Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Aya ndio majibu yako mtoa thread, much know sana nyiny na dharau alaf hamna kitu. Niwaambie wakenya watz katika kitu hatukipendi ni dharau na majigambo
Huyo sio mtoa thread. Mimi ndio mtoa thread na mimi sijarusha tusi.
 
Sijafurahia matusi ambazo nazisoma kwenye uzi huu. Mumeharibu huu uzi kabisa. Kwa nini hamuwezi kujadili kwa heshima bila matusi? Mada wenyewe ni mada nzuri sana lakini tatizo ni kuwa wengine wenu bado hamjabaleghe. Mnaandika matusi tu kama watoto wadogo. Jaribuni kuwa wastaarabu na tuendelee na mjadala bila matusi. Bado mimi nataka kujua chanzo cha chuki kati ya Watanzania na Wakenya lakini tujadili kwa ustaarabu tafadhali. Sipendi haya matusi.
 
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Kwani kunanini huko mpaka tuwachukie mnakitu gani ambacho hatuna
 
Ah hapo ndio unazingua sasa, hizo zama za kutumia matusi kama mhemko wa hasira huku kwetu tulishazivuka

Maneno kama hayo tunatumia kama salamu na kupongezana pale inapobidi, maana yalishapoteza makali hayawezi kutumika kama silaha ya maneno kwa lengo la kumuudhi mtu au kumkera

Kivyovyote vile uhalisia hauwezi badilika, wakenya hata waongee kiswahili kwa lafudhi gani haitowafanya waitwe waswahili kwasababu sio asili yao

Kuna dhana ya kijinga na yakitumwa nimeiona hapa, kwamba kwasababu watu fulani wanaongea kiingereza kwa ufasaha zaidi basi watu hao huanza kujiona wenye akili zaidi kuliko wale wasioweza kuongea kiingereza.

Mwanzoni ilianza kama masihara tulipokaa kimya kutokemea huu ujinga now imekua kama trend mpaka vitoto vimekua katika huu ujinga

Naamini kenya yenye watu M 51 inaidadi kubwa ya watu wanaoongea kiingireza vizuri kuliko china yenye population ya watu bilion 1. Lakini kama kweli ujuzi wa kuongea kiingereza ni kitambulisho cha mtu kua na akili basi leo hii kupitia akili za watu hao tungeona uvumbuzi mwingi sana. Tungeona jinsi kenya ingekua msaada kwa nchi zisizoweza kuongea lugha hiyo hasa kwa taifa kama china na china ingekua ombaomba isiyojiweza

Huwezi kutegemea mtu aliyelelewa katika mazingira MAGUMU kama haya awe na akili nzuri.

View attachment 1655935
kwao hao wakenya hakuna kitu mbaya walifanya,unlike to hao wabongo.

hiyo ndio maana halisi ya kunyanyaswa.
Poleni Wabongo naomba msamaha kwa matusi mliopokea. Lengo langu lilikuwa ni kufanya majadiliano yaliostaarabika lakini uzi kavurugwa na huyo jamaa.
 
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Watanzania hawaichukii Kenya Tony254
Watanzania hawwpendi dharau, hawapendi kudharauliwa.... ukiwadharau wao wanakupuuza tuu kiroho safi bila chuki na hapo ndio wanapoambiwa kwamba hawana upendo
 
Poleni Wabongo naomba msamaha kwa matusi mliopokea. Lengo langu lilikuwa ni kufanya majadiliano yaliostaarabika lakini uzi kavurugwa na huyo jamaa.
Baadhi ya wakenya waishio Mombasa walikuwa wakija kuoa kwetu Tanga. Bwana 254 ni vema ungefanya utafiti kabla ya kuanzisha uzi. Tanzania kuna watoto wenu

