conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,129
- 790
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Kwanza hamchukiwi na Watanzania. Hatutaki ku deal na watu wenye sifa na dharau basi. Mkijirekebisha Watanzania watawakaribisha bila tatizo. Pia ukiangalia vizuri Wakenya wanawafuatilia Watanzania zaidi na sijawahi kujua kwanini.Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea kwa upole, mahindi ya ugali yameisha nini
Nyie mnapigwa na wake zenu,si ni kesi hii mnatutafutia!Yaani miaka nenda miaka rudi unapata mwanaume na midevu yake hadi mgongoni anacheka cheka tu huku amejawa na chuki. Tena chuki za ovyo ovyo kupindukia. Wakenya huwa hatuishi kinafik hivyo. Inafaa wapange 'friendly' pale Namanga OSBP, au hata Sirari, ngumi na teke zitembezwe kutoka saa 5 hadi saa 6 usiku wa tarehe 31 Desemba 2020. [emoji1] Baada ya hapo watu wajiburudishe na kinachowafurahisha, kilevi, majani au my favourite, pussy! [emoji38] Kuelekea mwaka mpya watu washike adabu zao, wachape kazi na waache mambo ya kitoto. Live in the solution not in the problem, just like pingli-nywee . 😎 That now is the Kenyan way.
Mkuu habari za sikuWatanzania wakikupenda au wakuchukie wewe Mkenya utapata hasara au faida gani ???
Watu ambao wako nje ya mipaka yako, tena hata huwajui kwanini wakukoseshe raha ???
Kenya na Tanzania ni majirani na wanashirikiana kwenye mambo mengi, hivyo tuseme haya yanatosha sana.
Hayo mengine ya kupendana au kuchukiana nadhani ni mtazamo wako wewe binafsi ambao hauna kichwa wala miguu.
Huyo ni Mtanzania mwenzako wacha kumbatiza Ukenya.
Ivi kwa nini maskini anamchukia tajiri