Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Halafu kenya corona sio tishio kama njaa waliyonayo

Naona serikali yenu imetumia vizuri hii oportunity kujumlisha waliokufa kwa njaa kusema ni corona

Inaficha waliokufa kwa njaa, na kusema ni korona imewaua.
🤣🤣🤣
 
Inaficha waliokufa kwa njaa, na kusema ni korona imewaua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona mkenya anaichukia ccm , jua hicho chama ni tishio kwa uchumi wao, falsafa zake ni tishio kwao, anongea anawachukia ccm lakini hatoi sababu kwann anawachukia, chama hicho unachokinajisi ndicho kilichowakoa mlipo pigana na kufarakana, hicho chama kimejipanga tena kuwaunganisha tena election ijayo 2022 . huwezi kumtukana partner wako mnaefanya nae biashara na kumuona mjinga alafu ww una akili ukabaki salama, lazima mtakwaruzana daima dumu.

Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
 
Sorry to say this but many Tanzanians here seems to have zero exposure,negligible education and are very ignorant na bado wanapiga kelele!!!
 
Sorry to say this but many Tanzanians here seems to have zero exposure,negligible education and are very ignorant na bado wanapiga kelele!!!
Can you produce a ratio of those many? This statement exposes your own prejudice against Tanzanians. Look you are ignorant at best or malicious at worst.

People like this incite feeling of hatred to those who cannot stand it. Here is your answer Tony254

Imagine a blanket statement that many Kenyans here have zero exposure, negligible education (dunno how that looks like or even if it is grammatical) and empty cans. I doubt if it will produce roses and hearts.

So Tony254 you may as well begin by teaching your fellow how to behave before a neighbor!
 
That's actually stupendous stupidity. Nothing less. It just exposes the empty pride that is signature of some of you!

Then you ask why in return you get treated with hatred? Are you dumb in any other area?
Pole mzee. Mimi nilikuwa nataka tu kujua mbona mnatuchukia. Mimi napeda Watanzania wote including you. And you haven't even answered my question properly. Hii chuki yenu ilianza zamani. Chanzo cha chuki ni nini?
 
Pole mzee. Mimi nilikuwa nataka tu kujua mbona mnatuchukia. Mimi napeda Watanzania wote including you. And you haven't even answered my question properly. Hii chuki yenu ilianza zamani. Chanzo cha chuki ni nini?
Hakuna mtu anawachukia Wakenya. Ingelikuwa hivyo tungeshafanya ya South Africa maana tupo nao mtaani. Ila tunaishi kwa amani tu. Kelele nyingi, cha ajabu hutokea kwa Wakenya ambao hawaishi Bongo. So chill!

Jibu lipo hapo juu kwa huyo mhuni umempongeza. Huwezi kuwadharau watu utegemee wakuletee mabusu na waridi. Jibu lipo kwenye post ya huyo mhuni umempa sapoti hapo juu. Huwezi kuwatusi Watanzania kuwa ni wasio na elimu, wajinga na wapiga kelele ukatarajia wakupigie vigelegele na maua waridi juu. Most likely utapata appropriate response. Na hiyo wewe unaiita chuki. Ila chuki ya matusi huioni!
 
Nilichukia sana kuona kuna msanii mmoja kwene tamthilia ya Kenya inayo itwa TEHANANI akisema mwanafunzi wa darasa la saba wa Kenya akija Tanzania anapewa nafasi ya kufundisha chuo kikuu!! Ujinga wenu unawaaminisha kwamba kiingereza ndo kila kitu, kumbe it is just a language kama kizigua!! Acheni dharau, jifunzeni ustaarabu. Nyambafu!!!

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Lakini hapa tunafanya mjadala tu. Sasa wewe unasoma comment ya mtu kisha unakasirika. Kwenye huu uzi kuna Watanzania wengi wameongea matope kuhusu Kenya lakini sijakasirika. Kila mtu ana maoni yake. Mimi yangu ni kuwa hamna haja ya uhasimu kati ya nchi hizi mbili. Take it easy na uwache kuwa na mafeelings. This is just a discussion, don't take it personally.
 
Ulichukia nini kwa hio comment. Kwamba ni uongo au kwamba ni ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…