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Pole mzee. Mimi nilikuwa nataka tu kujua mbona mnatuchukia. Mimi napeda Watanzania wote including you. And you haven't even answered my question properly. Hii chuki yenu ilianza zamani. Chanzo cha chuki ni nini?
Swali lako ni fikirishi na kweli halijapata majibu ya kutosha wengi wanajibu kwa hasira na matusi.Kama ulivyosema chuki ilianza zamani nadhani sababu ya
1.Mifumo ambao kila nchi iliamua kufuata Tanzania mfumo wa mashariki(ujamaa na kujitegemea) na Kenya ubepari kuna faida na hasara ya kila mfumo mifano ni mingi kiuchumi,kiutamaduni na kisiasa.
2.Kuvunjika kwa EAC kwa sababu ya ubinafasi na kenya kuchukua ndege karibu zote za EAC hili halikupokelewa vyema na watanzania
3.Mfumo wa ubepari uliwafanya wakenya wawe na exposure sana kuliko watanzania na huo unadhihirishwa jinsi wakenya walivyo changakia fursa mbalimbali nje ya nchi kama wanamichezo mbalimbali wa footbal,wakimbiaji,cricket etc na kweli wako mbali sana kuliko watanzania hivyo keleta uchumi katika Taifa lao
4.Wakenya wametumia advantage ya wao kupata exposure mapema kuiba rasilimali za watanzania kwenye madini,utalii,mazao,uwekezaji wa viwanda hapa Tanzania,kilimo.
Watanzania wengi wasikokijua ni kwamba fursa za kuondoa umasikini ziko nyingi na nzuri hapa Tanzania kuliko kenya ila Kenyan wanachotuzidi ni kuziona hizo fursa kiasi wamefikia kutangaza kwa miaka mingi kuwa baadhi ya vivutio kama Mlima kilimanjaro uko Kenya na watu wengi huko nje bado wanaamini hivyo (Hapa ilitakiwa tuadi fidia kwa Wakenya kwa kutumia uwongo kupata kipato).
Ninachofurahi watanzania sasa wameamka na usiombe kumwamsha aliyelala utalala wewe..Tunajua Kenya karibu nusu ya nchi ni jangwa hivyo mazao kwa kiasi kikubwa wanategemea kwetu sasa tutumia fursa katika kilimo,misitu,viwanda na madini serikali ishadhibiti.
Ombi langu waTz tusiwachukie Kenyan tuwapende ili tujifunze ujasiriamali kama kule juakali n.k tunazo rasilimali nyingi ikiwemo ardhi ambayo kwao shida hivyo tutumie fursa hizo kuendelea badala ya kujiona wa chini eti tu kwa sababu ahatujui kiingereza kwani wachina,urusi,norway wanaongea kiingereza hiyo lugha tu ya mawasiliano.Halafu tuache matusi ni dalili ya kushindwa kujibu hoja ambazo kimsingi gari yetu ishashika kasi na hasa raisi tuliyenaye anatupa dira nzuri kwa kuingia uchumi wa kati.Hebu tufikirie kama watu wa uchumi wa kati..Viwanda vya kusindika matunda,mbogamboga,na mazao n.k
Maendeleo hayana vyama
 
Poleni Wabongo naomba msamaha kwa matusi mliopokea. Lengo langu lilikuwa ni kufanya majadiliano yaliostaarabika lakini uzi kavurugwa na huyo jamaa.

🤣🤣🤣
The hungry man is always angry.
Yule alichokuwa anafanya ni kurusha matusi, sijui ndiyo njaa inamtuma hivyo!!?
😆😆😆
 
