Watanzania matatizo yenu hayatamalizwa na Hayati Magufuli. Hatujadili tena mstakabili wa nchi yetu!

Watanzania matatizo yenu hayatamalizwa na Hayati Magufuli. Hatujadili tena mstakabili wa nchi yetu!

Acha kuaibisha walimu wenzako we kilaza
Mkiambiwa ukweli mnakimbilia matusi hamna hoja zaidi ya matusi

Tutazidi kufunua ukweli ili nyie wapumbavu ambao ndo mpo wengi muweze Kupata mwanga na msiishi kwa mazoea mnalalamika Maisha Magumu wakati nchi kaharibu Magufuli
 
Hakuna wizi serikalini ni Kwamba wanao lalamika ni watu wachache mliokuwa mnafaidika na mfumo wa kuishi kwa kuua watu na kutukana opponents wenu wa kisiasa na mkawa mnalipwa pesa za bure

Mtu makini anayetegemea jasho lake hawezi kumsifu Magufuli maana Kama nimesoma kwa shida then unanifanya kuwa Mama ntile maana lengo lako unataka kuniua kikakili na kimwil
Kwanza mada ya uzi huu ni kuondoa mijadala isiyosaidia nchi

Pili, wewe ni mwathilika wa utawala wa JPM kama siyo ulikuwa cheti feki, basi ulitumbuliwa na ama ulikuwa mnufaika wa watumishi hewa na ama fisadi

Magufuli waweza kumsema lakini si haya usemayo wewe! Umejaa chuki tupu
 
Mkuu huwezi kuwa na akili ya ubunifu ukakubali kuwatesa wananchi watoto wa masikini waliosoma kwa shida eti wawe bodaboda na Mama ntilie kwa makusudi mbona kikwete aliweza kuhakikisha vijana wanapata Ajira sectors binafsi na Serikalini Sasa hii Mika miwili Mama anapambana japo Hali mbaya maana Magufuli kaharibu kila kitu . Tunabidi kufunga mkanda Ni Kama tumetoka katika vita
Ndio mmepambanaje? Tueleze.
 
Hakuna wizi serikalini ni Kwamba wanao lalamika ni watu wachache mliokuwa mnafaidika na mfumo wa kuishi kwa kuua watu na kutukana opponents wenu wa kisiasa na mkawa mnalipwa pesa za bure

Mtu makini anayetegemea jasho lake hawezi kumsifu Magufuli maana Kama nimesoma kwa shida then unanifanya kuwa Mama ntile maana lengo lako unataka kuniua kikakili na kimwil
Aisee, we jamaa unasikitisha. 😂
 
Mkiambiwa ukweli mnakimbilia matusi hamna hoja zaidi ya matusi

Tutazidi kufunua ukweli ili nyie wapumbavu ambao ndo mpo wengi muweze Kupata mwanga na msiishi kwa mazoea mnalalamika Maisha Magumu wakati nchi kaharibu Magufuli
Alieshauri walimu mpewe vishkwambi alaaniwe!
 
Daah!

Sasa nashindwa namna ya kuelezea jinsi isivyo kawaida kwa aliyekuwa Raisi wa nchi yetu Tanzania hayati John Pombe Magufuli!

Huyu alikuwa ni kiongozi wa aina gani?

Ni miaka miwili sasa hatuna naye, lakini bado hajatoka mioyoni na midomoni mwetu, tena kila uchwao jina lake linakuwa linavutia zaidi kuwa maarufu zaidi mitandaoni na hata kwenye vijiwe vyetu kwa mijadala iwe kwa mabaya ama kwa mazuri, utadhani yupo hai bado!

Naona ni kama tumekwama na hatufanyi tena mijadala kuhusu ustawi wa nchi yetu, badala yake ni jina tunabishana kama wendawazimu kuhusu jina lake! Je, zile chanjo hazijaleta shida?

Tuna matatizo mengi kiasi cha kuzidi hata wakati wa yeye akiwa Raisi, lakini ni kama hatuoni shida hizo!

Tuna matatizo ya chakula, mvua kutokunyesha kwa wakati, umeme kukatikatika na kama si kukosekana kabisa, tuna wafanya biashara wengi wameanguka kibiashara shida ikiwa ni TRA

Tunamadeni kama nchi na mengine yameiva na hatuna uwezo wa kuyalipa mpaka tukakope tena ndo tuyalipe!

Huduma mbovu kwenye sector za kiserikali, tunawatoto wako shule miaka saba lakini hawajui hata kuandika majina yao na wengine wako secondary lakini hawajui chochote

Tunaupungufu wa walimu, madaktari, manesi n.k

Kama nchi tutakabiliana vipi na njaa inayotokana na ukosefu wa mvua kwa mwaka huu, mifugo yetu itaishije kwenye ukame ujao, watu wetu vipi,

Badala ya kuongelea mambo ya mhimu, wasomi wetu ndio wanaongoza mijadala isiyo na tija

Sifahamu, labda ndio sehemu ya wao kufichia udhaifu wao?

Ni lini tutaacha mijadara ya kipuuzi na kuanza kudili na mambo mhimu ya maendeleo kwa nchi yetu?

Si wapinzani wala chama tawala! Wote tunakutanishwa hapa kumwongelea mtu asiyekuwa nasi!

Nchi za watu weusi iko siri iliyojificha ndani yetu ambapo kuijua kwake, ni hadi wazungu wahame kwenye hii sayari!
Ni kawaida kwa kiongozi aliyefia madarakani kuzungumziwa sana.

Hususan kama kiongozi mwenyewe alikuwa controversial.

Huyu ni rais aliyeongoza zaidi ya watu milioni sitini, kwa umwamba sana, akaleta mpasuko nchini.

Unataka asahaulike kama mbwa aliyekufa barabarani bila kujulikana kwao wapi?

Unawashangaa Watanzania, na mimi nakushangaa unavyowashangaa Watanzania.
 
Kwa kuwa ameongoza nchi vibaya, mnaonaje mkaacha kuzungumzia mana hakuleta faida.?
 
Mwisho wake ni nini?
 
Kwa kuwa ameongoza nchi vibaya, mnaonaje mkaacha kuzungumzia mana hakuleta faida.?
Hata viongozi walioongoza nchi vibaya wanazungumziwa, ili mabaya waliyoyafanya yajulikane, yakataliwe, yasirudiwe.

Ndiyo maana kila mwaka kuna vitabu vipya vinaandikwa, vya Hitler, vya Idi Amin.

Watu wajifunze.

Chuki yako dhidi ya Magufuli isikufanye ukoseshe watu nafasi ya kujifunza kutokana na maisha yake.

Kama humpendi Magufuli kwa sababu ya mabaya aliyoyafanya, chukua mazungumzo yoyote kuhusu Magufuli kama nafasi ya kumulika mabaya yake.

Usikataze watu kumuongelea.

That is censorship.

Ukikataza watu kumuongelea Magufuli na wewe utakuwa unaendeleza u Magufuli.

Utakuwa mfuasi wake ambaye hukumpenda kwa sababu hukuwa wewe kwenye kiti tu, lakini ulitamani kuwa kama yeye.

Let people talk maan, after all, kama hupendi mazungumzo hayo si unayaruka tu, kwani lazima uchangie kila mazungumzo?
 
Back
Top Bottom