Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ndio muanzisha mada na mimi sijatusi mtu.Ni dhahiri huyu aliye anzisha uzi huu ni mbobezi katika uvutaji wa sigara bwege, au ni mtoto under 5!!!
Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Kwani kunanini huko mpaka tuwachukie mnakitu gani ambacho hatunaTangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Ah hapo ndio unazingua sasa, hizo zama za kutumia matusi kama mhemko wa hasira huku kwetu tulishazivuka
Maneno kama hayo tunatumia kama salamu na kupongezana pale inapobidi, maana yalishapoteza makali hayawezi kutumika kama silaha ya maneno kwa lengo la kumuudhi mtu au kumkera
Kivyovyote vile uhalisia hauwezi badilika, wakenya hata waongee kiswahili kwa lafudhi gani haitowafanya waitwe waswahili kwasababu sio asili yao
Kuna dhana ya kijinga na yakitumwa nimeiona hapa, kwamba kwasababu watu fulani wanaongea kiingereza kwa ufasaha zaidi basi watu hao huanza kujiona wenye akili zaidi kuliko wale wasioweza kuongea kiingereza.
Mwanzoni ilianza kama masihara tulipokaa kimya kutokemea huu ujinga now imekua kama trend mpaka vitoto vimekua katika huu ujinga
Naamini kenya yenye watu M 51 inaidadi kubwa ya watu wanaoongea kiingireza vizuri kuliko china yenye population ya watu bilion 1. Lakini kama kweli ujuzi wa kuongea kiingereza ni kitambulisho cha mtu kua na akili basi leo hii kupitia akili za watu hao tungeona uvumbuzi mwingi sana. Tungeona jinsi kenya ingekua msaada kwa nchi zisizoweza kuongea lugha hiyo hasa kwa taifa kama china na china ingekua ombaomba isiyojiweza
Huwezi kutegemea mtu aliyelelewa katika mazingira MAGUMU kama haya awe na akili nzuri.
View attachment 1655935
Poleni Wabongo naomba msamaha kwa matusi mliopokea. Lengo langu lilikuwa ni kufanya majadiliano yaliostaarabika lakini uzi kavurugwa na huyo jamaa.kwao hao wakenya hakuna kitu mbaya walifanya,unlike to hao wabongo.
hiyo ndio maana halisi ya kunyanyaswa.
Watanzania hawaichukii Kenya Tony254Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
That makes the matter even worseNot even a boy, she is such a mouth leaking girl with an empty stomach.
Baadhi ya wakenya waishio Mombasa walikuwa wakija kuoa kwetu Tanga. Bwana 254 ni vema ungefanya utafiti kabla ya kuanzisha uzi. Tanzania kuna watoto wenuPoleni Wabongo naomba msamaha kwa matusi mliopokea. Lengo langu lilikuwa ni kufanya majadiliano yaliostaarabika lakini uzi kavurugwa na huyo jamaa.
Swali lako ni fikirishi na kweli halijapata majibu ya kutosha wengi wanajibu kwa hasira na matusi.Kama ulivyosema chuki ilianza zamani nadhani sababu yaPole mzee. Mimi nilikuwa nataka tu kujua mbona mnatuchukia. Mimi napeda Watanzania wote including you. And you haven't even answered my question properly. Hii chuki yenu ilianza zamani. Chanzo cha chuki ni nini?
Poleni Wabongo naomba msamaha kwa matusi mliopokea. Lengo langu lilikuwa ni kufanya majadiliano yaliostaarabika lakini uzi kavurugwa na huyo jamaa.
Asante ndugu. Jibu nzuri sana hili.Swali lako ni fikirishi na kweli halijapata majibu ya kutosha wengi wanajibu kwa hasira na matusi.Kama ulivyosema chuki ilianza zamani nadhani sababu ya
1.Mifumo ambao kila nchi iliamua kufuata Tanzania mfumo wa mashariki(ujamaa na kujitegemea) na Kenya ubepari kuna faida na hasara ya kila mfumo mifano ni mingi kiuchumi,kiutamaduni na kisiasa.