Swali lako ni fikirishi na kweli halijapata majibu ya kutosha wengi wanajibu kwa hasira na matusi.Kama ulivyosema chuki ilianza zamani nadhani sababu ya
1.Mifumo ambao kila nchi iliamua kufuata Tanzania mfumo wa mashariki(ujamaa na kujitegemea) na Kenya ubepari kuna faida na hasara ya kila mfumo mifano ni mingi kiuchumi,kiutamaduni na kisiasa.
2.Kuvunjika kwa EAC kwa sababu ya ubinafasi na kenya kuchukua ndege karibu zote za EAC hili halikupokelewa vyema na watanzania
3.Mfumo wa ubepari uliwafanya wakenya wawe na exposure sana kuliko watanzania na huo unadhihirishwa jinsi wakenya walivyo changakia fursa mbalimbali nje ya nchi kama wanamichezo mbalimbali wa footbal,wakimbiaji,cricket etc na kweli wako mbali sana kuliko watanzania hivyo keleta uchumi katika Taifa lao
4.Wakenya wametumia advantage ya wao kupata exposure mapema kuiba rasilimali za watanzania kwenye madini,utalii,mazao,uwekezaji wa viwanda hapa Tanzania,kilimo.
Watanzania wengi wasikokijua ni kwamba fursa za kuondoa umasikini ziko nyingi na nzuri hapa Tanzania kuliko kenya ila Kenyan wanachotuzidi ni kuziona hizo fursa kiasi wamefikia kutangaza kwa miaka mingi kuwa baadhi ya vivutio kama Mlima kilimanjaro uko Kenya na watu wengi huko nje bado wanaamini hivyo (Hapa ilitakiwa tuadi fidia kwa Wakenya kwa kutumia uwongo kupata kipato).
Ninachofurahi watanzania sasa wameamka na usiombe kumwamsha aliyelala utalala wewe..Tunajua Kenya karibu nusu ya nchi ni jangwa hivyo mazao kwa kiasi kikubwa wanategemea kwetu sasa tutumia fursa katika kilimo,misitu,viwanda na madini serikali ishadhibiti.
Ombi langu waTz tusiwachukie Kenyan tuwapende ili tujifunze ujasiriamali kama kule juakali n.k tunazo rasilimali nyingi ikiwemo ardhi ambayo kwao shida hivyo tutumie fursa hizo kuendelea badala ya kujiona wa chini eti tu kwa sababu ahatujui kiingereza kwani wachina,urusi,norway wanaongea kiingereza hiyo lugha tu ya mawasiliano.Halafu tuache matusi ni dalili ya kushindwa kujibu hoja ambazo kimsingi gari yetu ishashika kasi na hasa raisi tuliyenaye anatupa dira nzuri kwa kuingia uchumi wa kati.Hebu tufikirie kama watu wa uchumi wa kati..Viwanda vya kusindika matunda,mbogamboga,na mazao n.k
Maendeleo hayana vyama
Asante ndugu. Jibu nzuri sana hili.
 
Hio shonde unakula hapo Tandale naona kimeathiri ubongo chako serious 😂😂

Right now you are starving, hunger pangs has shifted to the head from stomach causing your senses to be impaired, and that is an excuse. Pole sana.

Screenshot_20201221-174221.png
 
Hakuna mtanzania mwenye chuki na wakenya zaidi ya utani wa humu jukwaani. Shida huwa inakuja pale mnapojiona bora kuliko wengine.
Usiwafiche mkuu. Ni kweli watanzania tunawachukia sana wakenya na sababu kuu ni tabia zao za kipumbavu. Wanavobaguana kwa makabila yao ndiyo wanatubagua pia na sisi. Wanabagua bidhaa zetu hasa bidhaa za madukani. Ukikutwa na bidhaa ya Tanzania dukani kwako umefilisiwa.

Magufuri hakuanza kuwazibia risiki kwa maksud bali analipa ubaya wanaotufanyia. Iko siku moja niko baa na bapa (konyagi) langu wakaja askari na kunikamata na wakanilaza mahabusu kwa kosa la kupatikana na bidhaa ya Tz nchini kenya. Nilijitetea kuwa konyagi hiyo nilikuwa nayo 1 na niliinywa Tz ikabakia nusu nikaingia nayo kenya ikiwa nusu lakini wajinga hawakunielewa. Keaho yake wakanivuta elfu5 kenyan money. Wajinga sana hao.

Pia wanatuchukia kwa kuzuia madini yetu yasiingie nchini mwao kinyamela. Mali yetu kuilinda wao wanachukia. Wametuibia sana hao nyang'au.
 
