuko nchini.
Unataka asahaulike kama mbwa aliyekufa barabarani bila kujulikana kwao wapi?
Unawashangaa Watanzania, na mimi nakushangaa unavyowashangaa Watanzania.
Aisee! mamako angeomba abortion ningetoa pesa cash kuliko kutuletea laanaMama anapambana ili turudi tulipokuwa kabla ya miaka sita ya Magufuli
Mwisho wake ni nini?Ni kawaida kwa kiongozi aliyefia madarakani kuzungumziwa sana.
Hususan kama kiongozi mwenyewe alikuwa controversial.
Huyu ni rais aliyeongoza zaidi ya watu milioni sitini, kwa umwamba sana, akaleta mpasuko nchini.
Unataka asahaulike kama mbwa aliyekufa barabarani bila kujulikana kwao wapi?
Unawashangaa Watanzania, na mimi nakushangaa unavyowashangaa Watanzania.
Mbona JPM alikua anatumia betri ya moyo iliyotoka kwa wazunguHatutaendelea kwa ku-copy na ku-paste kwa wazungu.
We ni unashida pahala siyo bure kuna pahala hapako vzrHuyo alikuwa anafanya propaganda huwezi kujenga uchumi imara kwa kuua watu na kuteka hakuna kitu kama hicho
Kama mlizoea kuuwa watu hamna hizo tenda tenaAisee! mamako angeomba abortion ningetoa pesa cash kuliko kutuletea laana
Nyie wajinga mnakufa na kuzaliwa yaani hamuishiWe ni unashida pahala siyo bure kuna pahala hapako vzr
Hata viongozi walioongoza nchi vibaya wanazungumziwa, ili mabaya waliyoyafanya yajulikane, yakataliwe, yasirudiwe.Kwa kuwa ameongoza nchi vibaya, mnaonaje mkaacha kuzungumzia mana hakuleta faida.?
Hapa tu yatosha kukudharauKuna watu wengi walikuwa wanalipwa pesa nyingi Sana kwa lengo la kuua na kuteka nadhani ndo hao wanomlalamik