conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,129
- 790
Upendo ni tunda la hiyari..haliji kwa bahati mbaya na halipotei kwa bahati mbaya kuna kitu..
Ukilipoteza ni gharama kulirejesha ...
Watu wazima hawlazimishani kufuata staili ya maisha ila mmoja wao akiona staili ya mwenzake inamfaa ataifuata hata pasi na mivutano.
Unapomchokoza mwenzako akikasirika unaita majirani na wengine kuwa fulani amenitusi au kufanya vile bila kutathmin kwa nn mwenzako kajibu vile.