Sababu kubwa ya Tanzania kutokuwa na uhusiano mzuri na Kenya ni jinsi Kenya walivyopora mali za EAC ilipovunjika 1977. Kumbuka mpaka wa Kenya na Tanzania ulifungwa kwa miaka kadhaa na Kenyan Government imekuwa ikitumika na nchi za magharibi kuhujumu uchumi wa Tanzania kwa udi na uvumba.
 
My friend eat ua kinyesi in peace and stop bieng delusional

You are one of the millions who go hungry everyday, pole sana.

Next time Unapokuja hapa uje ukiwa umeshiba kwanza kwani hujui mtu ukiwa na njaa akili hupungua?!!.----- domo lako chafu kwa matusi kama kinyeo cha nguruwe.
 
FUNGA MIPAKA

WANATUHITAJI KULIKO TUNAVYOWAHITAJI !

The closing of the Tanzanian border has disrupted Kenya's thriving tourist industry, which depends heavily on tours to northern Tanzanian game parks such as the Serengeti Plain and Ngorongoro Crater.

New York Times
DAR ES SALAAM, Tanzania
Feb. 8, 1977

President Julius K. Nyerere said today that Tanzania had closed its border with Kenya in retaliation against a series of Kenyan actions that, he charged, were breaki up East Africa.

The closing of the Tanzanian border has disrupted Kenya's thriving tourist industry, which depends heavily on tours to northern Tanzanian game parks such as the Serengeti Plain and Ngorongoro Crater.ere breaking up East Africa.

The decade‐old East African Community had linked Tanzania, Kenya and Uganda in economic and social fields, including currency and transportation, and through a nominal parliamentary body called the East African Union.

“Kenya broke up the East African Harbors Corporation; Kenya unilaterally closed down the headquarters of the East African Railways system; Kenya seized a. number of ships on Lake Victoria, and Kenya has now grounded the East African Airways,” Mr. Nyerere said in an interview at his modest beachfront home on Msasani Bay outside the capital.

On Thursday Tanzania closed its border with Kenya, stranding hundreds of foreign tourists. Most of them were later flown to Nairobi.

Mr. Nyerere's interview was the first public statement by a Tanzanian official acknowledging that the border had been closed. He said now that the Kenyans had cut rail and air services to Tanzania, “they must be prepared to accept” that there will be no traffic at all between the two countries.

The closing of the Tanzanian border has disrupted Kenya's thriving tourist industry, which depends heavily on tours to northern Tanzanian game parks such as the Serengeti Plain and Ngorongoro Crater.

Mr. Nyerere said that before Tanzania reopened the border, Kenya would have to return 250 Tanzanians in Kenya who had been employed by the now‐defunct East African Airways Corporation.

On Thursday Kenya announced it was setting ‘up its own airline because Tanzania and Uganda refused to pay their share to the airline's headquarters in Nairobi.
 
Ngoja nianze Mombasa hataki kuitwa kenya yaani anataka ajitenge kabisa na kenya. Wenyewe wa nakwambia pwani si kenya..... Naendelea. Kenya imefukuzwa Somalia na wasomali wameweka vikosi vya jeshi mpakani. Kenya ina ugomvi na uganda wanagombea visiwa na sasa hivi wanagombea biashara ya maziwa. Wakenya wamefukuzwa South Sudan . Ndege ya Kenya imetunguliwa huko Ethiopia. Hawa wote niliowataja ni jirani zako wamekuzunguka. Malizana na hawa kwanza then urudi kwa Tanzania. Pia kumbuka hapo uarabuni UAE Mkenya hatakiwi kabisa kupewa visa. Ukinipa haya majibu halafu niambie Tanzania kagombana na jirani gani. Tatizo lenu una ujuaji wa kijinga na wa shamba
Muanzisha mada yupo hapo manzese mwalimu wa sekondari inglishi Midiam..anajifanya mjita aonekane mtanzania...anaamka na sis analala na sis..magu kamkaba basi hasira zoote anamalizia jamiiforum...tumpuuze
 
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Mbona kama umendika ukiwa unalia?
 
Back
Top Bottom