2.Kuvunjika kwa EAC kwa sababu ya ubinafasi na kenya kuchukua ndege karibu zote za EAC hili halikupokelewa vyema na watanzania
3.Mfumo wa ubepari uliwafanya wakenya wawe na exposure sana kuliko watanzania na huo unadhihirishwa jinsi wakenya walivyo changakia fursa mbalimbali nje ya nchi kama wanamichezo mbalimbali wa footbal,wakimbiaji,cricket etc na kweli wako mbali sana kuliko watanzania hivyo keleta uchumi katika Taifa lao
4.Wakenya wametumia advantage ya wao kupata exposure mapema kuiba rasilimali za watanzania kwenye madini,utalii,mazao,uwekezaji wa viwanda hapa Tanzania,kilimo.
Watanzania wengi wasikokijua ni kwamba fursa za kuondoa umasikini ziko nyingi na nzuri hapa Tanzania kuliko kenya ila Kenyan wanachotuzidi ni kuziona hizo fursa kiasi wamefikia kutangaza kwa miaka mingi kuwa baadhi ya vivutio kama Mlima kilimanjaro uko Kenya na watu wengi huko nje bado wanaamini hivyo (Hapa ilitakiwa tuadi fidia kwa Wakenya kwa kutumia uwongo kupata kipato).
Ninachofurahi watanzania sasa wameamka na usiombe kumwamsha aliyelala utalala wewe..Tunajua Kenya karibu nusu ya nchi ni jangwa hivyo mazao kwa kiasi kikubwa wanategemea kwetu sasa tutumia fursa katika kilimo,misitu,viwanda na madini serikali ishadhibiti.
Ombi langu waTz tusiwachukie Kenyan tuwapende ili tujifunze ujasiriamali kama kule juakali n.k tunazo rasilimali nyingi ikiwemo ardhi ambayo kwao shida hivyo tutumie fursa hizo kuendelea badala ya kujiona wa chini eti tu kwa sababu ahatujui kiingereza kwani wachina,urusi,norway wanaongea kiingereza hiyo lugha tu ya mawasiliano.Halafu tuache matusi ni dalili ya kushindwa kujibu hoja ambazo kimsingi gari yetu ishashika kasi na hasa raisi tuliyenaye anatupa dira nzuri kwa kuingia uchumi wa kati.Hebu tufikirie kama watu wa uchumi wa kati..Viwanda vya kusindika matunda,mbogamboga,na mazao n.k
Maendeleo hayana vyama
Hio shonde unakula hapo Tandale naona kimeathiri ubongo chako serious 😂😂
kwa lugha gani??? hahaaMi siwachukii mbona najumuika na nyinyi mule ktalk
My friend eat ua kinyesi in peace and stop bieng delusionalRight now you are starving, hunger pangs has shifted to the head from stomach causing your senses to be impaired, and that is an excuse. Pole sana.
View attachment 1656113
Usiwafiche mkuu. Ni kweli watanzania tunawachukia sana wakenya na sababu kuu ni tabia zao za kipumbavu. Wanavobaguana kwa makabila yao ndiyo wanatubagua pia na sisi. Wanabagua bidhaa zetu hasa bidhaa za madukani. Ukikutwa na bidhaa ya Tanzania dukani kwako umefilisiwa.Hakuna mtanzania mwenye chuki na wakenya zaidi ya utani wa humu jukwaani. Shida huwa inakuja pale mnapojiona bora kuliko wengine.
My friend eat ua kinyesi in peace and stop bieng delusional
Muanzisha mada yupo hapo manzese mwalimu wa sekondari inglishi Midiam..anajifanya mjita aonekane mtanzania...anaamka na sis analala na sis..magu kamkaba basi hasira zoote anamalizia jamiiforum...tumpuuzeNgoja nianze Mombasa hataki kuitwa kenya yaani anataka ajitenge kabisa na kenya. Wenyewe wa nakwambia pwani si kenya..... Naendelea. Kenya imefukuzwa Somalia na wasomali wameweka vikosi vya jeshi mpakani. Kenya ina ugomvi na uganda wanagombea visiwa na sasa hivi wanagombea biashara ya maziwa. Wakenya wamefukuzwa South Sudan . Ndege ya Kenya imetunguliwa huko Ethiopia. Hawa wote niliowataja ni jirani zako wamekuzunguka. Malizana na hawa kwanza then urudi kwa Tanzania. Pia kumbuka hapo uarabuni UAE Mkenya hatakiwi kabisa kupewa visa. Ukinipa haya majibu halafu niambie Tanzania kagombana na jirani gani. Tatizo lenu una ujuaji wa kijinga na wa shamba
Mbona kama umendika ukiwa unalia?Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.