mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
wewe hunaga hata akili ya kuelewa[emoji38].Heri ungenyamaza kama huna point ya maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe hunaga hata akili ya kuelewa[emoji38].Heri ungenyamaza kama huna point ya maana
Uchumi wa kuichara tz mnao,ila wa kuicharaza njaa hamna huo uchumi.Wewe una wivu na Kenya maana unajua fika kwamba Kenya inaicharaza TZ kwenye uchumi bila huruma.
Mpaka video ya kwenu huitaki[emoji28][emoji28].Kawaida ya masycophants
Umetazama hiyo video? Ccm is not Responsible for those Zombies of Nairobi, my dear one.Kawaida ya masycophants
Analaumu ccm kwa Ugumu wa Maisha Nairobi [emoji16][emoji16][emoji16]mpaka video ya kwenu huitaki[emoji28][emoji28].
utaona maajabu duniani hapa[emoji38][emoji38][emoji38].Analaumu ccm kwa Ugumu wa Maisha Nairobi [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu kenya corona sio tishio kama njaa waliyonayo
Naona serikali yenu imetumia vizuri hii oportunity kujumlisha waliokufa kwa njaa kusema ni corona
Ukiona mkenya anaichukia ccm , jua hicho chama ni tishio kwa uchumi wao, falsafa zake ni tishio kwao, anongea anawachukia ccm lakini hatoi sababu kwann anawachukia, chama hicho unachokinajisi ndicho kilichowakoa mlipo pigana na kufarakana, hicho chama kimejipanga tena kuwaunganisha tena election ijayo 2022 . huwezi kumtukana partner wako mnaefanya nae biashara na kumuona mjinga alafu ww una akili ukabaki salama, lazima mtakwaruzana daima dumu.Inaficha waliokufa kwa njaa, na kusema ni korona imewaua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Can you produce a ratio of those many? This statement exposes your own prejudice against Tanzanians. Look you are ignorant at best or malicious at worst.Sorry to say this but many Tanzanians here seems to have zero exposure,negligible education and are very ignorant na bado wanapiga kelele!!!
Dogo akili za kubet,na double kick...naona hata unachoandika hakieleweki na chokoraa wa kibera..katoe lock wanza[emoji23][emoji23][emoji23] naona umeanza kuelewa level za kenya, safiiii, Sasa Rudi shule ukaelew maana capitalist,& abt slums nenda katfte southsaharn countries isokuwa na slums then uje tena,
That's actually stupendous stupidity. Nothing less. It just exposes the empty pride that is signature of some of you!Magix naona umeamua kuwagonga proper. Hehe
Pole mzee. Mimi nilikuwa nataka tu kujua mbona mnatuchukia. Mimi napeda Watanzania wote including you. And you haven't even answered my question properly. Hii chuki yenu ilianza zamani. Chanzo cha chuki ni nini?That's actually stupendous stupidity. Nothing less. It just exposes the empty pride that is signature of some of you!
Then you ask why in return you get treated with hatred? Are you dumb in any other area?
Hakuna mtu anawachukia Wakenya. Ingelikuwa hivyo tungeshafanya ya South Africa maana tupo nao mtaani. Ila tunaishi kwa amani tu. Kelele nyingi, cha ajabu hutokea kwa Wakenya ambao hawaishi Bongo. So chill!Pole mzee. Mimi nilikuwa nataka tu kujua mbona mnatuchukia. Mimi napeda Watanzania wote including you. And you haven't even answered my question properly. Hii chuki yenu ilianza zamani. Chanzo cha chuki ni nini?
Lakini hapa tunafanya mjadala tu. Sasa wewe unasoma comment ya mtu kisha unakasirika. Kwenye huu uzi kuna Watanzania wengi wameongea matope kuhusu Kenya lakini sijakasirika. Kila mtu ana maoni yake. Mimi yangu ni kuwa hamna haja ya uhasimu kati ya nchi hizi mbili. Take it easy na uwache kuwa na mafeelings. This is just a discussion, don't take it personally.Hakuna mtu anawachukia Wakenya. Ingelikuwa hivyo tungeshafanya ya South Africa maana tupo nao mtaani. Ila tunaishi kwa amani tu. Kelele nyingi, cha ajabu hutokea kwa Wakenya ambao hawaishi Bongo. So chill!
Jibu lipo hapo juu kwa huyo mhuni umempongeza. Huwezi kuwadharau watu utegemee wakuletee mabusu na waridi. Jibu lipo kwenye post ya huyo mhuni umempa sapoti hapo juu. Huwezi kuwatusi Watanzania kuwa ni wasio na elimu, wajinga na wapiga kelele ukatarajia wakupigie vigelegele na maua waridi juu. Most likely utapata appropriate response. Na hiyo wewe unaiita chuki. Ila chuki ya matusi huioni!
Ulichukia nini kwa hio comment. Kwamba ni uongo au kwamba ni ukweli?Hakuna mtu anawachukia Wakenya. Ingelikuwa hivyo tungeshafanya ya South Africa maana tupo nao mtaani. Ila tunaishi kwa amani tu. Kelele nyingi, cha ajabu hutokea kwa Wakenya ambao hawaishi Bongo. So chill!
Jibu lipo hapo juu kwa huyo mhuni umempongeza. Huwezi kuwadharau watu utegemee wakuletee mabusu na waridi. Jibu lipo kwenye post ya huyo mhuni umempa sapoti hapo juu. Huwezi kuwatusi Watanzania kuwa ni wasio na elimu, wajinga na wapiga kelele ukatarajia wakupigie vigelegele na maua waridi juu. Most likely utapata appropriate response. Na hiyo wewe unaiita chuki. Ila chuki ya matusi huioni!
Labda kwa njaa, Covid-19 na ukabila, si vinginevyoWewe una wivu na Kenya maana unajua fika kwamba Kenya inaicharaza TZ kwenye uchumi bila huruma.